Pluijm: Ninaamini kwenye ubora
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, Hans Van der Pluijm, amesema hafikirii kuwa kupata mabao mengi katika mechi ndiyo kufanya vizuri, yeye anachokiangalia na kukiamini katika kikosi chake ni ubora, hata kama watashinda moja kila mechi.
Yanga ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 3-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi uliyochezwa juzi Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Pluijm...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania17 Dec
Pluijm atamba kurudisha ubora wa Yanga
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM,
KOCHA mpya wa timu ya Yanga, Mholanzi Hans van Der Pluijm, ameeleza kuwa amerejea kwenye timu hiyo kurudisha ubora wa awali wa kikosi hicho aliouacha, huku akipanga kuendeleza falsafa yake ya soka la kushambulia.
Pluijm, aliyetua nchini majira ya saa 8.30 usiku wa kuamkia jana, amekuja kurithi mikoba ya Mbrazil Marcio Maximo, aliyetimuliwa kuinoa Yanga juzi, ambapo sasa inakuwa mara yake ya pili kukinoa kikosi...
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Rooney katika nafasi nyingine kwenye ubora wake…
Mshambuliaji wa klabu ya Manchester united Wyne Rooney ametangazwa kuwa mchezaji bora kwa mwaka 2015 kwa mara nyingine. Hii inakuwa mara ya pili staa huyo wa England kuchaguliwa mchezaji bora na mashabiki wa ligi kuu baada ya mwaka 2014 kushinda pia mwaka 2008 na 2009. Pia kipa wa Stoke City Jack Butland amechaguliwa kuwa kipa […]
The post Rooney katika nafasi nyingine kwenye ubora wake… appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Kama ulimiss muziki wa Banana Zorro kwenye ubora wake, anakupa hii mpya..- ‘Kaseme Tena’ (+Audio)
December 29 2015 jina la mkali wa zouk, r&b pamoja na pop Tanzania, Banana Zahir Zorro ameona kabla hatujagusa mwaka 2016 nae arudina kitu masikioni mwetu. Imenifikia hii ngoma inaitwa ‘Kaseme Tena‘, ya kumalizia mwaka 2015 kutoka kwa Banana Zorro jamaa ambaye anamiliki pia B Band. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa […]
The post Kama ulimiss muziki wa Banana Zorro kwenye ubora wake, anakupa hii mpya..- ‘Kaseme Tena’ (+Audio) appeared first on...
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Kama mpango wako ni kuanza 2016 na simu mpya kwenye ubora wake, unaweza kuanza na TECNO Phantom 5
Kila mtu anaanza mwaka na mipango yake, 2016 ndio hii kwenye countdown ya tarehe za January… kama ishu ya kubadili simu iko kwenye mipango yako ya mwanzo mwanzo wa mwaka basi naomba nikufahamishe machache kuhusu hii Phantom 5. Kwa sababu Tecno wamethibitisha kuwasogezea Watanzania matoleo kadhaa ya simu za smartphones zenye viwango vyake sokoni, basi kuna […]
The post Kama mpango wako ni kuanza 2016 na simu mpya kwenye ubora wake, unaweza kuanza na TECNO Phantom 5 appeared first on...