Kama mpango wako ni kuanza 2016 na simu mpya kwenye ubora wake, unaweza kuanza na TECNO Phantom 5
Kila mtu anaanza mwaka na mipango yake, 2016 ndio hii kwenye countdown ya tarehe za January… kama ishu ya kubadili simu iko kwenye mipango yako ya mwanzo mwanzo wa mwaka basi naomba nikufahamishe machache kuhusu hii Phantom 5. Kwa sababu Tecno wamethibitisha kuwasogezea Watanzania matoleo kadhaa ya simu za smartphones zenye viwango vyake sokoni, basi kuna […]
The post Kama mpango wako ni kuanza 2016 na simu mpya kwenye ubora wake, unaweza kuanza na TECNO Phantom 5 appeared first on...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboKAMPUNI YA SIMU YA TECNO YAZINDUA SIMU MPYA YA PHANTOM 5 WENGI WAICHANGAMKIA
9 years ago
Bongo516 Oct
Video: Ifahamu simu mpya ya Tecno, Phantom 4
9 years ago
Bongo516 Oct
Video: Ifahamu simu mpya ya Tecno, Phantom 5
9 years ago
Bongo512 Oct
Picha: Tecno yaizindua simu mpya, ni Phantom 5
9 years ago
Bongo504 Jan
Tecno Phantom 5 ni zaidi ya simu
![Friday-2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/Friday-2-300x194.png)
Binafsi ni miongoni mwa wachache waliopata bahati ya kuitumia simu hii mpya kutoka TECNO iliyobatizwa jina la Phantom 5.
Maneno matupu hayavunji mfupa lakini chenye sifa yake kipeni. Kwa mwaka mzima wa 2015 nimeshuhudia matolea tofauti tofauti ya simu lakini nikajikuta nimedidimia kwenye dimbwi la raha baada ya kununua simu hii mpya.
Sijawahi kujutia tangu niikamate simu hii kwenye kiganja cha mkono wangu. Usishangae ndio ukweli wenyewe huo. Phantom 5 ina vitu vingi ambavyo vimekuwa...
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Kama ulimiss muziki wa Banana Zorro kwenye ubora wake, anakupa hii mpya..- ‘Kaseme Tena’ (+Audio)
December 29 2015 jina la mkali wa zouk, r&b pamoja na pop Tanzania, Banana Zahir Zorro ameona kabla hatujagusa mwaka 2016 nae arudina kitu masikioni mwetu. Imenifikia hii ngoma inaitwa ‘Kaseme Tena‘, ya kumalizia mwaka 2015 kutoka kwa Banana Zorro jamaa ambaye anamiliki pia B Band. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa […]
The post Kama ulimiss muziki wa Banana Zorro kwenye ubora wake, anakupa hii mpya..- ‘Kaseme Tena’ (+Audio) appeared first on...
9 years ago
MichuziNHIF kuanza mwaka mpya wa 2016 kwa kuboresha huduma zao
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unategemea kuboresha baadhi ya huduma zao ifikapo 2016 ili kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma hizo kwa wananchi.
Akiyasema hayo leo Jijini Dar es salaam Kaimu Mkurugenzi Mkuu Michael Mhando amezitaja baadhi ya huduma ambazo wana mpango wa kuziboresha kwa mwaka 2016 zikiwemo za kuongeza huduma ya matibabu ya moyo kwa kutumia bima ya NHIF,kutoa mikopo ya dawa,kurekebisha mfumo wa ulipaji wa baadhi ya huduma pia kubadili...
9 years ago
Dewji Blog11 Dec
Millicom kuanza utekelezaji wa mkakati wake wa uwekezaji kwa kampuni ya simu ya Zantel Tanzania
Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel, Benoit Janin akijibu maswali ya waandishi (hawapo pichani) katika mkutano huo. Kushoto kwake ni Rachel Samren, Mwenyekiti wa Bodi ya Zantel na kulia ni Cynthia Gordon, Mkurugenzi Mtendaji wa Millicom Upande wa Afrika.
Mwenyekiti wa Bodi, Rachel Samren akizungumza na waandishi wa habari. Katikakati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel, Benoit Janin na kulia ni Cynthia Gordon, Mkurugenzi Mtendaji wa Millicom Upande wa Afrika.
Bi Rachel Samren, Mwenyekiti wa Bodi...
9 years ago
Bongo510 Nov
Kanye West asahau mashairi ya wimbo wake kwenye birthday ya mama mkwe wake na kuanza kuimba wimbo wa adui yake 50 Cent
![222](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/222-300x194.jpg)
Kanye West anadaiwa alijikuta akisahau mashairi ya wimbo wake mwenyewe wakati alipoombwa kutumbuiza kwenye birthday ya mama mkwe wake, Kris Jenner aliyetimiza miaka 60 wiki iliyopita.
Rapper huyo mwenye umri wa miaka 38 alipewa mic na muimbaji Charlie Wilson, aliyekuwa akiimba wimbo wake kabla ya kuanza kuimba wimbo wa Kanye, ‘See Me Now’ – aliomshirikisha Beyonce na – lakini alikiri kuwa hakumbuki mashairi ya wimbo huo wa mwaka 2010 na haraka akaanza kuimba wimbo wa adui yake.
Chanzo...