Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMPUNI YA SIMU YA TECNO YAZINDUA SIMU MPYA YA PHANTOM 5 WENGI WAICHANGAMKIA

  Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana akionesha simu aina ya Phanton 5 wakati wa uzinduzi wa tolea jipya la simu hizo uliofanyika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wadau mbalimbli wakiwa kwenye uzinduzi huo. Uzinduzi wa simu hiyo toleo jipya ukiendelea.

 Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.  Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana  (kulia), akiwagawia zawadi ya simu hiyo baadhi ya waandishi waliouliza maswali mbalimbali. Wanahabari wakipokea zawadi ya simu hiyo ya kisasa toleo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Picha: Tecno yaizindua simu mpya, ni Phantom 5

Tecno Mobile Tanzania imezindua simu yake mpya, Phantom 5. Meneja mauzo wa simu za Tecno, Fred Kadilana akiionesha simu ya Phantom 5 kwenye uzinduzi huo Uzinduzi huo ulifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam. Meneja mauzo wa simu za Tecno, Fred Kadilana alidai kwenye uzinduzi huo kuwa Phantom 5 ni simu ya kisasa […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Ifahamu simu mpya ya Tecno, Phantom 5

Tecno Mobile Tanzania wameingia sokoni simu mpya, Tecno Phantom 5. Ifahamu zaidi kwa kutazama video hiyo chini. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Video: Ifahamu simu mpya ya Tecno, Phantom 4

Tecno Mobile Tanzania wameingiza sokoni simu mpya iitwayo Phantom 5. Ifahamu zaidi kwa kutazama video hiyo chini. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Tecno Phantom 5 ni zaidi ya simu

Friday-2

Binafsi ni miongoni mwa wachache waliopata bahati ya kuitumia simu hii mpya kutoka TECNO iliyobatizwa jina la Phantom 5.

Friday-2

Maneno matupu hayavunji mfupa lakini chenye sifa yake kipeni. Kwa mwaka mzima wa 2015 nimeshuhudia matolea tofauti tofauti ya simu lakini nikajikuta nimedidimia kwenye dimbwi la raha baada ya kununua simu hii mpya.

Sijawahi kujutia tangu niikamate simu hii kwenye kiganja cha mkono wangu. Usishangae ndio ukweli wenyewe huo. Phantom 5 ina vitu vingi ambavyo vimekuwa...

 

9 years ago

MillardAyo

Kama mpango wako ni kuanza 2016 na simu mpya kwenye ubora wake, unaweza kuanza na TECNO Phantom 5

Kila mtu anaanza mwaka na mipango yake, 2016 ndio hii kwenye countdown ya tarehe za January… kama ishu ya kubadili simu iko kwenye mipango yako ya mwanzo mwanzo wa mwaka basi naomba nikufahamishe machache kuhusu hii Phantom 5. Kwa sababu Tecno wamethibitisha kuwasogezea Watanzania matoleo kadhaa ya simu za smartphones zenye viwango vyake sokoni, basi kuna […]

The post Kama mpango wako ni kuanza 2016 na simu mpya kwenye ubora wake, unaweza kuanza na TECNO Phantom 5 appeared first on...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL KUPITIA HUDUMA YA SWITCH ON YAZINDUA OFA KAMBABE YA SIMU NA TECNO H5 MPYA‏

Kulia ni Meneja Masoko wa Airtel Bi Prisca Tembo na Meneja Biashara wa Techno bw, Marco Wang wakionyesha simu mpya ya TechoH5 iliyoingizwa sokoni ikiwa na ofa kabambe itakaowawezesha wateja wa Airtel kupata simu ya kisasa pamoja na vifurushi vya internet ya kudumu kwa muda wa miezi mitatu kuanzia leo
Kushoto ni Afisa Mauzo wa airtel Nizar Aladawy na Afisa Mauzo wa Techno bi, Lolinda Joshman wakionyesha simu mpya ya TechoH5...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya simu ya Tigo yazindua chapa mpya LIVE IT, LOVE IT kuelekea msimu wa sikukuu ya Krismas

Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyanja, akizungumza na waandishi wa habari wakati akimkaribisha Meneja Mkuu wa Tigo kuzungumza na wanahabari.

2

Meneja Mkuu wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Diego Gutierrez  (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa  chapa mpya yenye kauli mbinu ya ‘Live it, love it’ itakayoimarisha nafasi ya mbunifu anayeongoza kwa ubunifu wa kidigitali nchini. Kulia ni Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga.

Meneja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani