Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FIFA kwenye headlines nyingine ya kumsimamisha kiongozi wake…

Kamati ya maadili ya FIFA imependekeza katibu mkuu wa shirikisho hilo linalosimamia soka duniani Jerome Valcke asimamishwe kujihusisha na mchezo wa soka kwa miaka tisa. Katibu huyo anadaiwa kutumia vibaya pesa ikiwemo uuzaji wa tiketi za kombe la duniani lililopita pamoja na kukiuka sheria za Shirikisho hilo. Awali kamati ya nidhamu alimsimamisha katibu huyo kwa […]

The post FIFA kwenye headlines nyingine ya kumsimamisha kiongozi wake… appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Rooney katika nafasi nyingine kwenye ubora wake…

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester united Wyne Rooney ametangazwa kuwa mchezaji bora kwa mwaka 2015 kwa mara nyingine. Hii inakuwa mara ya pili staa huyo wa England kuchaguliwa mchezaji bora na mashabiki wa ligi kuu baada ya mwaka 2014 kushinda pia mwaka 2008 na  2009. Pia kipa wa Stoke City Jack Butland amechaguliwa kuwa kipa […]

The post Rooney katika nafasi nyingine kwenye ubora wake… appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Olamide karudi tena kwenye headlines na hii nyingine ‘Eyan Mayweather’…(Video)

Moja ya mastaa wanaofanya vyema katika industry ya muziki Nigeria ni pamoja na Olamide ambaye tayari nyimbo zake nyingi zikiwemo alizowashirikisha mastaa mbalimbali zimefanya vizuri. Olamide ameamua kuja na video yake mpya ya single yake ya ‘ Eyan Mayweather’ iliyofanyika jijini Lagos. Nakukaribisha kuitazama hapa Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na […]

The post Olamide karudi tena kwenye headlines na hii nyingine ‘Eyan Mayweather’…(Video) appeared...

 

9 years ago

MillardAyo

Headlines baada ya headlines..panga lingine limemkuta Mkurugenzi Manispaa ya Ilemela

Naibu Waziri wa Tamisemi Suleiman Jaffo amemsimamisha kazi kwa muda Mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela jijini Mwanza John Wanga. Hatua ya Jaffo imekuja ili kupisha uchunguzi wa uhalali wa fedha zilizotumika kujenga uzio wa Halmashauri ya Wilaya hiyo. Amesema nafasi yake itashikiliwa kwa muda na Injinia Jacob Nathaniel hadi uchunguzi wa tuhuma hizo utakapokamilika. Unataka […]

The post Headlines baada ya headlines..panga lingine limemkuta Mkurugenzi Manispaa ya Ilemela appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Tabasamu la Ronaldo kwenye headlines za mradi wa zaidi ya Bilioni 170 za kibongo …

Najua mwaka 2015 umekuwa wa headlines nyingi kwa staa wa soka wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo ambaye amerudi tena katika headlines na stori hii, Ronaldo ambaye kwa mwaka 2015 pekee amefanikiwa kuzindua perfume, movie ya maisha yake halisi na viatu, December 17 ameweka wazi project yake mpya. […]

The post Tabasamu la Ronaldo kwenye headlines za mradi wa zaidi ya Bilioni 170 za kibongo … appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Ninazo hizi video mpya 5 za bongofleva zinazochukua headlines kwenye Youtube…

Kazi yangu ni kuhakikisha haupitwi na chochote kinachonifikia basi hapa ninazo video mpya 5 ambazo zinachukua headlines kwenye mtandao wa Youtube. Zifuatazo ni video mpya za bongo  zilizotoka mwezi December 2015 ambazo zimechukua headlines hutakiwi zikupite…. ya kwanza kuitazama ni hii ya Alikiba & Christian Bella iitwayo Nagharamia  imewekwa December 19 2015 na mpaka sasa […]

The post Ninazo hizi video mpya 5 za bongofleva zinazochukua headlines kwenye Youtube… appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Mr Blue kwenye headlines za kuanzisha idea ya jina la Simba analolitumia Diamond Platnumz….

Itakuwa sio mara yako ya kwanza kuona jina la Simba likitumika katika post za Diamond Platnumz hasa kupitia mtandao wa instagram, sasa leo Dec 28 Mr Blue kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika madai na kusema kuwa ndio mwanzilishi wa idea wa jina la Simba. Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram aliandika madai hayo kwa […]

The post Mr Blue kwenye headlines za kuanzisha idea ya jina la Simba analolitumia Diamond Platnumz…. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani