Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tabasamu la Ronaldo kwenye headlines za mradi wa zaidi ya Bilioni 170 za kibongo …

Najua mwaka 2015 umekuwa wa headlines nyingi kwa staa wa soka wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo ambaye amerudi tena katika headlines na stori hii, Ronaldo ambaye kwa mwaka 2015 pekee amefanikiwa kuzindua perfume, movie ya maisha yake halisi na viatu, December 17 ameweka wazi project yake mpya. […]

The post Tabasamu la Ronaldo kwenye headlines za mradi wa zaidi ya Bilioni 170 za kibongo … appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Wanaofanana na wanasoka, anachukua warembo kwa kufanana na Ronaldo, mwingine alimuweka Messi kwenye headlines

Kwa upande wa Tanzania tumezoea kuona team ya XXL ya Clouds FM kuandaa show ya mwisho wa mwaka kwa ajili ya wanafunzi kuenjoy baada ya kupata muda wa kupumzika kutoka shule au chuo, show hii huwa inaitwa After School Bash, huwa ina vitu vingi, tukiachana na Perfomance za wasanii kuna time watu waliofanana na mastaa […]

The post Wanaofanana na wanasoka, anachukua warembo kwa kufanana na Ronaldo, mwingine alimuweka Messi kwenye headlines appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

30,170 kuwezeshwa na mradi kielimu, kiuchumi

WAKAZI wapatao 30,170 kutoka katika familia maskini katika vijiji 20 vya wilaya za Sikonge, Urambo na Kaliua, mkoani Tabora wanatarajiwa kunufaika kielimu na kiuchumi kutokana na jitihada  za uwezeshwaji zinazofanywa...

 

9 years ago

Bongo5

Taylor Swift adaiwa kuipiga chini dili ya kutumbuiza kwenye harusi ya bilionea, ambayo ingemuingizia zaidi ya sh bilioni 4!

Muimbaji wa Marekani, Taylor Swift anadaiwa kuipiga chini dili ya kutumbuiza nyimbo 3 tu kwenye harusi ya bilionea mmoja, ambayo ingemuingizia dola milioni 2, sawa na zaidi ya shilingi bilioni 4. Inasemekana kuwa Taylor alifanya uamuzi huo wa kuipotezea dili hiyo ili ahudhurie na kutumbuiza bure kwenye sherehe ya ubatizo wa mtoto wa rafiki yake […]

 

9 years ago

MillardAyo

Headlines baada ya headlines..panga lingine limemkuta Mkurugenzi Manispaa ya Ilemela

Naibu Waziri wa Tamisemi Suleiman Jaffo amemsimamisha kazi kwa muda Mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela jijini Mwanza John Wanga. Hatua ya Jaffo imekuja ili kupisha uchunguzi wa uhalali wa fedha zilizotumika kujenga uzio wa Halmashauri ya Wilaya hiyo. Amesema nafasi yake itashikiliwa kwa muda na Injinia Jacob Nathaniel hadi uchunguzi wa tuhuma hizo utakapokamilika. Unataka […]

The post Headlines baada ya headlines..panga lingine limemkuta Mkurugenzi Manispaa ya Ilemela appeared first on...

 

9 years ago

Bongo5

27 wauawa baada ya watu 170 kushikiliwa mateka kwenye hoteli nchini Mali

2EA5E94000000578-3326708-image-a-1_1448047482182

Takriban watu 27 wameuawa Jumamosi hii baada ya watu 170 kushikiliwa mateka kwenye hoteli ya Radisson Blu ya nchini Mali.

2EA5E94000000578-3326708-image-a-1_1448047482182

Shambulio hilo limefanywa na watu watatu kwenye mji mkuu Bamako, ambapo watu hao wakiwa na silaha waliivamia hoteli hiyo. Wawili kati yao wameuawa kwenye tukio hilo.

Mbunge wa Ubelgiji, Geoffrey Dieudonné, ni miongoni mwa waliouawa.

Dieudonné alikuwa akitoa mafunzo kwa maafisa wa bunge la Mali. Rais Ibrahim Boubacar Keita ametangaza siku tatu za maombolezo.

Kundi la...

 

9 years ago

MillardAyo

FIFA kwenye headlines nyingine ya kumsimamisha kiongozi wake…

Kamati ya maadili ya FIFA imependekeza katibu mkuu wa shirikisho hilo linalosimamia soka duniani Jerome Valcke asimamishwe kujihusisha na mchezo wa soka kwa miaka tisa. Katibu huyo anadaiwa kutumia vibaya pesa ikiwemo uuzaji wa tiketi za kombe la duniani lililopita pamoja na kukiuka sheria za Shirikisho hilo. Awali kamati ya nidhamu alimsimamisha katibu huyo kwa […]

The post FIFA kwenye headlines nyingine ya kumsimamisha kiongozi wake… appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Bongo5

Wapeni movie nzuri, wabongo wanaweza kwenda kuangalia filamu za kibongo kwenye majumba ya sinema

12356420_957636774330521_1441234626_n

Jumamosi hii nilipata bahati ya kwenda kuangalia filamu ya Going Bongo kwenye jumba la sinema la Century Cinemax lililopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.

12356420_957636774330521_1441234626_n

Going Bongo ni filamu pekee iliyochezwa na Watanzania, inayooneshwa hapo. Kwa wiki hii filamu zingine zinazooneshwa ni pamoja na The Peanut Movie, The Good Dinosaur, Tamasha, Spectre, Hate Story 3, In The Heart of The Sea na zingine.

Mimi niliangia kuangalia Going Bongo kuanzia saa mbili usiku, ikiwa ni siku ya pili tangu ianze...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani