Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


27 wauawa baada ya watu 170 kushikiliwa mateka kwenye hoteli nchini Mali

2EA5E94000000578-3326708-image-a-1_1448047482182

Takriban watu 27 wameuawa Jumamosi hii baada ya watu 170 kushikiliwa mateka kwenye hoteli ya Radisson Blu ya nchini Mali.

2EA5E94000000578-3326708-image-a-1_1448047482182

Shambulio hilo limefanywa na watu watatu kwenye mji mkuu Bamako, ambapo watu hao wakiwa na silaha waliivamia hoteli hiyo. Wawili kati yao wameuawa kwenye tukio hilo.

Mbunge wa Ubelgiji, Geoffrey Dieudonné, ni miongoni mwa waliouawa.

Dieudonné alikuwa akitoa mafunzo kwa maafisa wa bunge la Mali. Rais Ibrahim Boubacar Keita ametangaza siku tatu za maombolezo.

Kundi la...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Watu 17 wauawa nchini Mali

Kuna hali ya wasiwasi mjini Kidal Kaskazini mwa Mali ambapo takriban watu 17 wameuawa katika mapigano ya siku tatu.

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Watu 9 wauawa kwa kupigwa risasi kwenye chuo nchini Marekani

Watu 9 wameuwa na wengine saba kujeruhiwa kufuatia mauaji kwa kutumia bunduki yaliyotokea kwenye chuo kilichopo kwenye jimbo la Oregon, Marekani. Muuaji mwenye umri wa miaka 26 alifyatua risasi kwenye chuo cha Umpqua jana asubuhi kwa saa za Marekani na yeye kuuawa na polisi. Polisi wamedai kuwa jina la mtu huyo ni Chris Harper Mercer. […]

 

10 years ago

GPL

MATEKA WA UHOLANZI NCHINI MALI AOKOLEWA NA WAFARANSA

Sjaak Rijke aliyekuwa ametekekwa nchini Mali. SJAAK RIJKE, dereva wa treni aliyetekwa na wapiganaji wenye uhusiano na Al-Qaida mjini Timbuktu, Mali,  tangu Novemba 2011, aliokolewa majuzi na wanajeshi wa Ufaransa waliovamia kituo cha watekaji usiku. Rais wa Ufaransa, Francois Hollande, amesema mateka huyo yuko salama na mwenye afya njema na amepelekwa sehemu yenye usalama baada ya uvamizi ambao wapiganaji kadhaa waliomteka...

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu wenye silaha washambulia hoteli Mali

Watu wenye silaha wameshambulia hoteli ya Radisson Blu katika mji mkuu wa Mali, Bamako, ripoti zinasema

 

9 years ago

BBCSwahili

Uvamizi wa hoteli nchini Mali

Watu wenye silaha wameshambulia hoteli ya Radisson Blu katika mji mkuu wa Mali, Bamako, ripoti zinasema.

 

10 years ago

BBCSwahili

11 wauawa kwenye mapigano Mali

Takriban watu 11 wameuawa Magharibi mwa Mali wakati wa mapigano kati ya wapiganaji wa kiislamu na jeshi

 

10 years ago

BBCSwahili

kumi wauawa nchini Mali

Jeshi nchini Mali limesema zaidi ya watu kumi wameuawa katika shambulio moja kwenye mji wa Gaberi kaskazini mwa nchini humo .

 

11 years ago

BBCSwahili

Waasi 11 wauawa nchini Mali

Wanajeshi wa Ufaransa wanasema kwamba wamepambana na waasi katika mji wa Tumbuktu Kaskazini mwaMali ambapo wapiganaji kumi na moja wameuawa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Watu 28 wauawa nchini China

kundi moja la watu waliojihami kwa visu limewauawa takriban watu 28 katika kituo kimoja cha treni huko Kunming.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani