MATEKA WA UHOLANZI NCHINI MALI AOKOLEWA NA WAFARANSA
![](http://api.ning.com:80/files/JeioNtmyO2Z4WSwoQc0EI*eoI61w8rmKjyP4XcXc9*PYNnA84k4j8c9qLe*X4CS9cG-q3EqHv6f2PXH55Qg6s6yMkQ7pvApH/606x340_303591.jpg?width=650)
Sjaak Rijke aliyekuwa ametekekwa nchini Mali. SJAAK RIJKE, dereva wa treni aliyetekwa na wapiganaji wenye uhusiano na Al-Qaida mjini Timbuktu, Mali, tangu Novemba 2011, aliokolewa majuzi na wanajeshi wa Ufaransa waliovamia kituo cha watekaji usiku. Rais wa Ufaransa, Francois Hollande, amesema mateka huyo yuko salama na mwenye afya njema na amepelekwa sehemu yenye usalama baada ya uvamizi ambao wapiganaji kadhaa waliomteka...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo521 Nov
27 wauawa baada ya watu 170 kushikiliwa mateka kwenye hoteli nchini Mali
![2EA5E94000000578-3326708-image-a-1_1448047482182](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/2EA5E94000000578-3326708-image-a-1_1448047482182-300x194.jpg)
Takriban watu 27 wameuawa Jumamosi hii baada ya watu 170 kushikiliwa mateka kwenye hoteli ya Radisson Blu ya nchini Mali.
Shambulio hilo limefanywa na watu watatu kwenye mji mkuu Bamako, ambapo watu hao wakiwa na silaha waliivamia hoteli hiyo. Wawili kati yao wameuawa kwenye tukio hilo.
Mbunge wa Ubelgiji, Geoffrey Dieudonné, ni miongoni mwa waliouawa.
Dieudonné alikuwa akitoa mafunzo kwa maafisa wa bunge la Mali. Rais Ibrahim Boubacar Keita ametangaza siku tatu za maombolezo.
Kundi la...
10 years ago
BBCSwahili06 Apr
Mateka wa Mali aachiliwa huru
11 years ago
Mwananchi12 Dec
Malkia Maxima wa Uholanzi awasili nchini
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-_ZM6DdEgpI4/VXW8zKExKII/AAAAAAADqqI/2e8-RPWI-0s/s72-c/h%2B%25281%2529.jpg)
ZIARA YA RAIS KIKWETE NCHINI UHOLANZI
![](http://3.bp.blogspot.com/-_ZM6DdEgpI4/VXW8zKExKII/AAAAAAADqqI/2e8-RPWI-0s/s640/h%2B%25281%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-_pEmP13bNGw/VXW81jC9QII/AAAAAAADqq8/o6rpCs7wGNY/s640/h%2B%25282%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-XTnxmxVh7nw/VXW83n8gfTI/AAAAAAADqro/qECWsINS6S4/s640/h%2B%25283%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-rlIUt71bfK0/VXW84H-UIPI/AAAAAAADqrg/uUpV0hAPM9A/s640/h%2B%25284%2529.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-HLOCHP8XE0c/VPSatK00BnI/AAAAAAABm0E/EYF1buT774s/s72-c/IMG_6942.jpg)
Dk Shein akutana na Balozi wa Uholanzi nchini
![](http://2.bp.blogspot.com/-HLOCHP8XE0c/VPSatK00BnI/AAAAAAABm0E/EYF1buT774s/s640/IMG_6942.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-jqCa_Gasak0/VPSatO401cI/AAAAAAABm0I/rGy7lATeCVU/s640/IMG_6955.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Fo3I6ZlQ7tg/VPSasZJnwSI/AAAAAAABmz8/kfBrZZs2oW4/s640/IMG_6965.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p0ZiZvXgHQjv6uo6hJ1ISQI5n*dmEB6cuqIhkhThVGW80vAkCkt49DdakC9dSKtMGjQhERisPnxXHP7SWRPrfJSCANKDDRbI/h1.jpg?width=750)
ZIARA YA RAIS KIKWETE NCHINI UHOLANZI
11 years ago
Bongo513 Jul
Uholanzi yailaza Brazil 3-0,Uholanzi yashika nafasi ya 3 kombe la dunia
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-lqkLYwrLXRw/VPR9FlVJegI/AAAAAAAHHJo/9Q-onueNq-Q/s72-c/unnamed%2B(76).jpg)
Dk. Shein akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Uholanzi nchini
![](http://3.bp.blogspot.com/-lqkLYwrLXRw/VPR9FlVJegI/AAAAAAAHHJo/9Q-onueNq-Q/s1600/unnamed%2B(76).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/--2besAdZP6I/VPR9FawkeJI/AAAAAAAHHJk/0Ze0cCvNSus/s1600/unnamed%2B(77).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-ToNOOtc8snE/VPR9Fka0z0I/AAAAAAAHHJs/HmPuDb7Q78s/s1600/unnamed%2B(78).jpg)
10 years ago
Dewji Blog09 Jun
Matukio mbalimbali katika picha ziara ya Rais Kikwete nchini Uholanzi
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Uholanzi waliojitokeza kumlaki wakati akiwasili jijini The Hague, Uholanzi, leo Jumatatu Juni 8, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo na muhtasari wa ziara yake toka kwa Balozi wa Tanzania nchini Uholani Mhe Wilson Masilingi baada ya kuwasili The Hague leo Jumatatu Juni 8, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya mafuta ya Shell Bw. Ben van Beurden jijini the Hague,...