Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uholanzi yailaza Brazil 3-0,Uholanzi yashika nafasi ya 3 kombe la dunia

Timu ya taifa ya Uholanzi imeibamiza Brazil 3-0 na kutwaa nafasi ya tatu katika kombe la dunia huko Brazil. Mashabiki wa Brazil waliwazomea wachezaji wao akiwemo kocha Luiz felipe Scolari kwa utendakazi duni katika mechi hizi mbili za mwisho ambazo Brazil imefungwa mabao 10 nayo ikifunga moja. Brazil ilifungua mechi hiyo kwa kasi lakini ikafungwa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UHOLANZI YASHIKA NAFASI YA 3 KOMBE LA DUNIA 2014

Wachezaji wa Uholanzi wakipozi na medali zako baada ya kushika nafasi ya tatu Kombe la Dunia 2014. Robin van Persie akiifungia Uholanzi bao la kwanza kwa mkwaju wa penalti katika dakika ya tatu ya mchezo.…

 

11 years ago

Michuzi

goli la penati dhidi ya mexico yaipeleka uholanzi robo fainali kombe la dunia brazil leo

Kocha wa Uholanzi Louis van Gallakimpongeza Arjen Robben kwa kufanyiwa rafu iliyozaa penati na hatimaye bao la ushindi dhidi ya Mexico leo
Na Sultani Kipingo

wa Globu ya Jamii

Yaani huko Old Trafford katika  klabu ya Manchester United nchini Uingereza atakoenda kufundisha msimu ujao tayari waliishaanza kuandaa ofisi ya meneja wao mpya Louis van Gall anayeifundisha timu ya Uholanzi katika kombe la dunia, baada ya kuhisiwa kuwa ataaga mashindani hayo Jumapili hii walipocheza na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Uholanzi yanyakua nafasi ya 3 Brazil

Uholanzi iliilaza Brazil mabao matatu kwa nunge na kunyakua nafasi ya 3 katika kombe la dunia huko Brazil

 

11 years ago

GPL

KIKOSI CHA UHOLANZI KOMBE LA DUNIA 2014

Goalkeepers: Jasper Cillessen (Ajax), Tim Krul (Newcastle), Michel Vorm (Swansea), Jeroen Zoet (PSV Eindhoven).
Defenders: Daley Blind, Joel Veltman (both Ajax), Stefan de Vrij, Daryl Janmaat, Terence Kongolo, Bruno Martins Indi, Tonny Vilhena (all Feyenoord), Karim Rekik (PSV Eindhoven - on loan from Manchester City), Patrick van Aanholt (Vitesse Arnhem), Paul Verhaegh (FC Augsburg), Ron Vlaar (Aston Villa). Midfielders: Jordy...

 

10 years ago

Michuzi

Timu ya Taifa ya Mchezo wa Baseball (U18) yashika nafasi ya tatu mashindano ya Kufaulu kushiriki kombe la Dunia

Timu ya Taifa ya Mchezo wa Baseball baada ya ushindi wa nafasi ya tatu (Bronze Medal) katika mashindano ya Kufaulu kushiriki kombe la Dunia la Mchezo wa Baseball Umri chini ya Miaka 18. Mashindano hayo yalifanyika nchini Kenya katika mji wa Meru tarehe 15 - 20 Disemba, 2014 na yalikuwa kutafuta tiketi kwa Bara la Afrika ya kushiriki mashindano ya Kombe la Dunia yatakayofanyika hapo mwakani 2015 katika jiji la Tokyo, Japan.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uholanzi hoi Kombe la Ulaya

Kitimtim cha kutafuta tiketi ya michuano ya soka barani Ulaya mwaka 2016 iliendelea tena jana.

 

11 years ago

BBCSwahili

Uholanzi kusonga mbele ,Brazil

Uholanzi yafuzu kwa mkondo wa pili wa kombe la dunia baada ya kuibana Australia 3-2

 

11 years ago

Bongo5

Argentina yailaza Uholanzi 4-2, fainali Argentina na Ujerumani july 13

Timu ya soka ya Argentina imejikatia tiketi ya kufuzu kwa fainali yake ya kwanza tangu mwaka 1990 baada ya kuilaza timu ya Uholanzi kwa goli 4-2, ambapo fainali itachuana na Ujerumani july 13 siku ya jumapili. Katika mchezo huo wa nusu fainali wa jana, Argentina na Uholanzi zilitoka sare tasa baada ya muda wa kawaida […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani