Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uholanzi yanyakua nafasi ya 3 Brazil

Uholanzi iliilaza Brazil mabao matatu kwa nunge na kunyakua nafasi ya 3 katika kombe la dunia huko Brazil

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Uholanzi yailaza Brazil 3-0,Uholanzi yashika nafasi ya 3 kombe la dunia

Timu ya taifa ya Uholanzi imeibamiza Brazil 3-0 na kutwaa nafasi ya tatu katika kombe la dunia huko Brazil. Mashabiki wa Brazil waliwazomea wachezaji wao akiwemo kocha Luiz felipe Scolari kwa utendakazi duni katika mechi hizi mbili za mwisho ambazo Brazil imefungwa mabao 10 nayo ikifunga moja. Brazil ilifungua mechi hiyo kwa kasi lakini ikafungwa […]

 

11 years ago

GPL

UHOLANZI YASHIKA NAFASI YA 3 KOMBE LA DUNIA 2014

Wachezaji wa Uholanzi wakipozi na medali zako baada ya kushika nafasi ya tatu Kombe la Dunia 2014. Robin van Persie akiifungia Uholanzi bao la kwanza kwa mkwaju wa penalti katika dakika ya tatu ya mchezo.…

 

11 years ago

BBCSwahili

Uholanzi kusonga mbele ,Brazil

Uholanzi yafuzu kwa mkondo wa pili wa kombe la dunia baada ya kuibana Australia 3-2

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Van Persie aitia wasiwasi Uholanzi

Persie alishindwa kumalizia mchezo huo ambao timu yake ilishinda kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Wales uliopigwa Jumanne usiku.

 

11 years ago

Michuzi

goli la penati dhidi ya mexico yaipeleka uholanzi robo fainali kombe la dunia brazil leo

Kocha wa Uholanzi Louis van Gallakimpongeza Arjen Robben kwa kufanyiwa rafu iliyozaa penati na hatimaye bao la ushindi dhidi ya Mexico leo
Na Sultani Kipingo

wa Globu ya Jamii

Yaani huko Old Trafford katika  klabu ya Manchester United nchini Uingereza atakoenda kufundisha msimu ujao tayari waliishaanza kuandaa ofisi ya meneja wao mpya Louis van Gall anayeifundisha timu ya Uholanzi katika kombe la dunia, baada ya kuhisiwa kuwa ataaga mashindani hayo Jumapili hii walipocheza na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miamba ya Afrika na nafasi yao Brazil 2014

SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA), limepanga makundi na ratiba ya fainali za Kombe la Dunia hatua ya makundi itakayoshindanisha timu 32 zilizogawanywa makundi nane ya timu nne kila moja....

 

9 years ago

BBCSwahili

CCM yanyakua viti 64 maalum,Chadema 36

Chama cha CCM kimenyakua idadi kubwa ya viti vya wabunge maalum miongoni mwa vyama vilivyoshiriki katika uchaguzi mkuu uliopita.

 

9 years ago

Global Publishers

CCM yanyakua ubunge jimbo la Masasi

33Mbunge Mteule wa Jimbo la Masasi kwa tiketi ya CCM, Bw. Rashid Chuachua.

Chama cha Mapinduzi kimeweza kutetea jimbo lake la Masasi katika uchaguzi ulifanyika jana baada ya kuahirishwa Okt. 25 mwaka huu kutokana na kifo cha aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia chama cha NLD, Dkt. Emamanuel Makaidi kufariki Dunia huko Nyangao mkoani Lindi.

Kwa mujibu wa matokeo ya uchaguzi huo yaliyotangazwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya jimbo la Masasi, Fortunatus Kagoro amesema kuwa Bw. Rashid...

 

9 years ago

Michuzi

CCM YANYAKUA UENYEKITI WA HALMASHAURI LINDI VIJIJINI

Mkuu wa Wilaya ya Lindi Ndugu Yahaya Nawanda akihutubia wakati wa ufunguzi wa kikao cha kwanza cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Lindi Vijijini ambapo aliwataka madiwani wao kuhakikisha suala la usafi linatiliwa mkazo kwenye maeneo yao. Baadhi ya madiwani wakisikiliza kwa makini.
 Mbunge wa Jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye akipiga kura kumchagua Mwenyekiti wa Halmashauri ya Lindi Vijijini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani