Argentina yailaza Uholanzi 4-2, fainali Argentina na Ujerumani july 13
Timu ya soka ya Argentina imejikatia tiketi ya kufuzu kwa fainali yake ya kwanza tangu mwaka 1990 baada ya kuilaza timu ya Uholanzi kwa goli 4-2, ambapo fainali itachuana na Ujerumani july 13 siku ya jumapili. Katika mchezo huo wa nusu fainali wa jana, Argentina na Uholanzi zilitoka sare tasa baada ya muda wa kawaida […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili13 Jul
Fainali : Argentina vs Ujerumani
Hauchi hauchi hatimaye fainali ya kombe la dunia ni leo ! Argentina inachuana dhidi ya Ujerumani.
11 years ago
BBCSwahili13 Jul
Argentina na Ujerumani katika Fainali
Argentina inachuana dhidi ya Ujerumani katika fainali ya kombe la dunia
11 years ago
BBCSwahili10 Jul
Ni Argentina dhidi ya Ujerumani Fainali
Argentina imefuzu kwa fainali ya kombe la dunia baada ya kuilaza Uholanzi 4-2 kwa penalti.
11 years ago
Mwananchi10 Jul
BRAZIL 2014: Ni Argentina na Ujerumani fainali
Timu ya soka ya Argentina imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya Kombe la Dunia baada kuitungua Uholanzi kwa mikwaju ya penalti 4-2, katika mchezo wa jana wa nusu fainali nchini Brazil.
11 years ago
GPLARGENTINA WATINGA FAINALI, KUKWAANA NA UJERUMANI JUMAPILI HII
Wanaumeee: Argentina wakishangilia baada ya kutinga fainali kwa ushindi wa penalti 4-2. Messi kazini: Lionel Messi akijaribu kumtoka Nigel de Jong wakati wa mtanange huo.…
11 years ago
BBCSwahili06 Jul
Uholanzi kukutana na Argentina
Uholanzi imeishinda Costa Rica ili kuungana na Argentina, Brazil na Ujerumani katika mechi za semi fainali ya kombe la dunia.
11 years ago
BBCSwahili11 Jul
Historia: Ujerumani na Argentina
Argentina na Ujerumani zitachuana katika fainali ..Je wajua itakuwa mara ya 3 katika historia?
10 years ago
BBCSwahili04 Sep
Argentina yaichapa Ujerumani 4-2
Timu ya taifa ya Argentina imeicharaza Ujerumani magoli 4-2 katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa
10 years ago
Mwananchi19 Aug
Ujerumani, Argentina, Algeria zimeonyesha njia
Pamoja na kuwakusanya pamoja watu wa mataifa mbalimbali duniani, mchezo wa soka kwa kipindi cha hivi karibuni umekuwa ni mojawapo ya njia zinazoweza kutumika kusaidia jamii.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania