Mateka wa Mali aachiliwa huru
Jeshi maalum la Ufaransa nchini Mali limemwachilia huru mateka mmoja wa Uholanzi aliyetekwanyara miaka mitatu na nusu iliopita.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili05 Oct
Mateka Muingereza aachiliwa huru Libya
Mwalimu mmoja raia wa Uingereza ambaye alitekwa nyara nchini Libya mwezi Mei mwaka huu ameachiliwa huru.
10 years ago
BBCSwahili23 Sep
Mateka Mrejumani aachiliwa Somalia
Maafisa wa utawala nchini Somalia, katika jimbo la Puntland, wamethibitisha kuwa mateka mjerumani Michael Scott, ameachiliwa leo.
10 years ago
BBCSwahili27 Apr
Francois Bizimana aachiliwa huru
watu wawili wameuawa katika maandamano ya upinzani nchini Burundi .Watu hao walipigwa risasi na polisi mjini Bujumbura.
10 years ago
BBCSwahili06 Mar
Mwanaharakati wa Urusi aachiliwa huru
Mwanaharakati maarufu anayepinga ufisadi nchini Urusi Alexei Navalny ameachiliwa baada ya kuzuiliwa kwa siku 15 gerezani.
11 years ago
BBCSwahili25 May
Shinawtra aachiliwa huru na Jeshi
Kuna taarifa kuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Thailand, Yingluck Shinawtra, ameachiliwa huru na viongozi wapya wa jeshi.
9 years ago
BBCSwahili12 Dec
Mwana wa Gaddafi aachiliwa huru Lebanon
Mwana wa kiume wa aliyekuwa kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi, Hannibal, ameachiliwa huru baada ya kutekwa nyara kwa muda na kundi la wapiganaji.
10 years ago
BBCSwahili20 Sep
Mateka 49 wa Uturuki waachiliwa huru
Waziri mkuu nchini Uturuki amesema kuwa mateka 49 ambao walikuwa wametekwa na kundi la Islamic state wameachiliwa huru.
9 years ago
Habarileo03 Sep
Mateka wa Tanzania DRC waachiwa huru
WATANZANIA sita waliokuwa wameshikiliwa mateka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wameachiwa huru usiku wa kuamkia juzi.
10 years ago
BBCSwahili26 Apr
Mateka wa Sweden waachiliwa huru Syria
Sweden wanasema kuwa raia wake wawili ambao walikuwa wakishikiliwa mateka nchini Syria wameachiliwa huru kupitia usaidizi wa Palestina na Jordan
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania