Mateka Mrejumani aachiliwa Somalia
Maafisa wa utawala nchini Somalia, katika jimbo la Puntland, wamethibitisha kuwa mateka mjerumani Michael Scott, ameachiliwa leo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili06 Apr
Mateka wa Mali aachiliwa huru
Jeshi maalum la Ufaransa nchini Mali limemwachilia huru mateka mmoja wa Uholanzi aliyetekwanyara miaka mitatu na nusu iliopita.
10 years ago
BBCSwahili05 Oct
Mateka Muingereza aachiliwa huru Libya
Mwalimu mmoja raia wa Uingereza ambaye alitekwa nyara nchini Libya mwezi Mei mwaka huu ameachiliwa huru.
11 years ago
BBCSwahili21 Mar
Kiongozi wa upinzani aachiliwa Burundi
Mahakama nchini Burundi imemwachilia kwa dhamana Frederic Bamvuginyumvira aliyekabiliwa na kashfa ya ngono na ulaji rushwa.
10 years ago
BBCSwahili19 Feb
Mwandishi aliyefungwa aachiliwa Burundi
Makumi ya maelfu ya raia wameandamana katika mji mkuu wa Burundi ,Bujumbura wakimuungano mkono mwandishi maarufu aliyefungwa
10 years ago
BBCSwahili06 Mar
Mwanaharakati wa Urusi aachiliwa huru
Mwanaharakati maarufu anayepinga ufisadi nchini Urusi Alexei Navalny ameachiliwa baada ya kuzuiliwa kwa siku 15 gerezani.
10 years ago
BBCSwahili30 Jan
Aliyekuwa kiongozi wa makaburu aachiliwa
Kiongozi wa zamani wa utawala wa kiimla wa makaburu nchini Afrika Kusini ameachiliwa huru
10 years ago
BBCSwahili15 Jun
Aliyemuudhi Museveni aachiliwa Uganda
Mkosoaji mkuu wa serikali ya Uganda kupitia mtandao wa kijamii, Robert Shaka,ameachiliwa huru kwa dhamana na mahakama moja Kampala
11 years ago
BBCSwahili28 Apr
Mchunguzi wa Umoja wa Ulaya aachiliwa
Mmoja wa wachunguzi wa muungano wa Ulaya waliokamatwa na wanamgambo wanaotaka kujitenga Sloviansk nchini Ukraine ameachiliwa huru
10 years ago
BBCSwahili27 Apr
Francois Bizimana aachiliwa huru
watu wawili wameuawa katika maandamano ya upinzani nchini Burundi .Watu hao walipigwa risasi na polisi mjini Bujumbura.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania