Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uvamizi wa hoteli nchini Mali

Watu wenye silaha wameshambulia hoteli ya Radisson Blu katika mji mkuu wa Mali, Bamako, ripoti zinasema.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

27 wauawa baada ya watu 170 kushikiliwa mateka kwenye hoteli nchini Mali

2EA5E94000000578-3326708-image-a-1_1448047482182

Takriban watu 27 wameuawa Jumamosi hii baada ya watu 170 kushikiliwa mateka kwenye hoteli ya Radisson Blu ya nchini Mali.

2EA5E94000000578-3326708-image-a-1_1448047482182

Shambulio hilo limefanywa na watu watatu kwenye mji mkuu Bamako, ambapo watu hao wakiwa na silaha waliivamia hoteli hiyo. Wawili kati yao wameuawa kwenye tukio hilo.

Mbunge wa Ubelgiji, Geoffrey Dieudonné, ni miongoni mwa waliouawa.

Dieudonné alikuwa akitoa mafunzo kwa maafisa wa bunge la Mali. Rais Ibrahim Boubacar Keita ametangaza siku tatu za maombolezo.

Kundi la...

 

9 years ago

BBCSwahili

Hoteli iliyoshambuliwa Mali kufunguliwa

Hoteli iliyoshambuliwa katika mji mkuu wa Mali, Bamako, mwezi jana itafunguliwa tena leo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu wenye silaha washambulia hoteli Mali

Watu wenye silaha wameshambulia hoteli ya Radisson Blu katika mji mkuu wa Mali, Bamako, ripoti zinasema

 

10 years ago

BBCSwahili

Mali:Hoteli zashambuliwa katika mji wa Savere

Watu waliojihami kwa bunduki wameshambulia zaidi ya hoteli mbili katika mji wa Sevare eneo la katikati mwa Mali.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hoteli yashambuliwa nchini Somalia

Hoteli moja karibu na makazi ya Rais katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu imeshambuliwa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda ateta na wawekezaji nchini Poland wenye nia ya kujenga hoteli ya kimataifa Zanzibar

123121

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiandika maelezo muhimu wakati akimsikiliza Mkurugenzi wa kampuni ya Katanja-Neoval Oil, Bw. NICODEMO SWIACKI (kushoto) akiwasilisha mada kuhusu kampuni yao ambayo inataka kuwekeza Tanzania kwenye kiwanda cha kusafisha dhahabu (gold refinery) na ujenzi wa hoteli ya kimataifa huko Zanzibar. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk. Mahadhi Juma Maalim na Naibu Waziri wa Fedha, Bw. Mwigulu Nchemba. (Picha na Irene Bwire wa OWM).

123137

 

5 years ago

Michuzi

RC ARUSHA MRISHO GAMGO ASEMA HOTELI ALIYOPATIKANA MGONJWA WA CORONA IMEIFUNGA, WALIOPO HOTELI WOTE HAKUNA KUTOKA WALA KUINGIA

Na Mwandishi Wetu,Michuzi Globu ya jamii

MKUU wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema kwamba ndani ya Mkoa huo amebainika kuwepo kwa mgonjwa mmoja wa Corona na kwamba hoteli ambayo amekutwa mgonjwa huyo imefungwa na hivyo hakuna anayeingia wala anayetoka.

Akizungumza leo Machi 16 mwaka 2020 , Mkuu wa Mkoa wa Arusha Gambo amesema kama ambavyo ameeleza Waziri wa Afya ,Maendeleo  ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ni kweli wamepata mgonjwa mmoja wa Corona na kwa mujibu wa taarifa huyo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Waasi 11 wauawa nchini Mali

Wanajeshi wa Ufaransa wanasema kwamba wamepambana na waasi katika mji wa Tumbuktu Kaskazini mwaMali ambapo wapiganaji kumi na moja wameuawa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mkutano wa amani nchini Mali

Serikali ya Algeria, mnamo Jumatano iliandaa mkutano wa amani ulionuia kumaliza vita Kaskazini mwa Mali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani