Mali:Hoteli zashambuliwa katika mji wa Savere
Watu waliojihami kwa bunduki wameshambulia zaidi ya hoteli mbili katika mji wa Sevare eneo la katikati mwa Mali.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili20 Nov
Uvamizi wa hoteli nchini Mali
9 years ago
BBCSwahili15 Dec
Hoteli iliyoshambuliwa Mali kufunguliwa
9 years ago
BBCSwahili20 Nov
Watu wenye silaha washambulia hoteli Mali
9 years ago
Bongo521 Nov
27 wauawa baada ya watu 170 kushikiliwa mateka kwenye hoteli nchini Mali
![2EA5E94000000578-3326708-image-a-1_1448047482182](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/2EA5E94000000578-3326708-image-a-1_1448047482182-300x194.jpg)
Takriban watu 27 wameuawa Jumamosi hii baada ya watu 170 kushikiliwa mateka kwenye hoteli ya Radisson Blu ya nchini Mali.
Shambulio hilo limefanywa na watu watatu kwenye mji mkuu Bamako, ambapo watu hao wakiwa na silaha waliivamia hoteli hiyo. Wawili kati yao wameuawa kwenye tukio hilo.
Mbunge wa Ubelgiji, Geoffrey Dieudonné, ni miongoni mwa waliouawa.
Dieudonné alikuwa akitoa mafunzo kwa maafisa wa bunge la Mali. Rais Ibrahim Boubacar Keita ametangaza siku tatu za maombolezo.
Kundi la...
11 years ago
MichuziMaalim Seif atembelea eneo la Mji Mkongwe Zanzibar kuangalia mradi wa ujenzi wa hoteli ya kisasa ya Grand Hyatt
11 years ago
BBCSwahili22 May
Waasi wa Tuareg watwaa mji muhimu Mali
10 years ago
Dewji Blog27 Feb
Bloggers kukutana kesho katika hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam katika pati ya kihistoria
Jaji Kiongozi atoa somo kwa watumishi wa mahakama, vyama vya waajiri na waajiriwa Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na mmiliki wa Blog ya The Habari.com Joachim Mushi (katikati) akizungumza wakati wa mkutano na waandishi. Kutoka kushoto ni mjumbe wa TBN Mkala Fundikira, Afisa wa kampuni ya mawasiliano na matangazo ya AIMS, Shafiq Mpanja wa AIM, Ofisa Uhusiano wa NMB Doris Kilale na mjumbe wa TBN Khadija Kalili.
Katika mkutano huo TBN imesema kesho Jumamosi jioni Bloggers...
10 years ago
MichuziBLOGGERS KUKUTANA KESHO KATIKA HOTELI YA SERENA JIJINI DAR ES SALAAM KATIKA PATI YA KIHISTORIA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Q7_nSzbKywc/VZMCKvS9f5I/AAAAAAAHmB8/nC6Gb_cdMqI/s72-c/unnamed%2B%252823%2529.jpg)
WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI , UTALII NA MICHEZO ZANZIBAR AZINDUA HOTELI TAUSI Palace, MJI MKONGWE ZANZIBAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-Q7_nSzbKywc/VZMCKvS9f5I/AAAAAAAHmB8/nC6Gb_cdMqI/s640/unnamed%2B%252823%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-U5CLJQSXo7k/VZMCKg8VgvI/AAAAAAAHmCE/s-pY3yj9QQA/s640/unnamed%2B%252824%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-DX6J-2SWxb8/VZMCKl4ZIpI/AAAAAAAHmCA/DMhzE4etUjc/s640/unnamed%2B%252825%2529.jpg)