RC ARUSHA MRISHO GAMGO ASEMA HOTELI ALIYOPATIKANA MGONJWA WA CORONA IMEIFUNGA, WALIOPO HOTELI WOTE HAKUNA KUTOKA WALA KUINGIA

Na Mwandishi Wetu,Michuzi Globu ya jamii
MKUU wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema kwamba ndani ya Mkoa huo amebainika kuwepo kwa mgonjwa mmoja wa Corona na kwamba hoteli ambayo amekutwa mgonjwa huyo imefungwa na hivyo hakuna anayeingia wala anayetoka.
Akizungumza leo Machi 16 mwaka 2020 , Mkuu wa Mkoa wa Arusha Gambo amesema kama ambavyo ameeleza Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ni kweli wamepata mgonjwa mmoja wa Corona na kwa mujibu wa taarifa huyo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog
HOTELI YAFUNGWA ARUSHA ILIYOPATIKANA NA MGOJWA VIRUSI VYA CORONA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema kwamba ndani ya Mkoa huo amebainika kuwepo kwa mgonjwa mmoja wa Corona na kwamba hoteli ambayo amekutwa mgonjwa huyo imefungwa na hivyo hakuna anayeingia wala anayetoka.
Akizungumza Machi 16 mwaka 2020 , Mkuu wa Mkoa wa Arusha Gambo amesema kama ambavyo ameeleza Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ni kweli wamepata mgonjwa mmoja wa Corona na kwa mujibu wa taarifa huyo mgonjwa alishuka jana katika Uwanja wa...
5 years ago
BBCSwahili22 Apr
Virusi vya corona: 'Kila anayekufa sio mgonjwa wa corona' asema Magufuli
5 years ago
CCM Blog
DIAMONDIAKABIDHI KWA SERIKALI HOTELI YAKE ITUMIKE KUHUDUMIA WAGONJWA WA CORONA

Diamond amesema hayo leo ikiwa ni siku mbili baada kutangaza kuwalipia nyumba watu 500 ili kuondokana na adha ya kodi katika kipindi hiki cha maambukizi ya ugonjwa wa covid-19.
“Misukumo ya kusaidia watu, imetokana na malezi niliyolelewa, maisha niliyotokea na historia yangu ya nyuma. Nikikumbuka...
11 years ago
CloudsFM08 Jul
KITU KINACHOSADIKIWA NI BOMU CHALIPUKA ARUSHA, JIRANI NA HOTELI YA MOUNT MERU
Kitu kinachosadikiwa ni bomu kimelipuka na inasemekana watu wamefariki dunia katika mgahawa wa Wama uliopo maeneo ya Gymkhana jijini Arusha.
Tukio hilo la kusikitisha limetokea usiku wa kuamkia leo na kusababisha watu zaidi ya 8 kujeruhiwa vibaya, idadi ya waliopoteza maisha bado haijajulikana, majeruhi wote wamepelekwa katika hospitali ya Seliani jijini Arusha.Jeshi la Wananchi likishirikiana na Jeshi la Polisi wanachunguza chanzo cha bomu hilo.
5 years ago
BBCSwahili12 May
Virusi vya corona: Maafisa Nigeria wavunja hoteli kudhibiti maambukizi ya Covid-19
11 years ago
Bongo519 Jul
Habari ya Moto hoteli ya Naura Springs Arusha yaigeuza July 18 remix ya April 1!!
10 years ago
VijimamboKIKAKO CHA BARAZA LA UONGOZI WA KANDA YA KASKAZINI -KATIKA HOTELI YA THE NEW ARUSHA HOTEL
5 years ago
Michuzi
KINONDONI YAPULIZA DAWA HOTELI ZA KITALII KUDHIBITI CORONA KWA KUTUMIA MAGARI YA ZIMAMOTO
Hatua hiyo ni muendelezo wa mkakati uliowekwa na Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Daniel Chongolo, Mkurugenzi Aron Kagurumjuli, Mstahiki Meya Benjamini Sitta, pamoja na Mganga mkuu Samweli Laizar kwa pamoja, katika kuhakikisha kuwa maambukizi ya Virus hivyo hayasambai kwa wananchi na hivyo wanaendelea kuwa...
10 years ago
Dewji Blog06 Aug
Zinduka Mwanamke yaanda Fashion Show jijini Arusha katika hoteli ya kitalii ya Snow Crest
Magwiji wa ubunifu wa nguo na wataalamu wa ushauri wa ngozi wanapenda kuwataarifu wakazi wa jiji la Arusha kuwa tarehe 9/8/2015 kutakuwa na uzinduzi wa tawi la Duka la Vipodozi la Flora Show itakayofanyika siku ya Jumamosi katika hoteli ya kitalii ya Snown Crest
Katika uzinduzi huo pia utapambwa na show ya kukata na shoka ambapo magwiji wa ubunifu wa Mavazi watonyesha mavazi ya aina mbalimbali ikiwemo ya harusi ,vazi la harusi ya kimaasai pamoja na vazi lililompa ushindi Saida Kesy
Mtaalamu...