Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Habari ya Moto hoteli ya Naura Springs Arusha yaigeuza July 18 remix ya April 1!!

Katika ulimwengu huu huru wa mitandao ya kijamii usiamini kila kitu unachokiona kimeandikwa. Hata kama kikiwa na picha inayoyashawishi macho yako kuamini, chunguza kwanza kwa muda wako kabla ya kuthibitisha uhalali wa kile ukionacho. Muonekano wa hoteli ya Naura Springs ya Arusha Na kwa wenye fani ya uandishi wa habari, kama ni tukio linalohusu majanga, […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

UONGOZI WA HOTELI YA NAURA SPRINGS WAKANUSHA TAARIFA ZA KUWAKA MOTO KWA HOTEL HIYO

SEHEMU YA JENGO LA HOTEL HIYO LIONEKAVYO KWA NJE.MENEJA WA HOTEL HIYO BI.BEATRICE DALLARIS AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI,JUU YA  TAARIFA ZA UZUSHI ZILIZOSAMBAZWA KWENYE MITANDAO YA KIJAMI KUWA HOTEL HIYO IMEUNGUA MOTO MAPEMA LEO JIJINI ARUSHA.
UTAWALA NA WAFANYAKAZI WA HOTELI YA NAURA SPRINGS IMESIKITISHWA KWA TAARIFA ZILIZOSAMBAA KWENYE MITANDAO MBALIMBALI YA KIJAMII KUHUSU KUWA HOTELI YETU INAWAKA MOTO NA KUSABABISHA USUMBUFU MKUBWA KWA WATU WA MKOA WETU, NDUGU NA JAMAA WA WAFANYAKAZI WA...

 

10 years ago

Michuzi

NHC yaendesha kongamano la Mameneja wa Mikoa na Watendaji wake katika hoteli ya Naura Springs, Arusha.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akikabidhi zawadi ya simu ya kisasa ya I Phone 6 kwaajili ya kuboresha ufanisi kwa Ofisa Mwandamizi Uendelezaji Biashara Fatima Rajabu ambaye aliibuka mshindi wa jumla wa maigizo ya vitendo kwenye kongamano la Mameneja wa Mikoa na Watendaji wengine linalofanyika katika hoteli ya Naura Springs, Arusha. Kongamano linakusudia kuwajengea uwezo wa kiuongozi wa kusimamia uuzaji wa nyumba zinazojengwa na NHC katika maeneo...

 

11 years ago

Michuzi

utumiaji mbaya wa mitandao wapamba moto, Naura spring hotel yazushiwa kuungua moto, polisi yakanusha

Zile habari zilizosambaa kwenye mitandao  ya kijamii  kuonesha  kwamba hotel ya Naura Spring ya jijini Arusha inawaka moto zilikuwa si za kweli ni watu wametengeza picha hizo ambazo zilikuwa zimeenea kila pembe.Kamanda wa Polisi Arusha Liberatus Sabas ameongea jioni hii na vyombo vya habari na kukanusha habari za hotel hiyo ya kitalii jijini Arusha kwamba iliwaka moto hizo ni picha za kutengeneza hotel ipo salama kabisa kama unavyoona kwenye picha ya juu. Picha ya chini yake ndiyo...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA HABARI AJIONEA HITILAFU YA MTAMBO WA MAJI MOTO HOTELI YA NEW AFRIKA

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel (mwenye koti) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Usalama wa Hotel ya New Afrika Hotel ya Jijini Dar es Salaam, Bw. Isack Kabugu kuhusu hitilafu ya kiufundi iliyotokea katika mtungi wa kuhifadhi moto katika Hoteli hiyo ambayo ilileta athari katika majengo ya ofisi zilizopo jirani na hoteli hiyo ikiwemo ofisi ya Idara ya Habari na Ofisi ya Bodi ya Filamu Tanzania zilizopo chini ya Wizara...

 

5 years ago

Michuzi

RC ARUSHA MRISHO GAMGO ASEMA HOTELI ALIYOPATIKANA MGONJWA WA CORONA IMEIFUNGA, WALIOPO HOTELI WOTE HAKUNA KUTOKA WALA KUINGIA

Na Mwandishi Wetu,Michuzi Globu ya jamii

MKUU wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema kwamba ndani ya Mkoa huo amebainika kuwepo kwa mgonjwa mmoja wa Corona na kwamba hoteli ambayo amekutwa mgonjwa huyo imefungwa na hivyo hakuna anayeingia wala anayetoka.

Akizungumza leo Machi 16 mwaka 2020 , Mkuu wa Mkoa wa Arusha Gambo amesema kama ambavyo ameeleza Waziri wa Afya ,Maendeleo  ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ni kweli wamepata mgonjwa mmoja wa Corona na kwa mujibu wa taarifa huyo...

 

10 years ago

Habarileo

Moto wateketeza hoteli mbili za kitalii

WAMILIKI wa hoteli za kitalii ziliopo Zanzibar, wameitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kuimarisha huduma za zimamoto ziliopo mikoani ili kupambana na matukio na majanga ya moto.

 

10 years ago

Michuzi

KHADIJA KOPA KUWASHA MOTO LONDON,NI JUMAMOSI YA 18 JULY

Khadija kopa Kuwasha moto Siku ya Eid London ni Jumamosi 18/07/2015 ndani ya Ukumbi wa La royare Banquet Suites London 819 -821 High Road Nunua Tickeck yako Mapema kuepuka usumbufu Mlangoni bonyeza link hii kununua https://www.tickettailor.com/checkout/view-event/id/29235/chk/9a14 Show hii imeletwa kwenu na Bongodeejays Events kwa Maelezo zaidi na ticket Booking piga namba hizi +447853482158 /+447931526622 /+447421167123 au tembelea link zifuatazo kwa habari...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

KHADIJA KOPA KUWASHA MOTO LONDON,NI JUMAMOSI YA 18 JULY 2015


Khadija kopa Kuwasha moto Siku ya Eid London ni Jumamosi 18/07/2015 ndani ya Ukumbi wa La royare Banquet Suites London 819 -821 High Road Nunua Tickeck yako Mapema kuepuka usumbufu Mlangoni bonyeza link hii kununua https://www.tickettailor.com/checkout/view-event/id/29235/chk/9a14 Show hii imeletwa kwenu na Bongodeejays Events kwa Maelezo zaidi na ticket Booking piga namba hizi +447853482158/+447931526622 /+447421167123 au tembelea link zifuatazo kwa habari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani