utumiaji mbaya wa mitandao wapamba moto, Naura spring hotel yazushiwa kuungua moto, polisi yakanusha
Zile habari zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuonesha kwamba hotel ya Naura Spring ya jijini Arusha inawaka moto zilikuwa si za kweli ni watu wametengeza picha hizo ambazo zilikuwa zimeenea kila pembe.Kamanda wa Polisi Arusha Liberatus Sabas ameongea jioni hii na vyombo vya habari na kukanusha habari za hotel hiyo ya kitalii jijini Arusha kwamba iliwaka moto hizo ni picha za kutengeneza hotel ipo salama kabisa kama unavyoona kwenye picha ya juu. Picha ya chini yake ndiyo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziUONGOZI WA HOTELI YA NAURA SPRINGS WAKANUSHA TAARIFA ZA KUWAKA MOTO KWA HOTEL HIYO
UTAWALA NA WAFANYAKAZI WA HOTELI YA NAURA SPRINGS IMESIKITISHWA KWA TAARIFA ZILIZOSAMBAA KWENYE MITANDAO MBALIMBALI YA KIJAMII KUHUSU KUWA HOTELI YETU INAWAKA MOTO NA KUSABABISHA USUMBUFU MKUBWA KWA WATU WA MKOA WETU, NDUGU NA JAMAA WA WAFANYAKAZI WA...
5 years ago
CCM BlogMAMA MKOANI KATAVI AMEAGA DUNIA KWA KUUNGUA NA MOTO
Katika nyumba hiyo yenye vyumba tisa vya wapangaji nyumba ya bwana Visent Emanuel ambapo chanzo cha habari kilichotufikia Juni 3, 2020, Mpangaji huyo alitoka nje kujiokoa na baada ya kutoa vyombo lakini...
10 years ago
Habarileo01 Nov
Uwekezaji Mtwara wapamba moto
UKUAJI wa uchumi na mabadiliko ya maisha ya wakazi wa Mkoa wa Mtwara unaotokana na ugunduzi wa gesi asilia, unaanza kuwa dhahiri baada ya Kampuni ya Dangote Industries Limited, kuomba kibali cha kufua umeme wake wa megawati (MW) 75.
11 years ago
Bongo519 Jul
Habari ya Moto hoteli ya Naura Springs Arusha yaigeuza July 18 remix ya April 1!!
9 years ago
MichuziWATU SABA WAFARIKI DUNIA KWA KUUNGUA NA MOTO NA WENGINE KUMI WAJERUHIWA
Na Editha Karlo wa blog wa jamii,Kigoma
WATU saba wamefariki duniani na wengine kumi wamejeruhiwa katika ajali...
11 years ago
Mwananchi25 Dec
Ulanguzi wa tiketi wapamba moto Ubungo
11 years ago
BBCSwahili13 Jul
Mgomo mwengine wapamba moto A Kusini
10 years ago
Habarileo26 Oct
Udhibiti vifo vya mama wapamba moto Rukwa
MKAKATI wa kudhibiti vifo vya mama na mtoto wakati wa kujifungua umepamba moto mkoani Rukwa, kutokana na jamii, watendaji, viongozi wa kisiasa kubanwa wakitakiwa kuhakikisha katika maeneo hakitokei kifo.
10 years ago
Michuzimsako wa KARAFUU CHAFU kisiwani PEMBA wapamba moto