Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ulanguzi wa tiketi wapamba moto Ubungo

Nauli za mabasi ya mikoani na nchi jirani zimeendelea kupanda, na sasa Mikoa ya Iringa na Tanga nayo imeguswa na ongezeko hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Ulanguzi wa tiketi Ubungo watisha

Baadhi ya mawakala wa kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo (UBT) jijini Dar es Salaam, wanatuhumiwa kununua tiketi za mabasi kisha kuziuza kwa walanguzi ambao nao huwauzia wasafiri waendao mikoa ya Kaskazini na Kanda ya Ziwa kwa Sh70,000.

 

9 years ago

Global Publishers

Kamanda Mpiga akwamisha ulanguzi tiketi Ubungo

2.Kamanda Mpinga akiwa ndani ya Basi la kuelekea Tanga akizungumza na baadhi ya abiria juu ya viwango vya nauli walivyotozwa kama vipo sahihi.Kamanda Mpinga akiwa ndani ya basi la kuelekea mkoani Tanga akizungumza na baadhi ya abiria juu ya viwango vya nauli walivyotozwa kama vipo sahihi.
3.Abiria waliokuwa wakisafiri kuelekea Mkoani Tanga wakimsikiliza kwa Makini kamanda wa polisi kikosi cha usalama barabarani nchini,Mohammed Mpinga.Abiria waliokuwa wakisafiri kuelekea mkoani Tanga wakimsikiliza Mpinga.
4.Kamanda Mpianga na Kamishna Msaidizi wa kanda maalum ya polisi Dar es Samaam, Peter Sima (kushoto) wakiwa ndani ya moja ya basi.Kamanda Mpinga na Kamishna Sima wakiwa ndani ya moja ya mabasi kituoni hapo.
5.Kamanda Mpinga akishuka ndani ya basi stendi ya Ubungo Dar.Kamanda Mpinga akishuka ndani ya basi baada ya kuchukua maoni ya abiria.
6.Abiria wakiwa makini kuhakikisha wanafunga mikanda iliyoko kwenye viti vyao vya kukalia.Abiria wakiwa makini kuhakikisha wanafunga mikanda kwenye viti vya kukalia
7.Kamanda Mpinga (kushoto) akiwa na Kamishna msaidizi wa  kanda maalum ya polisi Dar es alaam, Peter Sima.Kamanda Mpinga (kushoto) akiwa na Kamishna Msaidizi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Taboa yaombwa kukomesha ulanguzi wa tiketi

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri wa Nchi kavu na Majini limekitaka Chama cha Wamiliki wa Mabasi (Taboa) kukomesha vitendo vya ulanguzi wa tiketi vinavyoendelea kuelekea kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.

 

11 years ago

Michuzi

utumiaji mbaya wa mitandao wapamba moto, Naura spring hotel yazushiwa kuungua moto, polisi yakanusha

Zile habari zilizosambaa kwenye mitandao  ya kijamii  kuonesha  kwamba hotel ya Naura Spring ya jijini Arusha inawaka moto zilikuwa si za kweli ni watu wametengeza picha hizo ambazo zilikuwa zimeenea kila pembe.Kamanda wa Polisi Arusha Liberatus Sabas ameongea jioni hii na vyombo vya habari na kukanusha habari za hotel hiyo ya kitalii jijini Arusha kwamba iliwaka moto hizo ni picha za kutengeneza hotel ipo salama kabisa kama unavyoona kwenye picha ya juu. Picha ya chini yake ndiyo...

 

9 years ago

Mwananchi

Ubungo hali shwari, ulanguzi umekwisha

Hali ya ulanguzi wa kupandisha nauli katika Kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo (UBT) kwa wasafiri imekwisha kutoka Sh150,000 hadi Sh25,000 kwa mikoa ya Kaskazini.

 

9 years ago

Mwananchi

Ujenzi wa reli utakomesha ulanguzi tiketi za mabasi

Kila inapokaribia sikukuu ya Krismasi, wananchi jijini Dar es Salaam wanaosafiri kwa mabasi kwenda makwao kusherehekea sikukuu hiyo pamoja na kupata mapumziko ya mwisho wa mwaka hulazimika kulipa viwango vikubwa vya nauli. Mawakala wa mabasi, hasa waliopo katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo (UBT), hutoza nauli maradufu bila kujali sheria wala maelekezo ya Sumatra.

 

10 years ago

Habarileo

Uwekezaji Mtwara wapamba moto

UKUAJI wa uchumi na mabadiliko ya maisha ya wakazi wa Mkoa wa Mtwara unaotokana na ugunduzi wa gesi asilia, unaanza kuwa dhahiri baada ya Kampuni ya Dangote Industries Limited, kuomba kibali cha kufua umeme wake wa megawati (MW) 75.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mgomo mwengine wapamba moto A Kusini

Wachimba migodi wakataa pendekezo jipya la nyongeza ya mishahara Afrika Kusini na watishia kuzidisha mgomo

 

10 years ago

Habarileo

Udhibiti vifo vya mama wapamba moto Rukwa

MKAKATI wa kudhibiti vifo vya mama na mtoto wakati wa kujifungua umepamba moto mkoani Rukwa, kutokana na jamii, watendaji, viongozi wa kisiasa kubanwa wakitakiwa kuhakikisha katika maeneo hakitokei kifo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani