Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ubungo hali shwari, ulanguzi umekwisha

Hali ya ulanguzi wa kupandisha nauli katika Kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo (UBT) kwa wasafiri imekwisha kutoka Sh150,000 hadi Sh25,000 kwa mikoa ya Kaskazini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Ulanguzi wa tiketi Ubungo watisha

Baadhi ya mawakala wa kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo (UBT) jijini Dar es Salaam, wanatuhumiwa kununua tiketi za mabasi kisha kuziuza kwa walanguzi ambao nao huwauzia wasafiri waendao mikoa ya Kaskazini na Kanda ya Ziwa kwa Sh70,000.

 

11 years ago

Mwananchi

Ulanguzi wa tiketi wapamba moto Ubungo

Nauli za mabasi ya mikoani na nchi jirani zimeendelea kupanda, na sasa Mikoa ya Iringa na Tanga nayo imeguswa na ongezeko hilo.

 

9 years ago

Global Publishers

Kamanda Mpiga akwamisha ulanguzi tiketi Ubungo

2.Kamanda Mpinga akiwa ndani ya Basi la kuelekea Tanga akizungumza na baadhi ya abiria juu ya viwango vya nauli walivyotozwa kama vipo sahihi.Kamanda Mpinga akiwa ndani ya basi la kuelekea mkoani Tanga akizungumza na baadhi ya abiria juu ya viwango vya nauli walivyotozwa kama vipo sahihi.
3.Abiria waliokuwa wakisafiri kuelekea Mkoani Tanga wakimsikiliza kwa Makini kamanda wa polisi kikosi cha usalama barabarani nchini,Mohammed Mpinga.Abiria waliokuwa wakisafiri kuelekea mkoani Tanga wakimsikiliza Mpinga.
4.Kamanda Mpianga na Kamishna Msaidizi wa kanda maalum ya polisi Dar es Samaam, Peter Sima (kushoto) wakiwa ndani ya moja ya basi.Kamanda Mpinga na Kamishna Sima wakiwa ndani ya moja ya mabasi kituoni hapo.
5.Kamanda Mpinga akishuka ndani ya basi stendi ya Ubungo Dar.Kamanda Mpinga akishuka ndani ya basi baada ya kuchukua maoni ya abiria.
6.Abiria wakiwa makini kuhakikisha wanafunga mikanda iliyoko kwenye viti vyao vya kukalia.Abiria wakiwa makini kuhakikisha wanafunga mikanda kwenye viti vya kukalia
7.Kamanda Mpinga (kushoto) akiwa na Kamishna msaidizi wa  kanda maalum ya polisi Dar es alaam, Peter Sima.Kamanda Mpinga (kushoto) akiwa na Kamishna Msaidizi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Hali si shwari Simba

Wakati kocha Mserbia Goran Kopunovic anayetajiwa kuwasili leo kuchukua nafasi ya Patrick Phiri, wachezaji Simon Sserunkuma, Joseph Owino na Juuko Murshid wameikacha Simba na kurudi kwao Uganda.

 

10 years ago

Mwananchi

Hali si shwari nchini

>Ni dhahiri kwamba sasa hali si shwari nchini kutokana na mfululizo wa matukio ya uhalifu ikiwamo kuvamiwa vituo vya polisi, kuuawa kwa polisi na jingine kubwa la juzi la mapigano baina ya polisi wakisaidiwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) dhidi ya makundi yanayodhaniwa kuwa ni ya ama ujambazi au kigaidi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Hali si shwari Afrika Mashariki’

RAIS wa Chama cha Wanasheria Afrika Mashariki (EALS), James Mwamu, amesema kitendo cha nchi za Kenya, Uganda na Rwanda kuanza kutekeleza miradi  yao bila kuzishirikisha Tanzania na Burundi inadhihirisha  kuna...

 

11 years ago

Mwananchi

Hali si shwari Tughe Taifa

Hali si shwari katika Chama cha Wafanyakazi wa Afya na Serikali Kuu (Tughe), baada ya Baraza lake Kuu la Taifa kuwasimamisha viongozi wakuu hadi mkutano mkuu wa chama hicho utakapoitishwa.

 

10 years ago

Mtanzania

ACT hali bado si shwari

NA AGATHA CHARLES
LICHA ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, kukishauri Chama cha ACT-Tanzania kurudisha muundo wa uongozi uliokuwepo kabla ya kufukuzana ili kumaliza tofauti zao,lakini ushauri huo umekataliwa.
Katibu Mkuu wamuda wa chama hicho, Samson Mwigamba, alifanya mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam janana kutangaza kupeleka barua ya kupinga ushauri huo.
Akizungumza katika ofisi za chama hicho zilizopo Kijitonyama, Dar es Salaam, Mwigamba, alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani