Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamanda Mpiga akwamisha ulanguzi tiketi Ubungo

2.Kamanda Mpinga akiwa ndani ya Basi la kuelekea Tanga akizungumza na baadhi ya abiria juu ya viwango vya nauli walivyotozwa kama vipo sahihi.Kamanda Mpinga akiwa ndani ya basi la kuelekea mkoani Tanga akizungumza na baadhi ya abiria juu ya viwango vya nauli walivyotozwa kama vipo sahihi.
3.Abiria waliokuwa wakisafiri kuelekea Mkoani Tanga wakimsikiliza kwa Makini kamanda wa polisi kikosi cha usalama barabarani nchini,Mohammed Mpinga.Abiria waliokuwa wakisafiri kuelekea mkoani Tanga wakimsikiliza Mpinga.
4.Kamanda Mpianga na Kamishna Msaidizi wa kanda maalum ya polisi Dar es Samaam, Peter Sima (kushoto) wakiwa ndani ya moja ya basi.Kamanda Mpinga na Kamishna Sima wakiwa ndani ya moja ya mabasi kituoni hapo.
5.Kamanda Mpinga akishuka ndani ya basi stendi ya Ubungo Dar.Kamanda Mpinga akishuka ndani ya basi baada ya kuchukua maoni ya abiria.
6.Abiria wakiwa makini kuhakikisha wanafunga mikanda iliyoko kwenye viti vyao vya kukalia.Abiria wakiwa makini kuhakikisha wanafunga mikanda kwenye viti vya kukalia
7.Kamanda Mpinga (kushoto) akiwa na Kamishna msaidizi wa  kanda maalum ya polisi Dar es alaam, Peter Sima.Kamanda Mpinga (kushoto) akiwa na Kamishna Msaidizi wa...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Ulanguzi wa tiketi Ubungo watisha

Baadhi ya mawakala wa kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo (UBT) jijini Dar es Salaam, wanatuhumiwa kununua tiketi za mabasi kisha kuziuza kwa walanguzi ambao nao huwauzia wasafiri waendao mikoa ya Kaskazini na Kanda ya Ziwa kwa Sh70,000.

 

11 years ago

Mwananchi

Ulanguzi wa tiketi wapamba moto Ubungo

Nauli za mabasi ya mikoani na nchi jirani zimeendelea kupanda, na sasa Mikoa ya Iringa na Tanga nayo imeguswa na ongezeko hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Taboa yaombwa kukomesha ulanguzi wa tiketi

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri wa Nchi kavu na Majini limekitaka Chama cha Wamiliki wa Mabasi (Taboa) kukomesha vitendo vya ulanguzi wa tiketi vinavyoendelea kuelekea kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.

 

9 years ago

Mwananchi

Ubungo hali shwari, ulanguzi umekwisha

Hali ya ulanguzi wa kupandisha nauli katika Kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo (UBT) kwa wasafiri imekwisha kutoka Sh150,000 hadi Sh25,000 kwa mikoa ya Kaskazini.

 

9 years ago

Mwananchi

Ujenzi wa reli utakomesha ulanguzi tiketi za mabasi

Kila inapokaribia sikukuu ya Krismasi, wananchi jijini Dar es Salaam wanaosafiri kwa mabasi kwenda makwao kusherehekea sikukuu hiyo pamoja na kupata mapumziko ya mwisho wa mwaka hulazimika kulipa viwango vikubwa vya nauli. Mawakala wa mabasi, hasa waliopo katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo (UBT), hutoza nauli maradufu bila kujali sheria wala maelekezo ya Sumatra.

 

9 years ago

Vijimambo

KAMANDA MPIGA AKABIDHI TBL,RIPOTI YA UPIMAJI AFYA ZA MADEREVA

 KAMANDA wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamishna Mohamed Mpinga (katikati), akikabidhi Ripoti ya upimaji wa Afya za Madereva kwa Meneja Mahusiano ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bi. Emma Oriyo, Dar es Salaam jana, baada ya zoezi la kupima Afya za madereva lililofanyika Mikese, mkoani Morogoro, Msata mkoani Pwani na Segera, mkoani Tanga. Kushoto ni Kamanda wa Kikosi cha Afya cha Jeshi la Polisi, Kamishna Msaidizi, Paul Kasabago. KAMANDA wa Polisi Kikosi cha Usalama...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMANDA MPIGA AFUNGUA NUSU FAINALI MASHINDANO YA SOKA YA BODABODA (MPINGA CUP)

 Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga akiwasalimia kwa kuonesha vidole baada ya kuzikagua timu za Foma na Mtongani katika mchezo wa nusu fainali ya michuano ya mpira wa miguu ya timu za Bodaboda ya Mpinga Cup, Mkoa wa Kipolisi wa Temeke, kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam leo.Lengo la mashindano hayo yaliyoshirikisha timu 108 ni kutoa elimu ya usalama barabarani kwa Bodaboda. Kushoto kwake ni Msimamizi wa mashindano hayo, Mrakibu Msaidizi wa...

 

9 years ago

Mtanzania

Tiketi Ubungo kizungumkuti

xmassNA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM

ABIRIA waliotaka kusafiri kwenda wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro, nusura wachapane ngumi wakigombea foleni ya kukata tiketi katika Kituo cha mabasi ya mikoani Ubungo (UBT).

MTANZANIA lilishuhudia abiria hao wakiwa kwenye foleni wakisubiri kukata tiketi katika mabasi ya Kampuni ya Meridian yanayofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Rombo mkoani Kilimanjaro.

Katika tukio hilo, baadhi ya abiria walivuruga utaratibu wa foleni kwa kuwavuka wenzao na kujisogeza...

 

5 years ago

CCM Blog

UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MAJIMBO YA KIBAMBA NA UBUNGO UMESHAANZA, MWISHO 20/02/2020


UBUNGO, Dar es Salaam
Halmashauri ya Manipaa ya Ubungo Dar es Salaam, imetangaza kuwa Wananchi wa majimbo ya Kibamba na Ubungo katika Manispaa hiyo, kuwa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpigakura limeanza tangu  tarehe 14/02/2020 na litafanyika kwa muda wa siku saba kuanzia tarehe hiyo hadi tarehe 20/02/2020 litakapomalizika.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Afisa Uandikishaji katika Majibo hayo na kusambazwa na Mkurugenzi wa halmashauri ya Manispaa hiyo ya Ubungo  Beatrice...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani