Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MAJIMBO YA KIBAMBA NA UBUNGO UMESHAANZA, MWISHO 20/02/2020


UBUNGO, Dar es Salaam
Halmashauri ya Manipaa ya Ubungo Dar es Salaam, imetangaza kuwa Wananchi wa majimbo ya Kibamba na Ubungo katika Manispaa hiyo, kuwa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpigakura limeanza tangu  tarehe 14/02/2020 na litafanyika kwa muda wa siku saba kuanzia tarehe hiyo hadi tarehe 20/02/2020 litakapomalizika.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Afisa Uandikishaji katika Majibo hayo na kusambazwa na Mkurugenzi wa halmashauri ya Manispaa hiyo ya Ubungo  Beatrice...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA NA KURA YA MAONI


Kama inavyofahamika, chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1997 na Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura ya 343 ya mwaka 2010, jukumu la Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni kusimamia na kuendesha Uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani kwa Tanzania Bara. Aidha, Sheria ya Kura ya Maoni imezipa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Tume ya Uchaguzi Zanzibar jukumu la kuendesha Kura ya Maoni kwa ajili ya kuhalalisha Katiba Inayopendekezwa. Kwa mujibu wa Katiba...

 

10 years ago

Michuzi

UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA MKOANI NJOMBE

Tume ya Taifa ya Uchaguzi inawatangazia wananchi wote wa Mkoa wa Njombe, kuwa itaanza zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa kutumia teknolojia ya “Biometric Voters Registration” kuanzia tarehe 16/03/2015 hadi tarehe 12/04/2015.   Aidha katika kata ya Utengule ya Mji mdogo wa Makambako Uboreshaji utafanyika kuanzia tarehe 9-15/03/2015. Uandikishaji huo utahusisha Halmashauri zifuatazo:-

Mkoa

Wilaya

Kata

Idadi ya Vituo

Tarehe Ya Uandikishaji

NJOMBE

...

 

10 years ago

Michuzi

Morogoro yaanza maandalizi ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura

Na Andrew Chimisela
Mkoa wa Morogoro umeanza maandalizi ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Mwezi Oktoba mwaka huu.
Maandalizi hayo yameanza jana kwa semina ya siku mbili inayotolewa kwa waratibu wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura katika ngazi ya Mkoa na Wilaya za Mkoa wa Morogoro.Semina hiyo inalenga kutoa Elimu itakayowawezesha kutekeleza jukumu hilo katika...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KUANZA RASMI KESHO JUMAPILI MKOANI RUKWA

 Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 23 Mei 2015  kuelezea juu zoezi la uandikishiaji wa Wananchi kwenye daftari la kudumu la Mpigakura litakaloanza rasmi kesho tarehe 24 Mei 2015 Mkoani Rukwa. Kulia kwake ni Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Ndugu Smythies Pangisa.Mkutano na waandishi wa habari ukiwa unaendelea. Kwa taarifa kamili. 
(Na Hamza Temba - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa@Rukwareview.blogspot.com)

 

10 years ago

Michuzi

UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA MAKAMBAKO MKOANI NJOMBE FEBRUARI 23.

Na Chalila Kibuda
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa kutumia teknolojia ya uchukuaji wa alama za vidole (BVR) kwa mji mdogo wa Makambako mkoani Njombe utaanza Februari 23 hadi Machi 1 mwaka huu.
Kwa taarifa iliyotolewa katika vyombo vya habari na Ruth Masham kwa niaba ya Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) ilisema zoezi hilo litapita katika kata za Kitisi,Kivavi,Lyamkena,Maguvani,Majengo ,Makambako ,Mji Mwema,Mlowa,na Mwembetogwa na zoezi hilo litaanza majira ya saa 2...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani