UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KUANZA RASMI KESHO JUMAPILI MKOANI RUKWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-p7M8Q82ib70/VWB43HeuacI/AAAAAAAAG1g/9Avj0j_nsgY/s72-c/P5239292.jpg)
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 23 Mei 2015 kuelezea juu zoezi la uandikishiaji wa Wananchi kwenye daftari la kudumu la Mpigakura litakaloanza rasmi kesho tarehe 24 Mei 2015 Mkoani Rukwa. Kulia kwake ni Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Ndugu Smythies Pangisa.
Mkutano na waandishi wa habari ukiwa unaendelea. Kwa taarifa kamili.
(Na Hamza Temba - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa@Rukwareview.blogspot.com)
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUANZA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU WAPIGA KURA RASMI KWA MFUMO WA BVR MKOANI KAGERA KUANA KESHO MEI 21, 2015 HADI JUNI 18, 2015
10 years ago
VijimamboTUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUANZA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU WAPIGA KURA RASMI KWA MFUMO WA BVR MKOANI KAGERA KUANZIA MEI 21 HADI JUNI 18, 2015
Zoezi la uzinduzi litaongozwa na Mkuu wa mkoa wa Kagera Mhe. John Mongella katika mtaa wa Pwani eneo la uwanja wa ndege wa Bukoba kata ya Miembeni Manispaa ya Bukoba. Uzinduzi huo utafanyika katika Halmashauri zote za wilaya siku hiyo ya...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-3ZrbMlzWj8w/VONNJb9L57I/AAAAAAAHEKw/LOycC6Pkv7w/s72-c/9.jpg)
UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA MAKAMBAKO MKOANI NJOMBE FEBRUARI 23.
![](http://3.bp.blogspot.com/-3ZrbMlzWj8w/VONNJb9L57I/AAAAAAAHEKw/LOycC6Pkv7w/s1600/9.jpg)
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa kutumia teknolojia ya uchukuaji wa alama za vidole (BVR) kwa mji mdogo wa Makambako mkoani Njombe utaanza Februari 23 hadi Machi 1 mwaka huu.
Kwa taarifa iliyotolewa katika vyombo vya habari na Ruth Masham kwa niaba ya Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) ilisema zoezi hilo litapita katika kata za Kitisi,Kivavi,Lyamkena,Maguvani,Majengo ,Makambako ,Mji Mwema,Mlowa,na Mwembetogwa na zoezi hilo litaanza majira ya saa 2...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-Jg40_OYaqLM/XkigxlWOYeI/AAAAAAACHqk/ZZemX5BUHrI7QtJElsu1REqDxd2I0vHmwCLcBGAsYHQ/s72-c/download.jpg)
UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MAJIMBO YA KIBAMBA NA UBUNGO UMESHAANZA, MWISHO 20/02/2020
![](https://1.bp.blogspot.com/-Jg40_OYaqLM/XkigxlWOYeI/AAAAAAACHqk/ZZemX5BUHrI7QtJElsu1REqDxd2I0vHmwCLcBGAsYHQ/s200/download.jpg)
Halmashauri ya Manipaa ya Ubungo Dar es Salaam, imetangaza kuwa Wananchi wa majimbo ya Kibamba na Ubungo katika Manispaa hiyo, kuwa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpigakura limeanza tangu tarehe 14/02/2020 na litafanyika kwa muda wa siku saba kuanzia tarehe hiyo hadi tarehe 20/02/2020 litakapomalizika.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Afisa Uandikishaji katika Majibo hayo na kusambazwa na Mkurugenzi wa halmashauri ya Manispaa hiyo ya Ubungo Beatrice...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/8jHvw3blOj0/default.jpg)
5 years ago
MichuziNEC yaongeza siku za uandikishaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura Dar
Na Chalila Kubuda, Globu ya Jamii .
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeongeza muda wa uandikishaji katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura kwa mkoa ya Dar es Salaam.
Muda uliongezwa kwa katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura ni siku tatu ambapo zoezi hilo litaitimishwa Februari 23, 2020.
Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Uchanguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt Wilson Charles amesema kuwa kusogezwa kwa...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeongeza muda wa uandikishaji katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura kwa mkoa ya Dar es Salaam.
Muda uliongezwa kwa katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura ni siku tatu ambapo zoezi hilo litaitimishwa Februari 23, 2020.
Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Uchanguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt Wilson Charles amesema kuwa kusogezwa kwa...
10 years ago
MichuziWANANCHI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAJITOKEZA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KWA MFUMO WA BVR
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiWANANCHI wa jiji la Dar es Salaam wamejitokeza katika zoezi la kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura kwa mfumo wa BVR lililoanza leo.
Wakizungumza na Globu ya Jamii kwa nyakati tofauti walisema zoezi linaenda vizuri lakini linakabiliwa na changamoto chache ambazo zikitatuliwa wananchi wote watajiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura.
Akizungumzia suala kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura ,Salumu Abbakari Mkazi wa...
Wakizungumza na Globu ya Jamii kwa nyakati tofauti walisema zoezi linaenda vizuri lakini linakabiliwa na changamoto chache ambazo zikitatuliwa wananchi wote watajiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura.
Akizungumzia suala kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura ,Salumu Abbakari Mkazi wa...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-IVnGMT0zVZI/VcDC7bhvw_I/AAAAAAABTHw/zqofe4NqvMY/s72-c/1.png)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-IC7wNBcmy8A/VcI6K2W5aiI/AAAAAAABkMs/uWJd9XkSpFU/s72-c/IMG_3708.jpg)
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKAMILISHA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU MKOA WA DAR ES SALAAM KWA MAFANIKIO MAKUBWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-IC7wNBcmy8A/VcI6K2W5aiI/AAAAAAABkMs/uWJd9XkSpFU/s640/IMG_3708.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-V5wLRk9hvls/VcI6EUuHLoI/AAAAAAABkMk/yhAYfkHlV08/s640/IMG_3709.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-gkuUimr60cM/VcI6LlpTGmI/AAAAAAABkM0/gPcQ1LciMFQ/s640/IMG_3710.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania