WANANCHI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAJITOKEZA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KWA MFUMO WA BVR
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiWANANCHI wa jiji la Dar es Salaam wamejitokeza katika zoezi la kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura kwa mfumo wa BVR lililoanza leo.
Wakizungumza na Globu ya Jamii kwa nyakati tofauti walisema zoezi linaenda vizuri lakini linakabiliwa na changamoto chache ambazo zikitatuliwa wananchi wote watajiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura.
Akizungumzia suala kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura ,Salumu Abbakari Mkazi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Vijimambo
5 years ago
Michuzi
WATU 25,319 WAJITOKEZA BAGAMOYO KUJIANDIKISHA KATIKA ZOEZI LA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
WATU zaidi ya 25,319 wamejitokeza kujiandikisha na wengine kuweka kumbukumbu zao sahihi ,katika zoezi la kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura,wilayani Bagamoyo ,mkoani Pwani.
Aidha ,katika zoezi hilo kulijitokeza changamoto ndogo ndogo upande wa mashine za BVR ,lakini ushirikiano ulikuwepo katika kutatua changamoto zinapojitokeza kupitia wataalamu mbalimbali wa TEHAMA na kutoka Tume ya Taifa ya uchaguzi .
Akitoa taarifa hiyo, wakati wa baraza la madiwani...
10 years ago
Dewji Blog14 Feb
CHADEMA yawataka Wananchi kwenda kujiandikisha katika daftari la mpiga kura
Mwenyekiti wa Chadema, Mh. Freeman Mbowe akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa viongozi wa chama hicho wa kanda ya kaskazini unaofanyika leo katika hotel ya New Arusha jijini humo.
Viongozi wa Chadema akiwemo Mwenyekiti wakifanya sala kabla ya kuanza mkutano wa viongozi wa kanda ya kaskazini.
Naibu Katibu mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu akiwa anaongea na waandishi wa habari.
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo-Chadema, Freeman Mbowe amesema kuwa chama chao kimejipanga...
10 years ago
Michuzi28 Apr
MBUNGE NATSE AWATAKA WANANCHI WA KARATU KUJITOKEZA KWA WINGI KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

10 years ago
Dewji Blog27 Jun
10 years ago
Michuzi
150 KORTINI KWA KUJIANDIKISHA MARA MBILI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGAKURA KWA MFUMO MPYA BVR

Aidha, imeeleza kuwa kata 130 zimeongezeka kutokana na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kufanya mabadiliko ya kiutawala katika kata, vijiji,vitongoji na Mitaa hivyo kulazimu NEC kuhairisha kwa wiki moja uandikishaji wa daftari uliokuwa ukianza jana kwa baadhi...
5 years ago
MichuziTUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamiiTUME ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imesema imeridhishwa na muamko wa wananchi katika mikoa yote ambao wameuonesha kwenye uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Kwa mujibu wa NEC Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani walikuwa wamepewa fursa hiyo ya kujiandikisha kuanzia Februari 14 hadi Februari 20 mwaka huu ambapo wananchi wengi wa mikoa hiyo wamejitokeza huku wale ambao bado hawajiandikisha...
10 years ago
Michuzi
NASSARI AENDELEA KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA


BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI