Tiketi Ubungo kizungumkuti
NA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM
ABIRIA waliotaka kusafiri kwenda wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro, nusura wachapane ngumi wakigombea foleni ya kukata tiketi katika Kituo cha mabasi ya mikoani Ubungo (UBT).
MTANZANIA lilishuhudia abiria hao wakiwa kwenye foleni wakisubiri kukata tiketi katika mabasi ya Kampuni ya Meridian yanayofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Rombo mkoani Kilimanjaro.
Katika tukio hilo, baadhi ya abiria walivuruga utaratibu wa foleni kwa kuwavuka wenzao na kujisogeza...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog04 May
NEWS ALERT!!! Mgomo wa madereva tena hali tete Ubungo na baadhi ya maeneo usafiri kizungumkuti!!
Eneo la Ubungo ambalo kwa sasa mabasi yamegoma abiria wakiwa hawana la kujua nini la kufanya !!!!! taaarifa na picha zaidi zitaendelea kutolewa na mtandao huu ambao upo eneo la tukio!!.
Na Andrew Chale, Modewjiblog
New Alert Mgomo wa madereva Saga! ni kuwa tayari madereva wa mabasi wamegoma tena siku ya leo Mei 4, kutokana na mashiniko mbalimbali ya madai yao kwa Serikali. Hata hivyo hali kwa Ubungo bado ni tete licha ya vulumai ya hapa na pale ikiwemo askari wa usalama barabarani...
9 years ago
Mwananchi21 Dec
Ulanguzi wa tiketi Ubungo watisha
11 years ago
Mwananchi25 Dec
Ulanguzi wa tiketi wapamba moto Ubungo
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Kamanda Mpiga akwamisha ulanguzi tiketi Ubungo
Kamanda Mpinga akiwa ndani ya basi la kuelekea mkoani Tanga akizungumza na baadhi ya abiria juu ya viwango vya nauli walivyotozwa kama vipo sahihi.
Abiria waliokuwa wakisafiri kuelekea mkoani Tanga wakimsikiliza Mpinga.
Kamanda Mpinga na Kamishna Sima wakiwa ndani ya moja ya mabasi kituoni hapo.
Kamanda Mpinga akishuka ndani ya basi baada ya kuchukua maoni ya abiria.
Abiria wakiwa makini kuhakikisha wanafunga mikanda kwenye viti vya kukalia
Kamanda Mpinga (kushoto) akiwa na Kamishna Msaidizi wa...
9 years ago
Mwananchi23 Dec
Mlangua tiketi Ubungo ajihami kwa kinyesi
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Video: Kama hujakata tiketi ya basi Ubungo siku 3 kabla, ni noma…!
Tukiwa tunaelekea katika msimu wa sikukuu za Christmas na Mwaka mpya, najua kuna watu wengi hupendelea kutumia kipindi kama hiki kusafiri kwaajili ya kuwatembelea ndugu na jamaa. Sasa nina hili muhimu la kuhakikisha unalifahamu kama unampango wa kusafiri hivi karibuni. Kwenye hii video hapa chini kuna taarifa kamili, Bonyeza Play kuipata Unataka kutumiwa MSG za habari […]
The post Video: Kama hujakata tiketi ya basi Ubungo siku 3 kabla, ni noma…! appeared first on...
10 years ago
Dewji Blog21 Jul
JUST IN: Saed Kubenea achukua fomu ya kuwania ubunge kwa tiketi ya Chadema jimbo la Ubungo
Mwanahabari mkongwe Saed Kubenea (pichani) achukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge kupitia Chadema jimbo la Ubungo.
Saed Kubenea ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Hali Halisi Publishers Ltd., inayochapisha magazeti ya MwanaHALISI; MSETO; MwanaHALISI Online na MwanaHALISI Forum na ndiye mmiliki wa kampuni hiyo.
11 years ago
Mwananchi13 Oct
Kizungumkuti
11 years ago
Mwananchi27 Jan
Bunge la Katiba kizungumkuti