Hali si shwari nchini
>Ni dhahiri kwamba sasa hali si shwari nchini kutokana na mfululizo wa matukio ya uhalifu ikiwamo kuvamiwa vituo vya polisi, kuuawa kwa polisi na jingine kubwa la juzi la mapigano baina ya polisi wakisaidiwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) dhidi ya makundi yanayodhaniwa kuwa ni ya ama ujambazi au kigaidi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi31 Dec
Hali si shwari Simba
10 years ago
Mtanzania14 Feb
ACT hali bado si shwari
NA AGATHA CHARLES
LICHA ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, kukishauri Chama cha ACT-Tanzania kurudisha muundo wa uongozi uliokuwepo kabla ya kufukuzana ili kumaliza tofauti zao,lakini ushauri huo umekataliwa.
Katibu Mkuu wamuda wa chama hicho, Samson Mwigamba, alifanya mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam janana kutangaza kupeleka barua ya kupinga ushauri huo.
Akizungumza katika ofisi za chama hicho zilizopo Kijitonyama, Dar es Salaam, Mwigamba, alisema...
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Hali si shwari Tughe Taifa
10 years ago
Mwananchi10 Jun
Je, hamkani hali si shwari Ukawa?
10 years ago
Mwananchi08 Nov
Hali si shwari CCM Mwanga
11 years ago
Tanzania Daima01 Mar
‘Hali si shwari Afrika Mashariki’
RAIS wa Chama cha Wanasheria Afrika Mashariki (EALS), James Mwamu, amesema kitendo cha nchi za Kenya, Uganda na Rwanda kuanza kutekeleza miradi yao bila kuzishirikisha Tanzania na Burundi inadhihirisha kuna...
10 years ago
BBCSwahili08 Dec
10 years ago
VijimamboHALI YA UCHUMI TANZANIA SASA NI SHWARI