HALI YA UCHUMI TANZANIA SASA NI SHWARI
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akimsikiliza kwa makini Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier walipokutana katika mikutano hii ya kipupwe inayoendelea hapa Mjini Washington DC.Wengine ni ujumbe kutoka Tanzania pamoja na timu ya wataalam kutoka Benki ya Dunia.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum akifuatilia kwa makini maswalialiyokuwa akiulizwa na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi16 Feb
Hali si shwari nchini
10 years ago
Mwananchi31 Dec
Hali si shwari Simba
10 years ago
Mwananchi08 Nov
Hali si shwari CCM Mwanga
10 years ago
Mwananchi10 Jun
Je, hamkani hali si shwari Ukawa?
10 years ago
Mtanzania14 Feb
ACT hali bado si shwari
NA AGATHA CHARLES
LICHA ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, kukishauri Chama cha ACT-Tanzania kurudisha muundo wa uongozi uliokuwepo kabla ya kufukuzana ili kumaliza tofauti zao,lakini ushauri huo umekataliwa.
Katibu Mkuu wamuda wa chama hicho, Samson Mwigamba, alifanya mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam janana kutangaza kupeleka barua ya kupinga ushauri huo.
Akizungumza katika ofisi za chama hicho zilizopo Kijitonyama, Dar es Salaam, Mwigamba, alisema...
11 years ago
Tanzania Daima01 Mar
‘Hali si shwari Afrika Mashariki’
RAIS wa Chama cha Wanasheria Afrika Mashariki (EALS), James Mwamu, amesema kitendo cha nchi za Kenya, Uganda na Rwanda kuanza kutekeleza miradi yao bila kuzishirikisha Tanzania na Burundi inadhihirisha kuna...
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Hali si shwari Tughe Taifa
10 years ago
BBCSwahili08 Dec