Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Moto wateketeza hoteli mbili za kitalii

WAMILIKI wa hoteli za kitalii ziliopo Zanzibar, wameitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kuimarisha huduma za zimamoto ziliopo mikoani ili kupambana na matukio na majanga ya moto.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AKAGUA ATHARI ZA MOTO KATIKA HOTELI YA KITALII YA KARAFUU BEACH RESORT

Baadhi ya Majengo ya Haoteli ya Karafuu Beach Resort Spa ya Michamvi yaliyoungua kwa moto usiku wa kuamkia juzi na kusababisha hasara ya mamilioni ya fedha.Bwawa la Hoteli ya Karafuu Beacha Resort Spa likionekana kuathirika na moto ulioikumba Hoteli hiyo juzi alfajiri.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akiwa na mwenyeji wake Meneja wa Kafaruu Beach Resort Spa Bwana Zakaria Juma wakiangalia baadhi ya majengo yaliyoteketea kwa moto juzi alfajiri.Maneja wa Hoteli ya Karafuu Beach Resort Bwana...

 

9 years ago

MillardAyo

Saa mbili za mpiga picha alivyonasa kwenye moto wa ghorofa la Hoteli Dubai.. (+Video)

Mpiga picha Dennis Mallari raia wa Ufilipino alikuwa na jukumu moja tu siku ya mkesha wa mwaka mpya ndani ya Dubai… kazi yake ilikuwa kuhakikisha anapata picha kali za fataki zitakazopigwa angani usiku wa mkesha wa kuupokea mwaka 2016 katika ghorofa refu Dubai, Burj Khalifa. Kwa bahati mbaya akiwa kwenye ghorofa ya 48 jengo la Hoteli […]

The post Saa mbili za mpiga picha alivyonasa kwenye moto wa ghorofa la Hoteli Dubai.. (+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Michuzi

Tano Bora ya Hoteli za Kitalii Tanzania

Ukiachana na hifadhi za taifa zitakazokufanya usichoke kutembelea miji na mikoa mbali mbali ndani ya Tanzania, ni uwepo wa hoteli za kifahari zenye utofauti wa kipekee na hoteli za nchi nyingine. 
Jovago Tanzania, wadau wanaohusika na masuala ya Hoteli kimataifa, wanapenda kukuorodheshea tano bora ya hoteli zilizo kwenye chati ya kukupa mandhari zuri ya kiutalii wa kifahari hapa Tanzania. Manta Resort-Pemba: Ni hoteli ya kipekee yenye chumba cha kulala chini ya bahari ya Hindi. Hoteli hii...

 

5 years ago

Michuzi

KINONDONI YAPULIZA DAWA HOTELI ZA KITALII KUDHIBITI CORONA KWA KUTUMIA MAGARI YA ZIMAMOTO

Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imeendelea kupambana vikali kuthibiti kuenea kwa virusi vya COVID 19 (Corona) kwa kupuliza dawa katika hotel za kitalii zilizopo katika Halmashauri hiyo.

Hatua hiyo ni muendelezo wa mkakati uliowekwa na Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Daniel Chongolo, Mkurugenzi Aron Kagurumjuli, Mstahiki Meya Benjamini Sitta, pamoja na Mganga mkuu Samweli Laizar kwa pamoja, katika kuhakikisha kuwa maambukizi ya Virus hivyo hayasambai kwa wananchi na hivyo wanaendelea kuwa...

 

5 years ago

Michuzi

Wafanyakazi zaidi ya 50 hoteli ya kitalii Ngurdoto waandamana kwa DC Arumeru wakidai malipo yao

Wafanyakazi zaidi ya 50 wa hoteli ya Kitalii ya Ngurdoto iliyopo nje kidogo ya jiji la Arusha ,wameandamana ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro wakimlalamkia mwajiri wao Joan Mrema kwa kushindwa kuwalipa mishahara yao ya miezi mitatu mfururizo.
Wakiongea mbele ya Mkuu huyo wa wilaya wamedai kuwa pamoja na kutolipwa mishahara yao ,wanadai makato ya mfuko wa kijamii wa nssf yamekuwa hayapelekwi na kupatà usumbufu mkubwa wanapoacha ama kuachishwa kazi .
Madai mengine ni wafanyakazi wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Zinduka Mwanamke yaanda Fashion Show jijini Arusha katika hoteli ya kitalii ya Snow Crest

unnamed (2)

Magwiji wa ubunifu wa nguo na wataalamu wa ushauri wa ngozi wanapenda kuwataarifu wakazi wa jiji la Arusha kuwa tarehe 9/8/2015 kutakuwa na uzinduzi wa tawi la Duka la Vipodozi la Flora Show itakayofanyika siku ya Jumamosi katika hoteli ya kitalii ya Snown Crest

Katika uzinduzi huo pia utapambwa na show ya kukata na shoka ambapo magwiji wa ubunifu wa Mavazi watonyesha mavazi ya aina mbalimbali ikiwemo ya harusi ,vazi la harusi ya kimaasai pamoja na vazi lililompa ushindi Saida Kesy

Mtaalamu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Moto wateketeza ghala Vingunguti

GHALA la RK Complex la jijini Dar es Salaam limeungua moto na kuteketea mali zote zilizokuwamo ndani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi, alisema moto huo ulizuka juzi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Moto wateketeza msikiti wa Hindu

MOTO umezuka juzi maeneo ya Olimpio kata ya Upanga na kuteketeza jengo la msikiti wa dhahabu la hindu ulioko katika mtaa huo na kuunguza vitu mbalimbali vilivyomo ndani yake. Akizungumza...

 

10 years ago

Habarileo

Moto wateketeza familia Dar

Wananchi wakiangalia nyumba iliyoteketea na kuangamiza familia nzima.WATU sita wa familia moja akiwamo Kapteni mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ), wamekufa papo hapo baada ya kuteketezwa kwa moto jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani