Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KINONDONI YAPULIZA DAWA HOTELI ZA KITALII KUDHIBITI CORONA KWA KUTUMIA MAGARI YA ZIMAMOTO

Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imeendelea kupambana vikali kuthibiti kuenea kwa virusi vya COVID 19 (Corona) kwa kupuliza dawa katika hotel za kitalii zilizopo katika Halmashauri hiyo.

Hatua hiyo ni muendelezo wa mkakati uliowekwa na Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Daniel Chongolo, Mkurugenzi Aron Kagurumjuli, Mstahiki Meya Benjamini Sitta, pamoja na Mganga mkuu Samweli Laizar kwa pamoja, katika kuhakikisha kuwa maambukizi ya Virus hivyo hayasambai kwa wananchi na hivyo wanaendelea kuwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MANISPAA YA KINONDONI YANUNUA MAGARI MAPYA 10 YENYE THAMANI YA MIL 779 KWA KUTUMIA VYANZO VYA MAPATO YA NDANI‏

Magari mapya aina ya Toyota yakiwa Manispaa ya Kinondoni mara baada ya kukabidhiwa hapo jana. Mwonekano wa moja ya gari mpya zilizonunuliwa na Manispaa ya Kinondoni.…

 

5 years ago

Michuzi

KINONDONI YA PAMBANA NA CORONA KWA KUPULIZIA DAWA KWENYE MAENEO YA MIKUSANYIKO

Halmashauri ya Manispa ya Kinondoni kwa kushirikiana na wataalamu wa Afya wa Halmashauri hiyo na mkoa wa Dar es Salaam wameendesha zoezi la upuliziaji dawa katika vituo vya mabasi yaendayo haraka pamoja na vituo vya daladala ikiwa ni katika mkakati wa kudhibiti maambukizi ya Vizuri vya Corona.

Zoezi hilo limefanyika katika maeneo mbalimbali ikiwemo makazi ya wananchi , maeneo ya kutolea huduma mbalimbali ikiwemo masoko sambamba na kwenye mikusanyiko ya watu hususani Kanisani na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Maafisa Nigeria wavunja hoteli kudhibiti maambukizi ya Covid-19

The managers of the two hotels in southern Nigeria's Rivers state deny that they broke the rules.

 

5 years ago

Michuzi

Wafanyakazi zaidi ya 50 hoteli ya kitalii Ngurdoto waandamana kwa DC Arumeru wakidai malipo yao

Wafanyakazi zaidi ya 50 wa hoteli ya Kitalii ya Ngurdoto iliyopo nje kidogo ya jiji la Arusha ,wameandamana ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro wakimlalamkia mwajiri wao Joan Mrema kwa kushindwa kuwalipa mishahara yao ya miezi mitatu mfururizo.
Wakiongea mbele ya Mkuu huyo wa wilaya wamedai kuwa pamoja na kutolipwa mishahara yao ,wanadai makato ya mfuko wa kijamii wa nssf yamekuwa hayapelekwi na kupatà usumbufu mkubwa wanapoacha ama kuachishwa kazi .
Madai mengine ni wafanyakazi wa...

 

11 years ago

Michuzi

JAPAN YATOA MSAADA WA MAGARI KWA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (kulia) akipokea ufunguo ikiwa ishara ya kukabidhiwa magari matano kutoka kwa Balozi wa Japan nchini, Masaki Okada wakati wa tafrija fupi ya makabidhiano ya magari hayo kutoka Serikali ya Japan kwa ajili ya kusaidia Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika majukumu yake ya kuzima moto na uokoaji nchini. Makabidhiano hayo yalifanyika katika viwanja vya Kituo cha Zimamoto Kanda ya Ilala, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Felix Mwagara,...

 

10 years ago

Habarileo

Moto wateketeza hoteli mbili za kitalii

WAMILIKI wa hoteli za kitalii ziliopo Zanzibar, wameitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kuimarisha huduma za zimamoto ziliopo mikoani ili kupambana na matukio na majanga ya moto.

 

9 years ago

Michuzi

Tano Bora ya Hoteli za Kitalii Tanzania

Ukiachana na hifadhi za taifa zitakazokufanya usichoke kutembelea miji na mikoa mbali mbali ndani ya Tanzania, ni uwepo wa hoteli za kifahari zenye utofauti wa kipekee na hoteli za nchi nyingine. 
Jovago Tanzania, wadau wanaohusika na masuala ya Hoteli kimataifa, wanapenda kukuorodheshea tano bora ya hoteli zilizo kwenye chati ya kukupa mandhari zuri ya kiutalii wa kifahari hapa Tanzania. Manta Resort-Pemba: Ni hoteli ya kipekee yenye chumba cha kulala chini ya bahari ya Hindi. Hoteli hii...

 

5 years ago

BBCSwahili

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AKAGUA ATHARI ZA MOTO KATIKA HOTELI YA KITALII YA KARAFUU BEACH RESORT

Baadhi ya Majengo ya Haoteli ya Karafuu Beach Resort Spa ya Michamvi yaliyoungua kwa moto usiku wa kuamkia juzi na kusababisha hasara ya mamilioni ya fedha.Bwawa la Hoteli ya Karafuu Beacha Resort Spa likionekana kuathirika na moto ulioikumba Hoteli hiyo juzi alfajiri.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akiwa na mwenyeji wake Meneja wa Kafaruu Beach Resort Spa Bwana Zakaria Juma wakiangalia baadhi ya majengo yaliyoteketea kwa moto juzi alfajiri.Maneja wa Hoteli ya Karafuu Beach Resort Bwana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani