Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Moto wateketeza msikiti wa Hindu

MOTO umezuka juzi maeneo ya Olimpio kata ya Upanga na kuteketeza jengo la msikiti wa dhahabu la hindu ulioko katika mtaa huo na kuunguza vitu mbalimbali vilivyomo ndani yake. Akizungumza...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MSIKITI WA HINDU DAR WATEKETEA KWA MOTO

Kikosi cha zima moto kikifanya juhudi za kuzima moto huo. Picha juu na chini ni sehemu ya chumba cha msikiti kilichoungua.…

 

10 years ago

GPL

MSIKITI WA HINDU, DAR WANUSURIKA KUTEKETEA KWA MOTO

MSIKITI wa Hindu uliopo mtaa wa Kibasila eneo la Posta jijini Dar es Salaam, umenusurika kuteketea kwa moto baada ya kushika moto uliounguza baadhi ya vitu katika msikiti huo. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, chanzo cha moto huo ni hitilafu katika umeme.  

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Moto wateketeza soko Mchikichini


NA WILLIAM SHECHAMBO
TAKRIBAN wafanyabiashara 10,000 wa soko la mitumba la Mchikichini lililoko Ilala, Dar es Salaam, wamepata hasara baada ya mali zao kuteketea kwa moto uliounguza soko hilo usiku wa kuamkia jana.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, moto huo ulizuka majira ya saa 4.00 usiku, kwenye vibanda vilivyoko eneo la katikati ya soko hilo.
Walisema muda mfupi baadae, moto huo ulishika kwenye vibanda vingine na kuanza kusambaa kwa kasi kutokana na uwepo wa bidhaa za nguo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Moto wateketeza ghala Vingunguti

GHALA la RK Complex la jijini Dar es Salaam limeungua moto na kuteketea mali zote zilizokuwamo ndani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi, alisema moto huo ulizuka juzi...

 

9 years ago

Mwananchi

Moto wateketeza mabanda Njombe

Moto ambao chanzo chake hakijajulikana hadi sasa umeteketeza baadhi ya mabanda ya mama lishe na mitumba karibu na kituo cha mabasi mkoani Njombe.

 

10 years ago

Mtanzania

Moto wateketeza hosteli UDSM

NA MICHAEL SARUNGI, Dar es Salaam
WANAFUNZI wawili wanaosoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, wameumia baada ya moto kuteketeza hosteli za Mabibo Dar es Salaam, walikokuwa wakiishi.
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya tukio hilo, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mukandala, alisema moto huo uliteketeza ghorofa ya tatu ya jengo A linalotumiwa na wanafunzi wa kike.
“Tunamshukuru Mungu hakuna maafa yaliyotokea ingawa kuna wanafunzi wawili wamepata matatizo na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Moto wateketeza maduka Tanga

MADUKA manne yameteketea kwa moto kutokana na hitilafu ya umeme barabara ya 14 jirani na stendi ya mabasi yaendayo mikoani jijini Tanga, usiku wa kuamkia jana. Moto huo uliozuka majira...

 

10 years ago

Habarileo

Moto wateketeza familia Dar

Wananchi wakiangalia nyumba iliyoteketea na kuangamiza familia nzima.WATU sita wa familia moja akiwamo Kapteni mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ), wamekufa papo hapo baada ya kuteketezwa kwa moto jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Moto wateketeza maduka sita K’ndoni

Tatizo la hitilafu ya umeme limeonekana kuwa chanzo kikubwa cha ajali nyingi za moto zinazotokea wilayani Kinondoni jambo linalosababisha uharibifu mkubwa wa mali na kurudisha nyuma maendeleo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani