Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSIKITI WA HINDU, DAR WANUSURIKA KUTEKETEA KWA MOTO

MSIKITI wa Hindu uliopo mtaa wa Kibasila eneo la Posta jijini Dar es Salaam, umenusurika kuteketea kwa moto baada ya kushika moto uliounguza baadhi ya vitu katika msikiti huo. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, chanzo cha moto huo ni hitilafu katika umeme.  

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MSIKITI WA HINDU DAR WATEKETEA KWA MOTO

Kikosi cha zima moto kikifanya juhudi za kuzima moto huo. Picha juu na chini ni sehemu ya chumba cha msikiti kilichoungua.…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Moto wateketeza msikiti wa Hindu

MOTO umezuka juzi maeneo ya Olimpio kata ya Upanga na kuteketeza jengo la msikiti wa dhahabu la hindu ulioko katika mtaa huo na kuunguza vitu mbalimbali vilivyomo ndani yake. Akizungumza...

 

10 years ago

Mtanzania

Wabunge:Dar hatarini kuteketea kwa moto

mngSHABANI MATUTU NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM

KAMATI ya Nishati na Madini, imeonyesha hofu juu ya Jiji la Dar es Salaam kuteketea kwa moto, kutokana na uwezekano wa kulipuka kwa mabomba ya kusafirishia mafuta kunakochangiwa na wizi wa mafuta unaohusisha utoboaji wa mabomba hayo.
Kutokana na hali hiyo, wabunge wametaka vyombo vya ulinzi, hususan Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wapewe jukumu la kulinda miundombinu ya kusafirishia mafuta, huku baadhi ya...

 

9 years ago

StarTV

Fahamu kiundani tukio la Familia kuteketea kwa moto Dar

Hii ni nyumba iliyoteketea kwa moto maeneo ya

Hii ni nyumba iliyoteketea kwa moto maeneo ya Buguruni Malapa .

 Watu tisa wa familia moja wameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo huko Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam, mashuhuda wamethibitisha.

Tukio hilo la kusikitisha limetokea Mtaa wa Ulam ambapo, bibi, watoto watatu wa kike na wajukuu watano waliokuwa wanaishi nyumba namba 40 wameteketea.

Mashuhuda wa tukio hilo wameliambia Mwanannchi Digital kuwa baba wa familia hiyo amenusurika kwa kuwa hakuwepo nyumbani, na kwamba...

 

11 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO HALI ILIVYO KATIKA SOKO LA ILALA MCHIKICHINI JIJINI DAR BAADA YA KUTEKETEA KWA MOTO

 Sehemu ya wafanyakazi wa Kikosi zimamoto wakiendelea na zoezi la kuzima moto ulioteketeza kabisa Soko la Ilala Mchikichini Jijini Dar es salaam leo.Moto huo ulianza majira ya saa sita usiku wa kuamkia leo na kuteketeza kila kilichokuwepo katika eneo la soko hilo. Chanzo cha kutokea kwa moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa.Picha zote na Othman Michuzi.  Kazi ya kuzima moto ikiendelea.  Jitihada za kuuzima moto huo bado zinaendelea.  Moto bado unaendelea kuwaka mpaka wakati huu,huku...

 

9 years ago

Mtanzania

Jengo la Polisi lanusurika kuteketea kwa moto

adveraNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

JENGO la Polisi Makao Makuu, jijini Dar es Salaam limenusurika kuteketea kwa moto baada ya kutokea hitilafu ya umeme katika jengo hilo.

Moto huo uliwashtua wafanyakazi wa polisi makao makuu ambao walikuwa wakikimbizana kutoka nje ili kunusuru maisha yao.

Akizungumzia tukio hilo, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba,  alisema moto huo ulianzia katika dari kwenye jengo la ghorofa ya nne ambao baada ya kuanza kuungua moto na moshi kuenea katika baadhi ya...

 

11 years ago

GPL

JENGO LA JMC LILIVYONUSURIKA KUTEKETEA KWA MOTO

Jengo la JMC likiwaka moto. Wananchi wakishuhudia moto…

 

10 years ago

GPL

WAPOTEZA MAISHA KWA KUTEKETEA KWA MOTO WAKIIBA MAFUTA

TAARIFA zilizotufikia ni kwamba watu kadhaa wanadaiwa kupoteza maisha kwa kuungua na moto uliolipuka wakati wakichota mafuta kutoka kwenye lori lililopata ajali usiku wa kuamkia leo eneo la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa mtu aliyekuwa eneo la tukio ni kwamba watu hao walikuwa wakiiba mafuta baada ya lori lililokuwa limebeba shehena ya mafuta kupata ajali kabla ya kulipuka na kusababisha maafa hayo. Mpaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani