Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA HABARI AJIONEA HITILAFU YA MTAMBO WA MAJI MOTO HOTELI YA NEW AFRIKA

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel (mwenye koti) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Usalama wa Hotel ya New Afrika Hotel ya Jijini Dar es Salaam, Bw. Isack Kabugu kuhusu hitilafu ya kiufundi iliyotokea katika mtungi wa kuhifadhi moto katika Hoteli hiyo ambayo ilileta athari katika majengo ya ofisi zilizopo jirani na hoteli hiyo ikiwemo ofisi ya Idara ya Habari na Ofisi ya Bodi ya Filamu Tanzania zilizopo chini ya Wizara...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AJIONEA UHARIBIFU MKUBWA WA MABOMBA JANGWANI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Bashir Mrindoko leo ametembelea eneo la Jangwani, Darajani, barabara ya Morogoro kujionea uharibifu mkubwa wa mabomba ya maji.
Mabomba hayo ya inchi 16 yenye urefu wa mita 12 yamezolewa na maji kutokana na athari iliyoletwa na mvua kubwa ya mwishoni mwa wiki inayoendelea jijini Dar es Salaam.
“Ni athari kubwa ambayo imesababishwa na mvua hii na mpaka kukata mabomba ya maji, ni muda mrefu tangu mvua ya aina huu kutokea Dar es Salaam”, alisema ...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA HABARI AKUTANA NA WADAU WA PSPF

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiwakaribisha Maafisa kutoka Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) katika Mkutano na Watumishi wa Wizara hiyo kuhusu Mpango wa Uchangiaji wa Hiari uliofanyika leo Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel kushoto akisalimiana Meneja Msaidizi wa Mfuko wa Uchangiaji wa Hiari kutoka Mfuko wa...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI KATIKA KONGAMANO LA KIGODA CHA MWALIMU

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel Wakwanza kutoka kushoto akitoa mada katika Kongamano la Sita la Kigoda cha Mwalimu Nyerere linaloendelea kwenye Ukumbi wa Nkurumah wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo apokea zawadi toka Kamati ya vibali vya filamu.

Mjumbe wa Kamati ya vibali vya Filamu Bw. Andrew Makungu akimkabidhi aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo sasa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga zawadi kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo. Nyuma Mwenye Tai ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel na kushoto kwake ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fisoo. Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akionesha...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA HABARI AZUNGUMZA NA KAMATI YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea na Kamati ya Uongozi wa Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika jijini Dar es Salaam leo. Mshauri kutoka UNESCO Dr. Daniel Ndagala akiwaelezea wajumbe juu ya Umuhimu wa Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika jijini Dar es Salaam Leo. (Picha zote na Benjamin Sawe wa WHVUM)

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA MAJI YAMUAGA NAIBU KATIBU MKUU INJ. MWIHAVA, YAMKARIBISHA INJ. KALOBELO

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Inj. Emmanuel Kalobelo akipokea nyaraka  kama ishara ya kukabidhiwa rasmi ofisi kutoka kwa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Inj. Ngossy Mwihava, wakishuhudiwa na Katibu Mkuu, Inj. Mbogo Futakamba.


Wizara ya Maji imemuaga rasmi aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Inj. Ngossy Mwihava na kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu mpya, Inj. Emmanuel Kalobelo katika Makao Makuu ya Wizara hiyo Ubungo Maji jana.



 “Naomba ushirikiano wenu ili tuweze kufanikisha azma ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani