NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI KATIKA KONGAMANO LA KIGODA CHA MWALIMU
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel Wakwanza kutoka kushoto akitoa mada katika Kongamano la Sita la Kigoda cha Mwalimu Nyerere linaloendelea kwenye Ukumbi wa Nkurumah wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA HABARI AKUTANA NA WADAU WA PSPF
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiwakaribisha Maafisa kutoka Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) katika Mkutano na Watumishi wa Wizara hiyo kuhusu Mpango wa Uchangiaji wa Hiari uliofanyika leo Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel kushoto akisalimiana Meneja Msaidizi wa Mfuko wa Uchangiaji wa Hiari kutoka Mfuko wa...
10 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA HABARI AJIONEA HITILAFU YA MTAMBO WA MAJI MOTO HOTELI YA NEW AFRIKA
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel (mwenye koti) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Usalama wa Hotel ya New Afrika Hotel ya Jijini Dar es Salaam, Bw. Isack Kabugu kuhusu hitilafu ya kiufundi iliyotokea katika mtungi wa kuhifadhi moto katika Hoteli hiyo ambayo ilileta athari katika majengo ya ofisi zilizopo jirani na hoteli hiyo ikiwemo ofisi ya Idara ya Habari na Ofisi ya Bodi ya Filamu Tanzania zilizopo chini ya Wizara...
5 years ago
MichuziKatibu Mkuu Wizara ya Habari akutana na watumishi wa wizara hiyo kituo cha Dar es Salaam
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi akisalimiana na watumishi wa Wizara hiyo kituo cha Dar es Salaam alipokutana nao mapema hii leo na kufanya kikao kwa lengo la kuweka mikakati ya wizara katika kipindi cha uongozi wake.Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi akifafanua jambo kwa...
11 years ago
Michuzi24 Feb
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo apokea zawadi toka Kamati ya vibali vya filamu.
Mjumbe wa Kamati ya vibali vya Filamu Bw. Andrew Makungu akimkabidhi aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo sasa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga zawadi kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo. Nyuma Mwenye Tai ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel na kushoto kwake ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fisoo.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akionesha...
9 years ago
Dewji Blog20 Nov
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu anogesha mahafali ya 10 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi na Ufundi Stadi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Thomas Katebalilwe akihutubia kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome, aliyekuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 10 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Dar es Salaam leo asubuhi.
Mkuu wa chuo hicho, Profesa Shadrack Mwakalila akielezea mafanikio ya chuo.
Mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi na Ufundi Stadi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Thomas...
10 years ago
MichuziKatibu Mkuu wa Wizara ya Habari ahimiza watumishi wake kuendelea kuwa wabunifu katika kutekeleza majukumu yao
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akizungumza na watumishi wa Wizara hiyo (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi cha kawaida ambacho ufanyika kila baada ya miezi mitatuKikao hicho kimefanyika jana katika ukumbi wa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Elisante Ole Gabriel na kulia ni Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Magreth Mtaki.Naibu Katibu Mkuu...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania