Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari ahimiza watumishi wake kuendelea kuwa wabunifu katika kutekeleza majukumu yao

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akizungumza na watumishi wa Wizara hiyo (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi cha kawaida ambacho ufanyika kila baada ya miezi mitatuKikao hicho kimefanyika jana katika ukumbi wa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Elisante Ole Gabriel na kulia ni Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Magreth Mtaki.Naibu Katibu Mkuu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Wizara ya Habari akutana na watumishi wa wizara hiyo kituo cha Dar es Salaam



 Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi akisalimiana na watumishi wa Wizara hiyo kituo cha Dar es Salaam alipokutana nao mapema hii leo na kufanya kikao kwa lengo la kuweka mikakati ya wizara katika kipindi cha uongozi wake.Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi akifafanua jambo kwa...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI AFUNGA MAFUNZO ELEKEZI YA WATUMISHI WAPYA

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Bw. Barnabas Ndunguru akimkaribisha mgeni rasmi ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga (hayupo Pichani) katika ufungaji wa mafunzo elekezi kwa watumishi wapya wa Wizara.Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Sihaba Nkinga akiongea na baadhi ya Watumishi wapya wa Wizara katika ufungaji wa mafunzo elekezi...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AONESHA KUSIKITISHWA NA WATEULE WAKE WANAOSHINDWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO

*Asema anawateua na kula viapo lakini hafanyi yale ambayo anataka wafanye
*Azungumzia vijana kutoridhika kwenye nafasi walizonazo...atoa siri ya Gambo
 Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
RAIS Dk.John Magufuli amesema huwa anasikitishwa kuona watu ambao wamewapa nafasi na kuwaamini wanashindwa kutekeleza yale ambayo amewatuma kwenda kufanya na badala yake wanakwenda kufanya ya kwao huku akitumia nafasi hiyo kuzungumzia vijana ambao amewapa nafasi lakini hawaridhiki nazo.
Akizungumza leo Juni 22, 2020...

 

10 years ago

Dewji Blog

RC Singida awataka wafanyakazi kutekeleza majukumu yao katika kuzingatia mikataba

DSC05534

Baadhi ya wafanyakazi mkoani Singida, wakishiriki maandamano kama sehemu ya maadhimisho ya sherehe za sikukuu ya wafanyakazi duniani (Mei Mosi) mwaka huu iliyofanyika kwenye uwanja wa Namfua mjini hapa.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

MKUU wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone, amewaasa watumishi wa umma kuwa wasiwe wepesi wa kudai haki zao, bali kwanza watimize wajibu wao kikamilifu kwa madai kwamba haki na wajibu huambatana pamoja.

Dk.Kone ametoa usia huo wakati...

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AANZA KAZI RASMI NA KUWATAKA WATUMISHI KUTEKELEZA KAULI MBIU YA “HAPA KAZI TU”

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi aliyeteuliwa hivi karibuni, John Mngodo, akijitambulisha kwa Watumishi  mara baada ya kuanza kazi rasmi  katika Wizara hiyo. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Lilian Mapfa na kushoto ni Mwenyekiti wa TUGHE,  Obedi Mbaga.

Mkurugenzi wa Idara ya Sheria katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Marlin Komba akijitambulisha mbele ya Naibu Katibu Mkuu mpya, John Mngodo (hayupo pichani) wakati wa Mkutano kati...

 

11 years ago

Michuzi

Prof. Mchome awataka Watumishi wa Wizara ya Elimu kuwa Wabunifu

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome amewataka Watumishi wa Wizara hiyo kuwa wabunifu zaidi na kuhakikisha kuwa wanachokibuni kiwe kinatekelezwa na kuchukua hatua kwa wasiotekeleza maelekezo ya kisera pamoja na kuwazawadia wanaotekeleza kwa ufanisi maelekezo yanayotolewa.
“Watumishi wa Wizara hii tunatakiwa tujiulize tunafanya ubunifu gani ili kuhakisha wahitimu katika ngazi mbalimbali wanapata maarifa yanayotakiwa na wanaoweza kusaidia nchi...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI KATIKA KONGAMANO LA KIGODA CHA MWALIMU

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel Wakwanza kutoka kushoto akitoa mada katika Kongamano la Sita la Kigoda cha Mwalimu Nyerere linaloendelea kwenye Ukumbi wa Nkurumah wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani