RAIS MAGUFULI AONESHA KUSIKITISHWA NA WATEULE WAKE WANAOSHINDWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO

*Asema anawateua na kula viapo lakini hafanyi yale ambayo anataka wafanye
*Azungumzia vijana kutoridhika kwenye nafasi walizonazo...atoa siri ya Gambo
Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
RAIS Dk.John Magufuli amesema huwa anasikitishwa kuona watu ambao wamewapa nafasi na kuwaamini wanashindwa kutekeleza yale ambayo amewatuma kwenda kufanya na badala yake wanakwenda kufanya ya kwao huku akitumia nafasi hiyo kuzungumzia vijana ambao amewapa nafasi lakini hawaridhiki nazo.
Akizungumza leo Juni 22, 2020...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari ahimiza watumishi wake kuendelea kuwa wabunifu katika kutekeleza majukumu yao


11 years ago
Mwananchi20 Apr
Watendaji watakiwa kutekeleza majukumu yao
10 years ago
Dewji Blog03 May
RC Singida awataka wafanyakazi kutekeleza majukumu yao katika kuzingatia mikataba
Baadhi ya wafanyakazi mkoani Singida, wakishiriki maandamano kama sehemu ya maadhimisho ya sherehe za sikukuu ya wafanyakazi duniani (Mei Mosi) mwaka huu iliyofanyika kwenye uwanja wa Namfua mjini hapa.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
MKUU wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone, amewaasa watumishi wa umma kuwa wasiwe wepesi wa kudai haki zao, bali kwanza watimize wajibu wao kikamilifu kwa madai kwamba haki na wajibu huambatana pamoja.
Dk.Kone ametoa usia huo wakati...
5 years ago
MichuziWAKANDARASI WANAOSHINDWA KUTEKELEZA MIRADI YA REA KWA WAKATI KUKATWA FEDHA
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Rais Magufuli awapa majukumu CAG, DPP
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
RAIS Dk. John Magufuli kwa nyakati tofauti jana, alikutana na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Biswalo Mganga na kuwapa majukumu yatakayokwenda na kasi ya Hapa Kazi Tu.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana na Kaimu Mkurungenzi wa Mawasiliano Ikulu, Greson Msigwa, ilisema Rais Dk. Magufuli amemwagiza Profesa Assad kuona njia sahihi ambayo itasaidia kupunguza gharama za...
5 years ago
CCM BlogWANAOSHINDWA KUKUMBUKA MAJINA YAO HUCHELEWESHA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA-JAJI KAIJAGE
Na Richard Mwaikenda
MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), amesema kitendo cha baadhi wananchi kushindwa kukumbuka majina yao, kinasababisha ucheleweshwaji wa zoezi la Uboreshaji...
10 years ago
Michuzi
5 years ago
Michuzi
WAJUMBE WA BARAZA LA WAFANYAKAZI OFISI YA WAZIRI MKUU WAHIMIZWA KUTEKELEZA MAJUKUMU KWA UFANISI


Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Anthony Mavunde akihutubia watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi uliofanyika Machi 8, 2020 Jijini Arusha.

Sehemu ya Wajumbe wa Baraza la Wafanayakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) wakisikiliza hotuba ya Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na...
5 years ago
Michuzi
WADAU WA MAENDELEO WEKENI MAZINGIRA RAFIKI KWA WANAHABARI KUTEKELEZA MAJUKUMU KIPINDI HICHI CHA CORONA

Na Ahmed Mahmoud Arusha .
Imeelezwa kuwa Waandishi wa habari nchini wapo kwenye kipindi kigumu cha kutekeleza majukumu yao wakati huu wa mapambano ya Ugonjwa wa Covid 19 kiuchumi na wadau wametakiwa kujitokeza kusaidia kada hiyo ili iweze kutoa taarifa sahihi na kweli.
Kwa mujibu wa Mdau wa maendeleo jijini Arusha Mwanasheria Maarufu Albert Msando na mmiliki wa The Don ambaye ametoa Barakoa na vitakasa mikono kwa klabu ya waandishi wa habari Mkoa wa Arusha (APC) ikiwa...