Katibu Mkuu Wizara ya Elimu anogesha mahafali ya 10 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi na Ufundi Stadi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Thomas Katebalilwe akihutubia kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome, aliyekuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 10 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Dar es Salaam leo asubuhi.
Mkuu wa chuo hicho, Profesa Shadrack Mwakalila akielezea mafanikio ya chuo.
Mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi na Ufundi Stadi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Thomas...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMAHAFALI YA 10 YA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM LEO.
KWA...
10 years ago
MichuziTASWIRA KATIKA MAHAFALI YA TISA YA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE DAR ES SALAAM
10 years ago
GPLTASWIRA KATIKA MAHAFALI YA 9 YA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR
5 years ago
Michuzi
Katibu Mkuu Wizara ya Habari akutana na watumishi wa wizara hiyo kituo cha Dar es Salaam


10 years ago
GPLCHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE CHAIOMBA SERIKALI KUPELEKA VIONGOZI WAKE KUSOMEA MAFUNZO YA MAADILI NA UONGOZI
10 years ago
Dewji Blog11 Sep
Mamlaka ya elimu yatoa ufadhili wa milioni 300 kwa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K.Nyerere
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Bw. Joel Laurent akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar Es Salaam kuhusu mikakati ya mamlaka hiyo katika kuboresha sekta ya elimu hapa nchini kupitia Mfuko wa Elimu. Kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K Nyerere Prof. Dominic Kambarage.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K Nyerere Prof. Dominic Kambarage (wa pili kushoto) na Kaimu Mkurugenzi...
11 years ago
GPLKUMBUKUMBU YA KIFO CHA MWALIMU NYERERE YAZINDULIWA JIJINI DAR
9 years ago
MichuziMAHAFALI YA13 YA CHUO KIKUU CHA KUMBUKUMBU YA HUBRT KAIRUKI YAFANYIKA LEO JIJINI DAR.
9 years ago
Michuzi
Katibu Mkuu Kiongozi Afungua Mdahalo katika Maadhimisho ya Siku ya Maadili Chuo Kikuu cha Dar es salaam leo

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na wageni waalikwa leo katika Ukumbi wa Nkrumah Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (ambao hawapo katika picha) jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa Mdahalo katika kuadhimisha Siku ya Maadili

