Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA KATIKA MAHAFALI YA 9 YA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR

Naibu Waziri wa Sheria na Mambo ya Katiba, Angellah Kairuki (kushoto), akimkabidhi cheti Muhitimu aliyefanya vizuri Shahada ya Kwanza ya Jinsia na Maendeleo, Nyamambara Simon katika Mahafali ya Tisa ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere yaliyofanyika Dar es Salaam leo. W apili kulia ni Kaimu Naibu Mkuu wa Chuo, Samwel Lunyelele na Mkuu wa Chuo, Profesa Shadrack Mwakalila.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TASWIRA KATIKA MAHAFALI YA TISA YA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE DAR ES SALAAM

Naibu Waziri wa Sheria na Mambo ya Katiba, Angellah Kairuki (kushoto), akimkabidhi cheti Muhitimu aliyefanya vizuri Shahada ya Kwanza ya Jinsia na Maendeleo, Nyamambara Simon katika Mahafali ya Tisa ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere yaliyofanyika Dar es Salaam leo. W apili kulia ni Kaimu Naibu Mkuu wa Chuo, Samwel Lunyelele na Mkuu wa Chuo, Profesa Shadrack Mwakalila. Wimbo wa Taifa ukiimbwa- Kutoka kulia ni Kaimu Naibu Mkuu wa Chuo, Samwel Lunyelele na Mkuu wa Chuo, Profesa Shadrack...

 

9 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA 10 YA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

 Mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi na Ufundi Stadi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Thomas Katebalilwe akihutubia kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome, aliyekuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 10 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Dar es Salaam leo asubuhi.   Brass Bendi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ikiongoza maandamano wakati wa mahafali hayo. Wahitimu waliofanya vizuri masomo yao wakiwa katika icha ya pamoja na meza kuu.
KWA...

 

9 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu anogesha mahafali ya 10 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Dar es Salaam

 Mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi na Ufundi Stadi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Thomas Katebalilwe akihutubia kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome, aliyekuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 10 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Dar es Salaam leo asubuhi.  Mkuu wa chuo hicho, Profesa Shadrack Mwakalila akielezea mafanikio ya chuo.  Mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi na Ufundi Stadi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Thomas...

 

10 years ago

GPL

KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MWALIMU NYERERE YAZINDULIWA JIJINI DAR

Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Kate Kamba, akizungumza na wanahabari …Akizindua maadhimisho hayo.…

 

9 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA13 YA CHUO KIKUU CHA KUMBUKUMBU YA HUBRT KAIRUKI YAFANYIKA LEO JIJINI DAR.

 Makamu Mkuu wa Chuo cha kumbukumbu ya Hubet Kairuki Profesa, Kito Mshigeni akizugumza na wanafunzi  juu ya kutumia elimu waliyoipata  kuwasaidia, kuwainua, na kuwaletea  matumaini  mapya wote wenye uhitaji katika jamii, kwa kadri ya uwezo wao, ameyazungunza hayo katika mahafali ya 13 ya chuo kuu cha kumbukumbu ya Hubert Kairuki Jijini Dar es Salaam.Brass Band ikiendelea kutumbuiza katika mahafali ya 13 ya chuo kikuu cha kumbukumbu cha Hubert Kairuki leo Jijini Dar es Salaam. Baadhi ya...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO KUHUSU UENDELEZAJI WA MJI MPYA WA KIGAMBONI WAFANYIKA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALAIMU NYERERE,JIJINI DAR

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Willium Lukuvi akizungumza na wadau kuhusu mpango wa uendelezaji wa mji mpya wa Kigamboni, Dar es Salaam ambapo ameruhusu upimaji wa vipande vya ardhi na utoaji wa hatimiliki za ardhi uliokuwa umezuiliwa tangu kutangazwa kwa mradi huo.Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angellah Kairuki akizungumza katika mkutano na wadau kuhusu mpango wa uendelezaji wa mji mpya wa Kigamboni, Dar es Salaam.Waziri wa Ardhi, Nyumba na...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA MAHAFALI YA CHUO CHA USTAWI WA JAMII DAR

Baadhi wahitimu wa Chuo cha Ustawi wa Jamii wakijandaa kuelekea sehemu husika kwa ajili ya sherehe za mahafali zinazofanyika leo katika chuo hicho kilichopo Kijitonyama jijini Dar es Salaam.…

 

10 years ago

GPL

CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE CHAIOMBA SERIKALI KUPELEKA VIONGOZI WAKE KUSOMEA MAFUNZO YA MAADILI NA UONGOZI‏

Mkuuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Profesa, Shadrack Mwakalila. Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Dk. Thomas Ndaluka. Ofisa Uhusiano wa Chuo cha Kumbukumbu ya  Mwalimu ya Mwalimu Nyerere, Evelyne…

 

9 years ago

Michuzi

Dkt. Pindi Chana mgeni rasmi katika mahafali ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania jijini Dar es salaam

Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (Mb) akihutubia wasichana waliohitimu mafunzo ya ujasiriamali, mawasiliano, na ususi wa nywele kwenye mahafali ya yaliyofanyika katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania jijini Dar es salaam tarehe 20/08/2015. Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (Mb)akimpongeza Bi. Jane Malyi kiongozi wa wahitimu wa mafunzo ya ujasiriamali na urembo mara baada ya kutoa neno...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani