Picha: Watu 9 wauawa kwa kupigwa risasi kwenye chuo nchini Marekani
Watu 9 wameuwa na wengine saba kujeruhiwa kufuatia mauaji kwa kutumia bunduki yaliyotokea kwenye chuo kilichopo kwenye jimbo la Oregon, Marekani. Muuaji mwenye umri wa miaka 26 alifyatua risasi kwenye chuo cha Umpqua jana asubuhi kwa saa za Marekani na yeye kuuawa na polisi. Polisi wamedai kuwa jina la mtu huyo ni Chris Harper Mercer. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo12 Feb
Wanandoa wauawa kwa kupigwa risasi
MUME na mke wakazi wa kijiji cha Ndurumo kilichomo ndani ya makazi ya kambi ya wakimbizi ya Katumba wilayani Mlele, mkoani Katavi, wameuawa kwa kufyatuliwa risasi za moto wakiwa wamelala nyumbani mwao na mtu ambaye hajaweza kufahamika.
9 years ago
BBCSwahili02 Oct
Watu tisa wauawa nchini Marekani
9 years ago
BBCSwahili09 Oct
Watu saba wauawa kwa risasi Burundi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3QgTREgG9e9fCxMSmw6v0AIgC2sm4I*AymwbLTHxy4*UFCnUpO2SBtw3cRaVRgjYN56ztOXbWqviNDRq866O0GNIvVtfpblZ/1.jpg?width=650)
WATU TISA WAUAWA KANISANI NCHINI MAREKANI
9 years ago
Bongo521 Nov
27 wauawa baada ya watu 170 kushikiliwa mateka kwenye hoteli nchini Mali
![2EA5E94000000578-3326708-image-a-1_1448047482182](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/2EA5E94000000578-3326708-image-a-1_1448047482182-300x194.jpg)
Takriban watu 27 wameuawa Jumamosi hii baada ya watu 170 kushikiliwa mateka kwenye hoteli ya Radisson Blu ya nchini Mali.
Shambulio hilo limefanywa na watu watatu kwenye mji mkuu Bamako, ambapo watu hao wakiwa na silaha waliivamia hoteli hiyo. Wawili kati yao wameuawa kwenye tukio hilo.
Mbunge wa Ubelgiji, Geoffrey Dieudonné, ni miongoni mwa waliouawa.
Dieudonné alikuwa akitoa mafunzo kwa maafisa wa bunge la Mali. Rais Ibrahim Boubacar Keita ametangaza siku tatu za maombolezo.
Kundi la...
10 years ago
StarTV18 Jun
Watu 30 wauawa kwa mabomu nchini Yemen
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/06/17/150617192956_sanaa_640x360_ap.jpg)
Mahsmbulizi ya mabomu huko Sanaa
Mfululizo wa milipuko ya mabomu imeendelea kurushwa katika misikiti ya Shia na Ofisi zilizopo katika la jimbo la Yemen, Sanaa, na kusababisha vifo vya watu 30.
Mashambulizi hayo ya mabomu yamewalenga waumini wa Shia waliokuwa katika ibada yao ya jioni, na Ofisi ambayo yanatumiwa na kikundi cha waasi wa Houthi.
Wanamgambo wa Islamic State wamekiri kuhusika na milipuko hiyo na kudai kuwa ni hatua yao ya kulipa kisasi dhidi ya Houthi, walioteka jimbo la Yemen na...
10 years ago
BBCSwahili27 Feb
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iad4jOhX0Z3kUrcMmYL*nsVfzQerIFc76aK4YCgqU6QfWMpZYOSjYZ1d8iZOQNay0oO0InFATgS32i9e26gzWVrXs6oupULH/EarthQuake.jpg?width=650)
WATU 560 WAUAWA KWA TETEMEKO LA ARDHI NCHINI NEPAL
5 years ago
BBCSwahili21 Jun
Takribani watu saba wauawa kwa mashabulizi ya mabomu nchini Somalia