Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu 30 wauawa kwa mabomu nchini Yemen


Mahsmbulizi ya mabomu huko Sanaa

Mfululizo wa milipuko ya mabomu imeendelea kurushwa katika misikiti ya Shia na Ofisi zilizopo katika la jimbo la Yemen, Sanaa, na kusababisha vifo vya watu 30.

Mashambulizi hayo ya mabomu yamewalenga waumini wa Shia waliokuwa katika ibada yao ya jioni, na Ofisi ambayo yanatumiwa na kikundi cha waasi wa Houthi.

Wanamgambo wa Islamic State wamekiri kuhusika na milipuko hiyo na kudai kuwa ni hatua yao ya kulipa kisasi dhidi ya Houthi, walioteka jimbo la Yemen na...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Watu 30 wauawa kwa mabomu ,Yemen

Mfululizo wa milipuko ya mabomu imeendelea kurushwa katika misikiti ya Shia na Ofisi zilizopo katika la jimbo la Yemen, Sanaa, na kusababisha vifo vya watu 30.

 

5 years ago

BBCSwahili

Takribani watu saba wauawa kwa mashabulizi ya mabomu nchini Somalia

Wanamgambo wa Al- shabab wamekuwa wakifanya mashambulizi dhidi ya wanajeshi nchini Somalia.

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu 27 wauawa shambulio la mabomu Chad

Watu 27 wamefariki na wengine kadha kujeruhiwa baada ya washambuliaji wa kujitoa mhanga kujilipua katika kisiwa kilichoko katika Ziwa Chad.

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 17 wauawa kwa Bomu nchini Nigeria

Takriban Watu 17 wameuawa kwa Bomu mjini Biu nchini Nigeria

 

10 years ago

GPL

WATU 560 WAUAWA KWA TETEMEKO LA ARDHI NCHINI NEPAL

Majengo yaliyoporomoshwa kwa tetemeko la ardhi nchini Nepal. Majeruhi baada ya kuokolewa wakati wa tetemeko hilo. Tetemeko kubwa la ardhi limekumba eneo lililo Magharibi mwa Nepal karibu na Mji Mkuu wa Kathmandu .Maafisa wa polisi wamethibitisha kuwa zaidi ya watu 560 wamefariki dunia huku wengi wakiwa hawajulikani waliko na kwamba huenda idadi hiyo ikaongezeka. Shirika la utafiti la Marekani limesema kuwa tetemeko hilo la...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Watu 9 wauawa kwa kupigwa risasi kwenye chuo nchini Marekani

Watu 9 wameuwa na wengine saba kujeruhiwa kufuatia mauaji kwa kutumia bunduki yaliyotokea kwenye chuo kilichopo kwenye jimbo la Oregon, Marekani. Muuaji mwenye umri wa miaka 26 alifyatua risasi kwenye chuo cha Umpqua jana asubuhi kwa saa za Marekani na yeye kuuawa na polisi. Polisi wamedai kuwa jina la mtu huyo ni Chris Harper Mercer. […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Watu 28 wauawa nchini China

kundi moja la watu waliojihami kwa visu limewauawa takriban watu 28 katika kituo kimoja cha treni huko Kunming.

 

11 years ago

BBCSwahili

Watu 17 wauawa nchini Mali

Kuna hali ya wasiwasi mjini Kidal Kaskazini mwa Mali ambapo takriban watu 17 wameuawa katika mapigano ya siku tatu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu tisa wauawa nchini Marekani

Watu tisa wameuawa na wengine saba kujeruhiwa baada ya kutokea shambulio la risasi katika Chuo kimoja katika jimbo la Oregon

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani