Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu 30 wauawa kwa mabomu ,Yemen

Mfululizo wa milipuko ya mabomu imeendelea kurushwa katika misikiti ya Shia na Ofisi zilizopo katika la jimbo la Yemen, Sanaa, na kusababisha vifo vya watu 30.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Watu 30 wauawa kwa mabomu nchini Yemen


Mahsmbulizi ya mabomu huko Sanaa

Mfululizo wa milipuko ya mabomu imeendelea kurushwa katika misikiti ya Shia na Ofisi zilizopo katika la jimbo la Yemen, Sanaa, na kusababisha vifo vya watu 30.

Mashambulizi hayo ya mabomu yamewalenga waumini wa Shia waliokuwa katika ibada yao ya jioni, na Ofisi ambayo yanatumiwa na kikundi cha waasi wa Houthi.

Wanamgambo wa Islamic State wamekiri kuhusika na milipuko hiyo na kudai kuwa ni hatua yao ya kulipa kisasi dhidi ya Houthi, walioteka jimbo la Yemen na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Takribani watu saba wauawa kwa mashabulizi ya mabomu nchini Somalia

Wanamgambo wa Al- shabab wamekuwa wakifanya mashambulizi dhidi ya wanajeshi nchini Somalia.

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu 27 wauawa shambulio la mabomu Chad

Watu 27 wamefariki na wengine kadha kujeruhiwa baada ya washambuliaji wa kujitoa mhanga kujilipua katika kisiwa kilichoko katika Ziwa Chad.

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu 12 wahukumiwa kwa mashambulio ya mabomu

Mahakama nchini India imewapata na hatia wanaume 12 kwa kuhusika na mashambulizi ya mabomu kwenye treni mjini Mumbai mwaka 2006

 

10 years ago

BBCSwahili

Mamia wauawa katika mgogoro wa Yemen

Mamia ya watu wamepoteza maisha nchini Yemen kutokana na mapigano kati ya vikundi vya waasi na majeshi ya serikali

 

9 years ago

StarTV

Watu wanne wauawa kwa kucharangwa kwa mapanga.

 

Watu wanne wamekutwa wameuawa katika kijiji cha  Katoma wilayani Bukoba, miili yao ikiwa imecharangwa kwa mapanga na watu wasiofahamika .

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera  Kamishna MSAIDIZI Mwandamizi wa Polisi Augustino Ollomi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba hadi sasa watu waliohusika na mauaji hayo bado hawajatiwa mbaroni.

Matukio hayo yametokea katika kijiji cha Katoma wilaya ya Bukoba Mkoani Kagera ambapo jumla ya watu wanne wameuawa katika maeneo mawili...

 

11 years ago

GPL

WATU 6 WAUAWA KWA MILIPUKO NAIROBI

Mmoja wa majeruhi akipatiwa huduma ya kwanza. WATU sita wanadaiwa kupoteza maisha wakati 10 wakijeruhiwa baada ya milipuko miwili kutokea eneo la  Eastleigh jijini Nairobi, Kenya jana usiku. Milipuko hiyo ililipuliwa na magaidi katika mghahawa mdogo na kituo cha mabasi kilichopo eneo hilo la Eastleigh. Polisi wameeleza kuwa waliopoteza maisha walikuwa wamekwama ndani ya mghahawa huo wakati wakisubiri kununua chakula cha usiku....

 

9 years ago

Global Publishers

Watu 20 wauawa kwa bomu msikitini

Bomb-Blast-GombeMagari yakiungua wakati wa mlipuko huo.

Borno, Nigeria

WATU wapatao 20 wanasemekana kufa huko Maiduguri, Jimbo la Borno nchini Nigeria baada ya bomu kulipuka msikitini leo.

Kwa mujibu wa gazeti la Premium Times, wengi wa waliouawa wanaaminika ni wakazi wa eneo hilo ambao walikuwa wamekusanyika katika msikitu huo kufuatia uvumi kwamba kulikuwa na bomu lililokuwa limeachwa humo.

bomb-blast-explosion“Sijaona kitu cha kipumbavu kama hiki ambapo watu waliingia katika msikiti kuchunguza iwapo kweli kulikuwa na bomu. ...

 

11 years ago

BBCSwahili

Watu 25 wauawa kwa Bomu Nigeria

Watu 25 wameuawa kwa shambulio la bomu mjini Kaduna nchini Nigeria

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani