WATU 6 WAUAWA KWA MILIPUKO NAIROBI
![](http://api.ning.com:80/files/OQbVc*b-KB-ayC94LWTwLmIGTo38J7Zj9TMyoiZ07CgwcRDw1OWLpSxkFOZuGgKFmo9m1119rw1jLwffACLRrHPplm03wbkL/majeruhi.jpg)
Mmoja wa majeruhi akipatiwa huduma ya kwanza. WATU sita wanadaiwa kupoteza maisha wakati 10 wakijeruhiwa baada ya milipuko miwili kutokea eneo la Eastleigh jijini Nairobi, Kenya jana usiku. Milipuko hiyo ililipuliwa na magaidi katika mghahawa mdogo na kituo cha mabasi kilichopo eneo hilo la Eastleigh. Polisi wameeleza kuwa waliopoteza maisha walikuwa wamekwama ndani ya mghahawa huo wakati wakisubiri kununua chakula cha usiku....
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili21 Sep
Watu 54 wauawa katika milipuko Nigeria
11 years ago
BBCSwahili14 Apr
Watu 70 wauawa katika milipuko Nigeria
11 years ago
BBCSwahili14 Apr
Milipuko Abuja: Watu kadha wauawa
11 years ago
BBCSwahili04 May
Milipuko yaua katika mabas 2 Nairobi
11 years ago
BBCSwahili16 May
Milipuko miwili yatokea,Gikomba, Nairobi
9 years ago
StarTV03 Nov
Watu wanne wauawa kwa kucharangwa kwa mapanga.
Watu wanne wamekutwa wameuawa katika kijiji cha Katoma wilayani Bukoba, miili yao ikiwa imecharangwa kwa mapanga na watu wasiofahamika .
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera Kamishna MSAIDIZI Mwandamizi wa Polisi Augustino Ollomi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba hadi sasa watu waliohusika na mauaji hayo bado hawajatiwa mbaroni.
Matukio hayo yametokea katika kijiji cha Katoma wilaya ya Bukoba Mkoani Kagera ambapo jumla ya watu wanne wameuawa katika maeneo mawili...
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Watu 20 wauawa kwa bomu msikitini
Magari yakiungua wakati wa mlipuko huo.
Borno, Nigeria
WATU wapatao 20 wanasemekana kufa huko Maiduguri, Jimbo la Borno nchini Nigeria baada ya bomu kulipuka msikitini leo.
Kwa mujibu wa gazeti la Premium Times, wengi wa waliouawa wanaaminika ni wakazi wa eneo hilo ambao walikuwa wamekusanyika katika msikitu huo kufuatia uvumi kwamba kulikuwa na bomu lililokuwa limeachwa humo.
“Sijaona kitu cha kipumbavu kama hiki ambapo watu waliingia katika msikiti kuchunguza iwapo kweli kulikuwa na bomu. ...
11 years ago
BBCSwahili23 Jul
10 years ago
BBCSwahili18 Jun
Watu 30 wauawa kwa mabomu ,Yemen