Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


30,170 kuwezeshwa na mradi kielimu, kiuchumi

WAKAZI wapatao 30,170 kutoka katika familia maskini katika vijiji 20 vya wilaya za Sikonge, Urambo na Kaliua, mkoani Tabora wanatarajiwa kunufaika kielimu na kiuchumi kutokana na jitihada  za uwezeshwaji zinazofanywa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Wakazi Babati kuwezeshwa kiuchumi

Mbunge mteule wa Babati Vijijini Mkoa wa Manyara, Virajlal Jituson (CCM) amesema anatarajia kuwajengea uwezo wa kiuchumi wakazi wa jimbo hilo kwa fedha za makusanyo ya mapato ya halmashauri ya Babati Vijijini.

 

10 years ago

Mwananchi

Kaya 5,000 za Mbozi kuwezeshwa kiuchumi

Kaya 5,000 za wakulima na wafugaji katika Kata za Isansa na Igamba, wilayani Mbozi zitaingia kwenye mfumo maalumu wa uchumi utakaohusisha ufugaji ng’ombe wa maziwa kwa lengo kupambana na umaskini.

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI KUENDELEA KUTOA VIPAUMBELE KWA WANAWAKE KIUCHUMI, KIELIMU NA KIUONGOZI





Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya wanawake kitafa akibonyeza kitufe katika kompyuta mpakato kwa ajili ya kupinga king'ora ili kuashiria uzinduzi rasmi wa maadhimisho hayo jana ( Machi 6) ambayo kilele chake ni machi 8, mwaka huu ,katika uwanja wa Jamhuri wa Morogoro ( anayepiga makofi) ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mendeleo ya Jamii , Jinsia na Watoto, Dk Pindi Chana ( kulia) ni Katibu Tawala Msaidizi wa mkoa ,...

 

5 years ago

Michuzi

WANAWAKE WATAKIWA KUACHA UOGA NA BADALA YAKE WAPAMBANE KUPATA FURSA ZA KIELIMU, KISIASA NA KIUCHUMI


Charles James, Michuzi TV

WANAWAKE nchini wametakiwa kuacha uoga katika mapambano ya kutafuta fursa za kielimu, uchumi au kisiasa na badala yake wajikite katika kupigania haki yao hasa ya usawa wa jinsia.

Pia wametakiwa kufahamu kwamba hakuna mtu mwingine ambaye atakuja kupigania haki ya mwanamke zaidi ya wanawake wenyewe na wasipofanya hivyo nafasi za kiuongozi watabaki kuzisikia tu.

Hayo yamesemwa na Spika Mstaafu wa Bunge, Mama Anne Makinda jijini Dodoma wakati akizindua kongamano la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mradi wa Useme kuipaisha Mtwara kielimu

ELIMU ni mjumuisho wa maarifa na stadi za kujitambua ili kukabiliana na changamoto zilizopo katika mazingira na mabadiliko ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kisayansi na kiteknolojia. Makubaliano na itifaki za kikanda...

 

9 years ago

MillardAyo

Tabasamu la Ronaldo kwenye headlines za mradi wa zaidi ya Bilioni 170 za kibongo …

Najua mwaka 2015 umekuwa wa headlines nyingi kwa staa wa soka wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo ambaye amerudi tena katika headlines na stori hii, Ronaldo ambaye kwa mwaka 2015 pekee amefanikiwa kuzindua perfume, movie ya maisha yake halisi na viatu, December 17 ameweka wazi project yake mpya. […]

The post Tabasamu la Ronaldo kwenye headlines za mradi wa zaidi ya Bilioni 170 za kibongo … appeared first on...

 

10 years ago

Michuzi

WAJENGEWA UWEZO ILI KUFANYA UTAFITI WA HALI YA KIELIMU WILAYANI TARIME KUPITIA MRADI WA UWEZO.

Washiriki wa Semina ya wadau watakaoshiriki katika Utafiti wa Ujifunzaji wa Watoto (Wanafunzi) walio na Umri kati ya Miaka Saba hadi 16 katika Kusoma Kiswahili, Kiingereza na Kufanya Hesabu inayofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime kuanzia leo Septemba 22,2015 hadi kesho Septemba 23, 2015 wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Enock Waitara (Wa pili kushoto Waliokaa) ambae ni Afisa Elimu Wilaya ya Tarime Mkoani Mara.
Na:Binagi Media GroupSemina hiyo imeratibiwa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwimbaji injili aomba kuwezeshwa

MWIMBAJI chipukizi wa nyimbo za injili anayekuja kwa kasi, Magdalena Nyambalya, amesema ndoto yake ni kuja kuwa mwimbaji jukwaani. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es Salaam juzi, Nyambalya alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani