Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AMEKUSALITI? BADO MNA NAFASI NYINGINE

MAPENZI yamegeuka shubiri, usaliti na maumivu ya moyo yamegeuka na kuwa sehemu ya kawaida katika uhusiano wa kimapenzi. Zaidi ya asilimia 50 ya wanandoa, wanalia kuwa wanasalitiwa au waliwahi kusalitiwa na wenzi wao, si wanawake, si wanaume. Zipo sababu nyingi zinazosababisha usaliti lakini lengo langu leo siyo kuzungumzia hilo bali ni kujaribu kuiponya mioyo ya wanandoa au watu wanaoishi kwenye uhusiano wa kimapenzi,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AMEKUSALITI, LAKINI BADO UNAMPENDA?-2

Ni wiki nyingine tena tunapokutana katika uwanja wetu huu mzuri wa kuzungumzia ishu za uhusiano wa kimapenzi. Wiki iliyopita niliiweka mada mezani juu ya nini cha kufanya inapotokea mwenzi wako amekusaliti ingawa ndani ya moyo wako bado unampenda sana. Inaonekana mada imewagusa wengi kwani nimepokea maoni kwa wingi, kila mmoja akieleza kwa uzoefu wake namna ya kushughulikia tatizo hili. Nakushukuru wewe uliyeshiriki kuchangia...

 

10 years ago

Vijimambo

AMEKUSALITI, LAKINI BADO UNAMPENDA?

Namshukuru Jalali kwa kuniwezesha kukutana tena na wewe msomaji wangu mpendwa wa safu hii nzuri ambapo tunajuzana, kushauriana na kuelimishana kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi.

Mada yetu ya leo, kama inavyojieleza kwenye kichwa cha habari, ni mambo unayopaswa kuyafanya unapogundua mpenzi wako amekusaliti wakati bado unampenda na unahitaji kuendelea kuwa naye katika uhusiano wa kimapenzi.

Vitabu vya dini zote vinaeleza kuwa kosa pekee linaloweza kuivunja ndoa, hata ile...

 

9 years ago

MillardAyo

Rooney katika nafasi nyingine kwenye ubora wake…

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester united Wyne Rooney ametangazwa kuwa mchezaji bora kwa mwaka 2015 kwa mara nyingine. Hii inakuwa mara ya pili staa huyo wa England kuchaguliwa mchezaji bora na mashabiki wa ligi kuu baada ya mwaka 2014 kushinda pia mwaka 2008 na  2009. Pia kipa wa Stoke City Jack Butland amechaguliwa kuwa kipa […]

The post Rooney katika nafasi nyingine kwenye ubora wake… appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

GPL

ROSE? ?MUHANDO BADO UNAYO NAFASI YA KUJISAHIHISHA

BWANA Yesu asifiwe dada yangu Rose Muhando. Habari ya uzima. Vipi unaendeleaje na kazi ya kumtukuza Mungu? Bila shaka Mungu ni mwema, bado anakupigania pamoja na magumu yote unayopitia. Ukitaka kujua afya yangu, mimi ni mzima. Namshukuru Mungu maisha yanasogea na bado anaendelea kunijalia, namshukuru kila wakati. Nimekukumbuka leo kwa barua. Nimeguswa na mambo tofauti ambayo yanaripotiwa kuhusu wewe. Kwanza niwe mkweli,...

 

11 years ago

GPL

BADO TUNAYO NAFASI KUNUSURU KATIBA MPYA

NIANZE kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema kwa kila hatua ya maisha yangu, kwa sababu ninaamini kabisa, bila yeye, hakuna lolote ninaloweza kulifanya. Nichukue nafasi hii pia kukusisitiza Mtanzania mwenzangu, ni vyema tukaanza kujiandaa mapema kwa ajili ya makazi yetu ya baadaye, ambayo ni kutenda mema yanayompendeza Mungu, kwa imani uliyonayo, kwa sababu kuna maisha baada ya kifo. Aidha, niwape pia mkono wa Pasaka...

 

10 years ago

Bongo5

Nafasi ya kutoka kimuziki kupitia #AirtelTRACEStar bado ipo wazi

Umeshaimba wimbo wako? nafasi ya kutoka kupitia muziki bado iko wazi na shindano la kusaka vipaji la Airtel Trace Star, onyesha kipaji chako sasa kwa kupiga 0901002233 na uingie kwenye kinyanganyiro cha kuwa nyota wa muziki wa Afrika, na upate dili la kurekodi katika studio kubwa ya mziki nchini marekani ya universal music, chini ya […]

 

9 years ago

Michuzi

UMOJA WA MATAIFA LEO KUANDIKA HISTORIA NYINGINE: Anjenda 2030 ambayo utekelezaji wake unaaza mwakani kuchukua nafasi ya Malengo ya Maendeleo ya Millenia( MDGs)

 Haya ndiyo  Malengo Mapya ya Maendeleo Endelevu (Ajenda 2030) ambayo  leo Ijumaa Wakuu wa Nchi na Serikali wanayapitisha katika Mkutano wao wa Kihistoria  Unaofanyika  Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa New York Marekani. Ajenda 2030 ambayo utekelezaji wake unaaza mwakani inachukua nafasi ya  Malengo ya Maendeleo ya Millenia( MDGs) ambayo yamefikia ukiongoni mwaka huu.  Upitishaji wa Ajenda 2030 utatanguliwa na hotuba ya Baba Mtakatifu Francis  Katibu Mkuu  wa Wizara ya Mambo ya Nje na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani