Nafasi ya kutoka kimuziki kupitia #AirtelTRACEStar bado ipo wazi
Umeshaimba wimbo wako? nafasi ya kutoka kupitia muziki bado iko wazi na shindano la kusaka vipaji la Airtel Trace Star, onyesha kipaji chako sasa kwa kupiga 0901002233 na uingie kwenye kinyanganyiro cha kuwa nyota wa muziki wa Afrika, na upate dili la kurekodi katika studio kubwa ya mziki nchini marekani ya universal music, chini ya […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMGOMBEA WA NAFASI YA UBUNGE JIMBO LA DODOMA MJINI KUPITIA CCM ANTHON MAVUNDE AMECHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI HIYO
9 years ago
Bongo528 Dec
Mona Gangster: Young Killer bado hayupo pabaya kimuziki
![Mona](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Mona-300x194.jpg)
Meneja na producer wa zamani wa Young Killer, Mona Gangster amesema bado anaona rapa huyo ana nafasi kubwa ya kufanya vizuri licha kuonekana anasuasua.
Mona amekiambia kipindi cha Friday Night Live kinachoruka EATV kuwa, Young Killer ni msanii mzuri lakini anachotakiwa ni kuongeza juhudi katika kazi zake.
“Kumwongelea future yake sitaweza kwa sababu yeye ni binadamu ni msanii mkali na anafanya vizuri lakini kitu ambacho ninaweza kukiongea ni yeye akaze tu na aendelee kufanya vizuri lakini...
9 years ago
Dewji Blog05 Nov
Jurgen Klopp: Milango ipo wazi Steven Gerrard
Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Wingereza na Liverpool, Steven Gerrard.
Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp.
Na Rabi Hume
Siku moja baada ya kiungo wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Liverpool anayekipiga kwa sasa katika klabu ya LA Galaxy ya Marekani, Steven Gerrard kuweka wazi mipango yake ya kutaka kustafu soka 2016, Kocha wa klabu yake ya zamani ya Liverpool, Jurgen Klopp amemwambia mchezaji huyo milango ya kiungo huyo kujiunga na Liverpool iko wazi.
Klopp amesema...
10 years ago
Bongo517 Jul
Wakongwe wenzangu wengi wamepigwa KO kimuziki, mimi nadunda bado — Dully Sykes
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8qIoio0GTJMrVmtqEVexpyiiDKaPgZR5*M2pU5iO8u0PoGDYioC2RnQi3TjEMs2JfncGXBYWSPGhBND*zg0oY1Y2C8KhZ8VA/BARUANZITO.jpg?width=650)
ULITAKA KUTOKA AU MAFANIKIO KIMUZIKI? KWAKO,
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Kura ya siri, wazi bado moto
MBUNGE wa Kisarawe, Selemani Jafo (CCM), amependekeza watoto watumike kuamua aina gani ya kura itumiwe na Bunge Maalumu la Katiba katika kufanya uamuzi. Hatua hiyo ni kutokana na utata ambao...
10 years ago
Mwananchi11 Jul
URAIS CCM: Ndoto ya Membe bado ipo upande wake
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
Hongereni wabunge, hongera rais lakini kazi bado ipo
HONGERENI sana wabunge. Hongera pia Rais Jakaya Kikwete kwa kuwafukuza kazi mawaziri wanne. Nilijisikia faraja kuona wabunge wa upinzani na chama tawala wakiwa wamoja katika hilo. Hongera Amiri Jeshi Mkuu...