Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AMEKUSALITI, LAKINI BADO UNAMPENDA?-2

Ni wiki nyingine tena tunapokutana katika uwanja wetu huu mzuri wa kuzungumzia ishu za uhusiano wa kimapenzi. Wiki iliyopita niliiweka mada mezani juu ya nini cha kufanya inapotokea mwenzi wako amekusaliti ingawa ndani ya moyo wako bado unampenda sana. Inaonekana mada imewagusa wengi kwani nimepokea maoni kwa wingi, kila mmoja akieleza kwa uzoefu wake namna ya kushughulikia tatizo hili. Nakushukuru wewe uliyeshiriki kuchangia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

AMEKUSALITI, LAKINI BADO UNAMPENDA?

Namshukuru Jalali kwa kuniwezesha kukutana tena na wewe msomaji wangu mpendwa wa safu hii nzuri ambapo tunajuzana, kushauriana na kuelimishana kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi.

Mada yetu ya leo, kama inavyojieleza kwenye kichwa cha habari, ni mambo unayopaswa kuyafanya unapogundua mpenzi wako amekusaliti wakati bado unampenda na unahitaji kuendelea kuwa naye katika uhusiano wa kimapenzi.

Vitabu vya dini zote vinaeleza kuwa kosa pekee linaloweza kuivunja ndoa, hata ile...

 

11 years ago

GPL

AMEKUSALITI? BADO MNA NAFASI NYINGINE

MAPENZI yamegeuka shubiri, usaliti na maumivu ya moyo yamegeuka na kuwa sehemu ya kawaida katika uhusiano wa kimapenzi. Zaidi ya asilimia 50 ya wanandoa, wanalia kuwa wanasalitiwa au waliwahi kusalitiwa na wenzi wao, si wanawake, si wanaume. Zipo sababu nyingi zinazosababisha usaliti lakini lengo langu leo siyo kuzungumzia hilo bali ni kujaribu kuiponya mioyo ya wanandoa au watu wanaoishi kwenye uhusiano wa kimapenzi,...

 

10 years ago

GPL

UNAMPENDA, UNATAKA NDOA LAKINI HUJUI PA KUANZIA?-2

Asalaam aleikum msomaji wa safu hii nzuri, ni matumaini yangu kwamba uko poa, nakukaribisha tena kwenye uwanja huu mzuri tujadili kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo mapenzi.
Wiki iliyopita tulianza kujadili mbinu zinazoweza kumvuta mwanamke au mwanaume unayempenda na hatimaye mkafikia hatua ya kuishi pamoja mkiwa kama mume na mke. Nakushukuru wewe uliyetuma ujumbe nakueleza jinsi ulivyoguswa na mada hiyo au kutoa ushauri. Leo...

 

10 years ago

Mwananchi

Jane: Waliniita mfu mtarajiwa lakini bado ‘nadunda’

Jane hakuweza kukitegua kitendawili alichotega mumewe. Kilibaki kuwa ni fumbo kubwa kwa miaka mingi.

 

9 years ago

Bongo5

Nimeshindwa lakini bado sijaikatia tamaa siasa — Keisha

Keisha ni mmoja wa wasanii walioshindwa kupitia kwenye kura za kuwapata wabunge wa viti maalum kupitia CCM lakini amesema hajakata tamaa. Keisha ameiambia Bongo5 kuwa ingawa alishinda katika kura za maoni, katika kura za taifa aliibuka katika nafasi ya nne. “Zile za kwanza zilikuwa ni kura za maoni nilishinda, then kulikuwa na kura za kitaifa […]

 

9 years ago

Bongo Movies

Keisha: Nimeshindwa Lakini Bado Sijaikatia Tamaa Siasa

Keisha ni mmoja wa wasanii walioshindwa kupitia kwenye kura za kuwapata wabunge wa viti maalum kupitia CCM lakini amesema hajakata tamaa.

Keisha ameiambia Bongo5 kuwa ingawa alishinda katika kura za maoni, katika kura za taifa aliibuka katika nafasi ya nne.

“Zile za kwanza zilikuwa ni kura za maoni nilishinda, then kulikuwa na kura za kitaifa ambapo nilikuwa mtu wa 4 katika watu 18,” alisema.

“Watu wanaotakiwa ni wawili, kwahiyo wawili ndio walioshida katika upande wa walemavu. Basi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hongereni wabunge, hongera rais lakini kazi bado ipo

HONGERENI sana wabunge. Hongera pia Rais Jakaya Kikwete kwa kuwafukuza kazi mawaziri wanne. Nilijisikia faraja kuona wabunge wa upinzani na chama tawala wakiwa wamoja katika hilo. Hongera Amiri Jeshi Mkuu...

 

9 years ago

Bongo5

Wanamuziki wengi bado wanaishi lakini muziki umekufa — Afande Sele

Rapper mkongwe nchini, Seleman Msindi maarufu kama Afande Sele, amesema wanamuziki wengi wanaweza kuwa hai lakini muziki wao umekufa. Afande ameiambia Bongo5 kuwa muziki umeingiliwa na wasanii wanaofanya biashara ya muziki bila kuwa na wito na kazi hiyo. “Wanamuziki wengi wa zamani wa kizazi kipya hata wale wa zamani akina Mbaraka, Majani wametangulia mbele ya […]

 

9 years ago

Bongo5

Adhabu ya Lord Eyez ilishaisha lakini hatujui kwanini bado haonekani ofisini – Weusi

WEUSI_full

Lord Eyez ni mmoja wa wasanii wa kundi na kampuni ya Weusi hadi sasa, lakini ni muda mrefu hajaonekana wala kazi zake kusikika kama wenzake kina Joh Makini, Nikki Wa Pili, Bonta na G-Nako.

WEUSI_full

Maswali ambayo Weusi wamekuwa wakiulizwa kuhusu Lord Eyez ni kuhusu kama bado yuko nao na kwanini hajasikika kwa muda mrefu.

Mwezi March mwaka huu Weusi walimsimamisha Lord Eyez kikazi kutokana na kukiuka maadili na sheria za kampuni yao, kufuatia taarifa kuwa alikamatwa na polisi kwa tuhuma za wizi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani