DIAMOND ATAJWA KUWANIA TUZO NYINGINE NIGERIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-pc6BPIjaF10/VCw9KlwsDRI/AAAAAAAAqSo/JzK-dJ913ik/s72-c/PLATINUM56.jpg)
Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo nyingine za kimataifa zinazofahamika kama ‘THE HEADIES 2014’, ambazo ni tuzo kubwa nchini Nigeria. Nasib Abdul ametajwa kuwania kipengele cha Msanii Bora wa Afrika (Best African Arstist) ambacho kinawaniwa na wasanii wa nje ya Nigeria. Katika kipengele hicho anashindana na Mafikizolo, Sarkodie na R2Bees.CREDIT:THECHOICE
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo530 Sep
Diamond atajwa kuwania tuzo zingine Nigeria, ‘The African Entertainment Legend Awards’ (AELA)
Diamond Platnumz a.k.a Baba Tiffah yuko kwenye orodha ya waliotajwa kuwania tuzo zingine za nchini Nigeria, ‘The African Entertainment Legend Awards (AELA)’. Platnumz ametajwa kuwania vipengele viwili, ‘African Legends Artist of The Year’ akichuana na Dbanj, P-Square, Faze, Reggie Rockstone, Asa, R2bees pamoja na 2face. Kipengele cha pili anachowania ni ‘Best collabolation’ kupitia wimbo wake […]
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iRGkQSu08cut2CU9O4STaXeyJwo2LiF2HE-83nykb09whYCGDoomJkkgvhefdIdDA9NZL0MLfLed9sD3oNFJtb0DFo66dm1Y/STAA.jpg?width=650)
DIAMOND ATAJWA KUWANIA TUZO ZA CHOAMVA 2014
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platinumz'. Channel O wametangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo za CHOAMVA mwaka huu. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platinumz' ametajwa kuwania vipengele vinne ambavyo ni MOST GIFTED VIDEO OF THE YEAR, MOST GIFTED NEWCOMER, MOST GIFTED AFRO POP na MOST GIFTED EAST. Tuzo hizo zitatolewa Jumamosi, tarehe 29 November, Nasrec Expo Centre mjini Soweto, Afrika Kusini....
10 years ago
Bongo509 Sep
Diamond atajwa kuwania tuzo za MTV Europe, #MTVEMA
Majina ya wasanii wa Afrika watakaowania tuzo za MTV Europe, MTVEMA yametangazwa na Diamond ni miongoni mwa wasanii watakaowania tuzo hizo zitakazotolewa November 9 jijini Glasgow, Scotland. Diamond atachuana na Davido, Toofan wa Togo na Goldfish wa Afrika Kusini. Kwa mara nyingine tena Davido anachuana na Diamond kwenye tuzo kubwa baada ya ile BET Awards […]
10 years ago
Bongo504 Sep
Diamond atajwa kuwania vipengele 4 kwenye tuzo za CHOAMVA 2014
Channel O wametangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo za CHOAMVA mwaka huu. Diamond ametajwa kuwania vipengele vinne ambavyo ni pamoja na MOST GIFTED VIDEO OF THE YEAR, MOST GIFTED NEWCOMER, MOST GIFTED AFRO POP na MOST GIFTED EAST. MOST GIFTED MALE CASSPER NYOVEST – DOC SHEBELEZA DAVIDO – AYE RIKY RICK FT OKMALUMKOOLKAT – AMANTOMBAZANE […]
9 years ago
Bongo522 Aug
Diamond atajwa kuwania ‘African Youth Choice Awards’ za Nigeria
Msimu wa tuzo kwa Diamond Platnumz a.k.a baba Tiffah bado unaendelea, ametajwa kuwania ‘African Youth Choice Awards’ AYCA2015 za nchini Nigeria. Muimbaji huyo wa ‘Nana’ anawania vipengele viwili kwenye tuzo hizo, ambavyo ni YOUTH CHOICE Artiste Of The Year pamoja na YOUTH CHOICE Best Male. Hivi ni vipengele anavyoshindania: YOUTH CHOICE Artiste Of The Year: […]
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wib7New*847-JOg-2UDNG-0wHBUi7HBS2YnoDg8K6B3UoHNnvxSnSJ6rp25IxW4YvptAmwvG82susc5jD-if11fsyzd8dKXu/10985052_855964467785728_8284829864472226266_n.jpg?width=650)
DIAMOND PLATINUMZ ATAJWA KUWANIA NEA AWARDS 2015 NCHINI NIGERIA
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond'. AFRICAN ARTIST:
Eddie kenzo
Sauti Sol
Diamond Platnumz
Sarkodie
Stonebwoy
AKA
Mzvee HOTTEST SINGLE:
Kiss Daniel – Woju
Lil Kesh – Shoki Remix Ft Olamide & Davido
Mavins – Dorobucci
Wizkid – Ojuelegba
Skales – Shake Body
BEST NEW ACT:
Kiss Daniel
Lil Kesh
Di’ja
CDQ
Ayo Jay
Falz
Korede… ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qHkXSNTTQ9fGLGOI8QUDfLdhNqhkGmOME5FkQrVeGwhXqZ7VpntC1cvUW4zttPqxLDDR3aCtPbH7F5FO3WZNwacE8u9sApZA/diamonzzz.jpg?width=650)
DIAMOND PLATINUMZ ATAJWA KUWANIA TUZO YA 'RADIO AFRO AUSTRALIA SONG OF THE YEAR 2014’
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' .
Muonekano wa kipengele cha tuzo anachowania Diamond Platinumz. STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametajwa kuwania tuzo ya 'Radio AFRO Australia Song of the Year 2014' kupitia wimbo wake wa Number 1 Remix’ aliyomshirikisha staa wa Nigeria Davido.
Â
Wasanii wengine kutoka Afrika wanaowania Tuzo hizo ni pamoja na Davido ambaye ana nyimbo...
10 years ago
Bongo526 Aug
Diamond atajwa kuwania tuzo za IRAWMA, Marekani kupitia ‘Mdogo mdogo’, anachuana na Davido, Awilo Longomba na Bracket
Kwa mara nyingine Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo nyingine za kimataifa nchini Marekani, ambapo safari hii wimbo wake wa ‘Mdogo mdogo’ wenye miezi miwili tangu utoke umemuwezesha kuingia kwenye tuzo za IRAWMA (International Reggae and World Music Awards). Wimbo wa ‘Mdogo mdogo’ wa Diamond umeingia kwenye tuzo hizo katika kipengele cha ‘Best African Song/Entertainer’. Kwa […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania