Diamond atajwa kuwania tuzo za MTV Europe, #MTVEMA
Majina ya wasanii wa Afrika watakaowania tuzo za MTV Europe, MTVEMA yametangazwa na Diamond ni miongoni mwa wasanii watakaowania tuzo hizo zitakazotolewa November 9 jijini Glasgow, Scotland. Diamond atachuana na Davido, Toofan wa Togo na Goldfish wa Afrika Kusini. Kwa mara nyingine tena Davido anachuana na Diamond kwenye tuzo kubwa baada ya ile BET Awards […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-pc6BPIjaF10/VCw9KlwsDRI/AAAAAAAAqSo/JzK-dJ913ik/s72-c/PLATINUM56.jpg)
DIAMOND ATAJWA KUWANIA TUZO NYINGINE NIGERIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-pc6BPIjaF10/VCw9KlwsDRI/AAAAAAAAqSo/JzK-dJ913ik/s640/PLATINUM56.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-CAo4F8KRl5g/VCw9HEWDRJI/AAAAAAAAqSY/jYY1mtktsQc/s640/headies-2014.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-HPvsEAtb8H4/VCw9HWzJZQI/AAAAAAAAqSc/4ZNzm7l1xIQ/s1600/headies.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iRGkQSu08cut2CU9O4STaXeyJwo2LiF2HE-83nykb09whYCGDoomJkkgvhefdIdDA9NZL0MLfLed9sD3oNFJtb0DFo66dm1Y/STAA.jpg?width=650)
DIAMOND ATAJWA KUWANIA TUZO ZA CHOAMVA 2014
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platinumz'. Channel O wametangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo za CHOAMVA mwaka huu. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platinumz' ametajwa kuwania vipengele vinne ambavyo ni MOST GIFTED VIDEO OF THE YEAR, MOST GIFTED NEWCOMER, MOST GIFTED AFRO POP na MOST GIFTED EAST. Tuzo hizo zitatolewa Jumamosi, tarehe 29 November, Nasrec Expo Centre mjini Soweto, Afrika Kusini....
10 years ago
Bongo504 Sep
Diamond atajwa kuwania vipengele 4 kwenye tuzo za CHOAMVA 2014
Channel O wametangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo za CHOAMVA mwaka huu. Diamond ametajwa kuwania vipengele vinne ambavyo ni pamoja na MOST GIFTED VIDEO OF THE YEAR, MOST GIFTED NEWCOMER, MOST GIFTED AFRO POP na MOST GIFTED EAST. MOST GIFTED MALE CASSPER NYOVEST – DOC SHEBELEZA DAVIDO – AYE RIKY RICK FT OKMALUMKOOLKAT – AMANTOMBAZANE […]
9 years ago
Bongo530 Sep
Diamond atajwa kuwania tuzo zingine Nigeria, ‘The African Entertainment Legend Awards’ (AELA)
Diamond Platnumz a.k.a Baba Tiffah yuko kwenye orodha ya waliotajwa kuwania tuzo zingine za nchini Nigeria, ‘The African Entertainment Legend Awards (AELA)’. Platnumz ametajwa kuwania vipengele viwili, ‘African Legends Artist of The Year’ akichuana na Dbanj, P-Square, Faze, Reggie Rockstone, Asa, R2bees pamoja na 2face. Kipengele cha pili anachowania ni ‘Best collabolation’ kupitia wimbo wake […]
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qHkXSNTTQ9fGLGOI8QUDfLdhNqhkGmOME5FkQrVeGwhXqZ7VpntC1cvUW4zttPqxLDDR3aCtPbH7F5FO3WZNwacE8u9sApZA/diamonzzz.jpg?width=650)
DIAMOND PLATINUMZ ATAJWA KUWANIA TUZO YA 'RADIO AFRO AUSTRALIA SONG OF THE YEAR 2014’
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' .
Muonekano wa kipengele cha tuzo anachowania Diamond Platinumz. STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametajwa kuwania tuzo ya 'Radio AFRO Australia Song of the Year 2014' kupitia wimbo wake wa Number 1 Remix’ aliyomshirikisha staa wa Nigeria Davido.
Â
Wasanii wengine kutoka Afrika wanaowania Tuzo hizo ni pamoja na Davido ambaye ana nyimbo...
9 years ago
Bongo511 Sep
Cassper Nyovest ajiondoa kuwania nafasi ya kuingia kwenye tuzo za MTV EMA ambazo Diamond ni Nominee!
Rapper wa Afrika Kusini, Cassper Nyovest amesusia tuzo za 2015 MTV Europe Music Awards (MTV EMA) kutokana na kuhisi kuwa hajatendewa haki. Jumanne Sept 8, MTV walitangaza majina ya nominees 4 wa kipengele cha ‘Best African Act’ akiwemo Diamond Platnumz, na ikabaki nafasi ya msanii mmoja ambayo waliweka majina ya wasanii watano wapigiwe kura kupata […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania