Cassper Nyovest ajiondoa kuwania nafasi ya kuingia kwenye tuzo za MTV EMA ambazo Diamond ni Nominee!
Rapper wa Afrika Kusini, Cassper Nyovest amesusia tuzo za 2015 MTV Europe Music Awards (MTV EMA) kutokana na kuhisi kuwa hajatendewa haki. Jumanne Sept 8, MTV walitangaza majina ya nominees 4 wa kipengele cha ‘Best African Act’ akiwemo Diamond Platnumz, na ikabaki nafasi ya msanii mmoja ambayo waliweka majina ya wasanii watano wapigiwe kura kupata […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo501 Oct
Nicki Minaj kuhost tuzo za 2014 MTV EMA ambazo Diamond wa TZ anawania
9 years ago
Bongo527 Oct
Billboard na Dailymail zaripoti ushindi wa Diamond Platnumz kwenye tuzo za MTV EMA
9 years ago
Bongo526 Oct
Diamond ashinda tuzo ya ‘Worldwide Act Africa/India’ kwenye MTV EMA
10 years ago
Bongo501 Dec
Mambo mawili ambayo Cassper Nyovest na Diamond walifanana siku ya tuzo za Channel O
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/dimaond.jpg)
DIAMOND ATWAA TUZO YA MTV EMA NCHINI ITALIA
9 years ago
Mtanzania27 Oct
Diamond amshinda Miss Dunia tuzo za MTV-EMA
NA MWANDISHI WETU
MKALI WA muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul, maarufu kama Diamond Platnumz, amempiku mwigizaji na mwanamuziki aliyewahi kuwa mrembo wa dunia mwaka 2000, Priyanka Chopra, kwenye tuzo za MTV Europe Music Awards (MTV-EMA).
Tuzo hizo zilizofanyika nchini Italia usiku wa kuamkia jana, wawili hao walikuwa wanachuana kwenye kipengele cha ‘Best Worldwide Act’, tuzo ambayo ilikuwa na ushindani mkubwa kutoka kwa nyota wengine wa muziki kutoka mataifa ya Australia, New Zealand,...
9 years ago
Bongo512 Dec
Picha: Diamond akabidhiwa tuzo zake za MTV EMA 2015
![diamond ema](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/diamond-ema-300x194.jpg)
Baada ya kushinda tuzo ya ‘Best African Act’ na ‘Best World Wide Act’ kwenye MTV EMA 2015, hatimaye Diamond Platnumz amekabidhiwa rasmi tuzo zake Ijumaa hii Dec 11.
Kupitia Instagram yake Diamond alipost picha akikabidhiwa tuzo hizo na kuandika:
“What a nice day.. have jus Received my Trophies from @MtvEma as the #BestAfricanAct #BestWorldWideAct only God knows How much i was waiting for them….@melaniecarmen @babutale … thaks alot @MtvEma”
Tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 zilitolewa...
9 years ago
Bongo530 Nov
Video: Cassper Nyovest, Boity, Bonang wanga’ra kwenye tuzo za mitandao ya kijamii za Channel24
![Channel 24](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Channel-24-300x194.jpg)
Shirika la habari la Channel 24 la Afrika Kusini limetangaza washindi wa tuzo zake za online (Channel24 Online Awards).
Tuzo hizo zilikuwa na vipengele 10.
Baadhi ya washindi ni pamoja na Bonang Matheba aliyeshinda tuzo ya jumla ya uwepo kwenye mitandao ya kijamii.
Cassper Nyovest ameshinda Best YouTube video na Best Couple akiwa na Boity huku Roxy Burger amechukua tuzo ya Best Selfie.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata...
9 years ago
Michuzi26 Oct
Diamond Platnumz atwaa Tuzo nyingine toka Italy MTV EMA 2015
![](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/zAHE6OposxA82Dy064zFibMK0Pb07wzIIftyzdUodKickId2xfbmXTz5NO-fP14TvIrVwyvKfzRPY9UfyFO7SHHb0nB5TMal2783drJDrDcwTBWhiNjOEzH12h1Kh1kAiiwvt0epOr5s-ABNm9VBzchH1g=s0-d-e1-ft#http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/10/photo-collage.png?resize=660%2C400)