Diamond Platnumz atwaa Tuzo nyingine toka Italy MTV EMA 2015
Katikati ya mwezi September 2015 tuliipata good news kwenye kiwanda cha Muziki Tanzania, East Africa na Africa kwa ujumla ambapo list ya wakali wa muziki wanaowania Tuzo za MTV EMA 2015 ilitangazwa, kilichoongeza furaha ilikuwa kushuhudia majina ya mastaa kama AKA toka South Africa, Yemi Alade na Davido toka Nigeria na pia mkali toka Bongo +255, Diamond Platnumz nae alikuwemo pia kwenye list hiyo.Good news nyingine ni kwamba Diamond Platnumz amefanikiwa kuibuka na ushindi wa Tuzo moja...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/dimaond.jpg)
DIAMOND ATWAA TUZO YA MTV EMA NCHINI ITALIA
9 years ago
Bongo527 Oct
Billboard na Dailymail zaripoti ushindi wa Diamond Platnumz kwenye tuzo za MTV EMA
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-rc14m10Uv9Y/ViaXaJ43YCI/AAAAAAAIBX4/T-_ijDsJ7F8/s72-c/diamondPlatnumz_001_lrg.jpg)
Diamond Platnumz wina the 2015 MTV EMA Best African Act.
![](http://1.bp.blogspot.com/-rc14m10Uv9Y/ViaXaJ43YCI/AAAAAAAIBX4/T-_ijDsJ7F8/s640/diamondPlatnumz_001_lrg.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/H-wnLf4hS8U/default.jpg)
VIDEO: DIAMOND PLATNUMZ ATWAA TUZO NYINGINE YA AFRIKA
![10844180_822164274545595_1778078662_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/07/10844180_822164274545595_1778078662_n.jpg)
9 years ago
Bongo512 Dec
Picha: Diamond akabidhiwa tuzo zake za MTV EMA 2015
![diamond ema](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/diamond-ema-300x194.jpg)
Baada ya kushinda tuzo ya ‘Best African Act’ na ‘Best World Wide Act’ kwenye MTV EMA 2015, hatimaye Diamond Platnumz amekabidhiwa rasmi tuzo zake Ijumaa hii Dec 11.
Kupitia Instagram yake Diamond alipost picha akikabidhiwa tuzo hizo na kuandika:
“What a nice day.. have jus Received my Trophies from @MtvEma as the #BestAfricanAct #BestWorldWideAct only God knows How much i was waiting for them….@melaniecarmen @babutale … thaks alot @MtvEma”
Tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 zilitolewa...
9 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-9Mnadi5YZ9Y/Vi4hWvbIRUI/AAAAAAAADw4/VYd6J-iJagQ/s72-c/di.jpg)
DIAMOND PLATNUMZ WINS 2015 MTV EMA AWARD AS BEST AFRICAN/INDIAN ACT, HERE IS THE FULL WINNERS LIST !!
![](http://2.bp.blogspot.com/-9Mnadi5YZ9Y/Vi4hWvbIRUI/AAAAAAAADw4/VYd6J-iJagQ/s400/di.jpg)
Tanzanian music star Diamond Platnumz won the Best African/Indian Act award at the 2015 MTV EMA which took place in Milan last night. He beat African musicians including Nigeria’s Davido and Yemi Alade, SA’s AKA and Ivorian DJ Arafat as well as leading Indian musicians to win the MTV prize.
BEST SONG
Winner *** Taylor Swift ft. Kendrick Lamar – “Bad Blood”
Ellie Goulding – “Love Me Like You Do”
Major Lazer & DJ Snake ft. MØ – “Lean On”
Mark Ronson ft. Bruno Mars – “Uptown Funk!”
Wiz Khalifa ft....
9 years ago
Mtanzania27 Oct
Diamond amshinda Miss Dunia tuzo za MTV-EMA
NA MWANDISHI WETU
MKALI WA muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul, maarufu kama Diamond Platnumz, amempiku mwigizaji na mwanamuziki aliyewahi kuwa mrembo wa dunia mwaka 2000, Priyanka Chopra, kwenye tuzo za MTV Europe Music Awards (MTV-EMA).
Tuzo hizo zilizofanyika nchini Italia usiku wa kuamkia jana, wawili hao walikuwa wanachuana kwenye kipengele cha ‘Best Worldwide Act’, tuzo ambayo ilikuwa na ushindani mkubwa kutoka kwa nyota wengine wa muziki kutoka mataifa ya Australia, New Zealand,...
10 years ago
Tanzania Daima03 Oct
Diamond atwaa tuzo ya Mtv-Base
NYOTA ya Mwanamuziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul ‘Diamond’, imezidi kung’aa baada ya kutwaa tuzo ya Msanii Bora wa mwezi huu wa Kituo cha Televisheni cha Mtv-Base cha Afrika...
10 years ago
Bongo501 Oct
Nicki Minaj kuhost tuzo za 2014 MTV EMA ambazo Diamond wa TZ anawania