VIDEO: DIAMOND PLATNUMZ ATWAA TUZO NYINGINE YA AFRIKA
![](http://img.youtube.com/vi/H-wnLf4hS8U/default.jpg)
Wiki moja tu baada ya kushinda tuzo ya mtumbuizaji bora wa Afrika kwenye MTV MAMA, Diamond Platnumz ameshinda tuzo nyingine kubwa ya Afrika.Usiku wa jana, Diamond alishinda tuzo ya Msanii wa Afrika wa Mwaka kwenye hafla ya tuzo za African Achievers Awards 2015 zilizofanyika Afrika Kusini.“Thanks God for keep Blessing my Hustle….AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR #AfricanAchieversAwards2015 (Shukran Nyingi ziwafikie Uongozi wangu kwa kuhakikisha unanisimamia ipaswavyo, Mama yangu kipenzi Sandrah, My...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi26 Oct
Diamond Platnumz atwaa Tuzo nyingine toka Italy MTV EMA 2015
![](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/zAHE6OposxA82Dy064zFibMK0Pb07wzIIftyzdUodKickId2xfbmXTz5NO-fP14TvIrVwyvKfzRPY9UfyFO7SHHb0nB5TMal2783drJDrDcwTBWhiNjOEzH12h1Kh1kAiiwvt0epOr5s-ABNm9VBzchH1g=s0-d-e1-ft#http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/10/photo-collage.png?resize=660%2C400)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DPrxX8yfjkBuu40NZYa1HutvFc4Ijone-3ZQrldeHwBwml07QsKwlLTez7G8FGNVjcCXMtrr3BwFb4YMRpDVvbcIUrDO9fgb/tuzo.jpg)
DIAMOND PLATNUMZ ATWAA TUZO UGANDA
10 years ago
Bongo515 Aug
Diamond Platnumz ashinda tuzo nyingine nchini Burundi
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OhtEB7mGo6I/VIVN-war4wI/AAAAAAAG15s/iz6kv6XfHsQ/s72-c/diamond21%2B(1).jpg)
Diamond Platnumz alamba tuzo nyingine huko Nigeria
![](http://2.bp.blogspot.com/-OhtEB7mGo6I/VIVN-war4wI/AAAAAAAG15s/iz6kv6XfHsQ/s1600/diamond21%2B(1).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-n8Oa1thY_0k/VIVJ8sjCoLI/AAAAAAAG15U/zRZiNAbCLbQ/s1600/Screen%2BShot%2B2014-12-08%2Bat%2B9.47.17%2BAM.png)
9 years ago
MillardAyo02 Jan
Jina la Diamond Platnumz kwenye list ya washindi wa Tuzo nyingine Nigeria mapema kabisa 2016..
2016 mwaka mwingine unaoanza vizuri kwa muziki wa Bongofleva wenye mizizi yake Tanzania ambapo usiku wa January 01 2016 zimetolewa Tuzo za HEADIES Awards ndani ya Lagos Nigeria. List kamili ya washindi imetoka ambapo kati yao staa wa muziki anayewakilisha Bongo 255, Diamond Platnumznae yumo… Tuzo hizi zinawahusu mastaa wa Nigeria lakini kuna category moja […]
The post Jina la Diamond Platnumz kwenye list ya washindi wa Tuzo nyingine Nigeria mapema kabisa 2016.. appeared first on...
10 years ago
Vijimambo28 Nov
DIAMOND PLATNUMZ KWENYE KAMPENI NYINGINE ZA KIMATAIFA, PICHA, VIDEO NA STORY ZIPO HAPA
![Diamond](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/11/Diamond1.jpg?resize=425%2C244)
Jana Novemba 27 alikuwa ndani ya Jumba la BBA Afrika Kusini na mwanamuziki Fally Ipupa wakiwa na ujumbe wa ONE Campaign kuhimiza kilimo, leo taarifa ninayokupa ni kuwa amekuwa mmoja ya wasanii ambao...
9 years ago
Dewji Blog07 Dec
MO Dewji atwaa tuzo nyingine, kukabidhiwa Desemba 11
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Rais na Mkurugenzi Mtendaji wa makampuni ya Mohamed Enterprises Tanzania Limited (METL GROUP), Mohamed Dewji ametwaa tuzo nyingine ya kuwa mfanyabiashara bora wa kiume kwa mwaka 2015 kwa Tanzania.
Katika taarifa imeyotolewa na waandaaji wa tuzo hizo, Kampuni ya Purple Cow Media ambao wamemtaja MO kama mtu pekee katika kipengele hicho na hivyo kushinda tuzo hiyo bila kipingwa.
Tuzo ya mfanyabiashara bora kwa upande wa wanawake imemuendea mwanamama Ineke Bussemaker...