Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MO Dewji atwaa tuzo nyingine, kukabidhiwa Desemba 11

74781f_b0dd50b08a1c4f688922a306bdfd8178

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Rais na Mkurugenzi Mtendaji wa makampuni ya Mohamed Enterprises Tanzania Limited (METL GROUP), Mohamed Dewji ametwaa tuzo nyingine ya kuwa mfanyabiashara bora wa kiume kwa mwaka 2015 kwa Tanzania.

Katika taarifa imeyotolewa na waandaaji wa tuzo hizo, Kampuni ya Purple Cow Media ambao wamemtaja MO kama mtu pekee katika kipengele hicho na hivyo kushinda tuzo hiyo bila kipingwa.

Tuzo ya mfanyabiashara bora kwa upande wa wanawake imemuendea mwanamama Ineke Bussemaker...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

VIDEO: DIAMOND PLATNUMZ ATWAA TUZO NYINGINE YA AFRIKA

Wiki moja tu baada ya kushinda tuzo ya mtumbuizaji bora wa Afrika kwenye MTV MAMA, Diamond Platnumz ameshinda tuzo nyingine kubwa ya Afrika.Usiku wa jana, Diamond alishinda tuzo ya Msanii wa Afrika wa Mwaka kwenye hafla ya tuzo za African Achievers Awards 2015 zilizofanyika Afrika Kusini.10844180_822164274545595_1778078662_n“Thanks God for keep Blessing my Hustle….AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR #AfricanAchieversAwards2015 (Shukran Nyingi ziwafikie Uongozi wangu kwa kuhakikisha unanisimamia ipaswavyo, Mama yangu kipenzi Sandrah, My...

 

9 years ago

Michuzi

Diamond Platnumz atwaa Tuzo nyingine toka Italy MTV EMA 2015

Katikati ya mwezi September 2015 tuliipata good news kwenye kiwanda cha Muziki Tanzania, East Africa na Africa kwa ujumla ambapo list ya wakali wa muziki wanaowania Tuzo za MTV EMA 2015 ilitangazwa, kilichoongeza furaha ilikuwa kushuhudia majina ya mastaa kama AKA toka South Africa, Yemi Alade na Davido toka Nigeria na pia mkali toka Bongo +255, Diamond Platnumz nae alikuwemo pia kwenye list hiyo.Good news nyingine ni kwamba Diamond Platnumz amefanikiwa kuibuka na ushindi wa Tuzo moja...

 

11 years ago

GPL

TUZO ZA BET 2014: DAVIDO ATWAA TUZO YA BEST AFRICAN ACT

Davido akiwa na tuzo yake. Mwanamuziki kutoka Nigeria, Davido ametwaa tuzo ya BET ya Best African Act iliyokuwa pia ikiwaniwa na msanii Diamond Platinumz wa Tanzania. Katika kundi hilo pia walikuwemo Mafikizolo (Afrika Kusini), Sarkodie (Ghana), Tiwa Savage (Nigeria) na Toofan (Togo). Baada ya kutwaa tuzo hiyo, Davido aliandika hivi katika akaunti yake ya Instagram:… ...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND ATWAA TUZO YA KORA

Staa wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond'. Cheti kutoka Kora alichopokea Diamond Platnumz. STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo za Kora katika kipengele cha Msanii Bora wa Kiume wa Afrika Mashariki.  Meneja wa msanii huyo, Babu Tale amethibitisha kupokea cheti cha heshima kuhusu tuzo hiyo huku akisema wanasubiri utaratibu… ...

 

10 years ago

GPL

DI MARIA ATWAA TUZO MAN UTD

Angel di Maria akiwa na tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Septemba wa Manchester United,. KIUNGO mshambuliaji wa Manchester United, Angel di Maria ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Septemba klabuni hapo. Di Maria kazini. Di Maria ametwaa tuzo hiyo baada ya kupata 68% ya kura zote zilizopigwa kupitia tovuti ya ManUtd.com, huku nafasi ya pili ikienda kwa Ander Herrera aliyepata 23% huku Rafael… ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Diamond atwaa tuzo ya Mtv-Base

NYOTA ya Mwanamuziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul ‘Diamond’, imezidi kung’aa baada ya kutwaa tuzo ya Msanii Bora wa mwezi huu wa Kituo cha Televisheni cha Mtv-Base cha Afrika...

 

10 years ago

Vijimambo

VENNESSA MDEE ATWAA TUZO AFRIMA

Mwanadada anayefanya vizuri katika muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee.

Na Gladness Mallya
MWANADADA anayefanya vizuri katika muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee kwa mara ya kwanza amewatoa kimasomaso wasanii wa kike Bongo kwa kutwaa tuzo ya kimataifa za All Africa Music Awards ‘AFRIMA’ nchini Nigeria.

Akizungumza na paparazi wetu Vanessa ambaye amepata tuzo ya Msanii Bora wa Kike Afrika Mashariki alisema anawashukuru mashabiki kwa kuwa wameonesha moyo wa kumpigia kura mpaka kuwashinda wasanii...

 

9 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ ATWAA TUZO UGANDA

Kushoto ni tuzo aliyochukua Diamond Platnumz. MKALI wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametwaa tuzo ya Msanii Bora wa Afrika katika tuzo zilizotolewa na Uganda Entertainment. Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Diamond amewashukuru mashabiki wake waliompigia kura na kufanikiwa kutwaa tuzo hiyo pamoja na kuwaomba waendelee kumpigia kura katika vipengele vingine ambavyo anawania tuzo mbalimbali. Diamond Platnumz....

 

10 years ago

GPL

DIAMOND ATWAA TUZO 3 ZA CHANNEL O SAUZ

Diamond akiwa na tuzo. MSANII Naseeb Abdul ‘Diamond Platumz’ ametwaa tuzo tatu za Channel O usiku huu nchini Afrika Kusini. Tuzo hizo ni; Most Gifted new comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani